Uko poa wiii..??Miss u moree wizzle![]()
You got me very wrong young girl, this is a talk abaut single ladies, bring one abaut single men and you will see how i will respond, nice weekend girlWow ila wanawake ndiyo mnataka mkute wamekamilika tayari ni wife material kwa sababu wao ni malaika ila wanaume ndiyo binadamu si ndiyo??
hawajui mume ambae ako na hela anafuatwa na wengi sana, pili mume wenye hela ako na options tele, na lingine mume weye hela kitu anatazama ni hiki, je huyu binti atakuja maishani wangu kuleta faida gani, yaani men of means wanaume tulio na mihera hatuangalii sana hali ya kiuchumi ya dada NO NO NO tunaangalia je huyu dada atakuwa wa mafanikio au faida gani kwangu, maana mume tajiri anataka ongeza utajiri wake, so anataka dada ambae atamusaidia kuongeza utajiri wake,Wanataka ma-HB na wenye hela;bila kujua hao wanaowahitaji kuna watu waliteseka nao from zero to hero
wanaofanya hivyo ni wale wako na ZERO INTEGRITYHalafu na nyinyi hao mlioteseka nao from 0-hero mnawaacha mnawafuata vichenchede mkiishiwa ndio mnarudi kwa ma hero wenu,mfyuuuu!!!!
What measure, you have taken to realize that she is a girl?You got me very wrong young girl, this is a talk abaut single ladies, bring one abaut single men and you will see how i will respond, nice weekend girl
for a cleaver and smart man, the real DEAL in a lady is the way of THINKING of that lady, sio sura au maumbile au nini, sababu kuu ni hii hapa, THE REAL PERSON IS THAT PERSON WAY OF THINKING PERIOD, akili ndio mtu, sio urembo au ile au kile, angalia wanaojiita warembo vile wanatumiwa ovyo, kina wema, zari, hamisa , na yule mkuu wa wilaya kule mkoa kagera, mimi afadali nione binti ambae hata hawezi shinda mashidano ya urembo hapo kijijini mwao lakini ako na akili ya maendeleo badala ya kuoa miss tanzania ambae akili hana hata robo kilo, so urembo sio kitu to a right minded thinking man, barikiwa dadaKwani wewe hutaki mdada mzuri?
Mimi mzima.Uko poa wiii..??
Niko bukheri wifii,.kakangu mzima??Mimi mzima.
Hofu kwako dear



.Niko bukheri wifii,.kakangu mzima??
aisee nasubiri mrejesho tuone mwisho wakeKuna mmoja ni co-worker ana jeuri na kiburi hatari aisee hahahah
Ana sura ngumu sana sana sana
Swag za kike ila company za kiume
Kashapitisha 30 yuko 31 kama sikosei
10 years anakaa geto no kids no spouse .
Huwa namuangaliaga tu halafu bado ana ndoto za kuolewa
Na anachagua chagua balaa yaani anajiona keki eti yeye namba D hahahahah
Wanawake bhana
Kwa hyo ni TZA iliyopimpiwa sio?Kuna mmoja ni co-worker ana jeuri na kiburi hatari aisee hahahah
Ana sura ngumu sana sana sana
Swag za kike ila company za kiume
Kashapitisha 30 yuko 31 kama sikosei
10 years anakaa geto no kids no spouse .
Huwa namuangaliaga tu halafu bado ana ndoto za kuolewa
Na anachagua chagua balaa yaani anajiona keki eti yeye namba D hahahahah
Wanawake bhana
Umeshindwa kumuhudumia eee😎😎Hata sielewi.
Labda umwite umuulize
Yeye ndio ameshindwaUmeshindwa kumuhudumia eee![]()
You are entitled to your own opinion.
Nitaassume unatumiaga bible
Genesis 2:18
The Lord God said, “It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him.
Mungu alimuumba mwanamke katika mapungufu ya mwanaume, Ili mwanaume akamilike he needs a suitable woman and not just any woman.
Hivyo kuna namna ambayo mwanamke anatakiwa awe ili awe suitable kwa mwanaume na kukamilisha pale palipo na mapungufu ya mwanaume. Hopefully umenielewa![]()