Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Huyo mwanamke ambaye wewe unamuona ana sifa zote nzuri atakuwa ni punguani lazima.
Ambaye namuona mimi au ambaye anaonekana na watu??

Na halafu kwahiyo wanaume mnataka wanawake wawe wakamilifu??
 
Sijageneralize nimesema wapo (maana yake baadhi) wanawake ambao wana sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na siyo wote wewe kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi kwamba hakipo
Hivi unakubali ukweli kwamba ndoa hasa za kiafrika kwa asilimia kubwa inabebwa na mwanamke!?
 
Kwanini haupo miongoni mwao!?
Kwa sababu mume wangu anajielewa siyo msaliti wala mnyanyasaji mind you nimesema mume wangu na hiyo haimaanisha kuwa waume wote wapo kama mume wangu
 
Una uhakika gani kwamba hakusaliti, au kwa vile anajitahidi usigundue!?
 
Nilijua tu hili swali ndiyo litafuatia vipi kwani ulitaka anisaliti ili atimize ule msemo wenu wa kijinga kuwa "hakuna mwanaume asiyechepuka"??

Siyo msaliti au hujajua(hujagundua) kuwa ni msaliti??
 
Hivi mbona hili swali wanaume mnauliza sana?? Vipi kwani mnataka kila mwanaume awe msaliti kama ninyi ili ule msemo wenu wa kijinga kuwa "hakuna mwanaume asiyechepuka" utimie??
 
Nilijua tu hili swali ndiyo litafuatia vipi kwani ulitaka anisaliti ili atimize ule msemo wenu wa kijinga kuwa "hakuna mwanaume asiyechepuka"??
Hahahaaa.. Usiseme hakusaliti. Sema hujagundua bado.
 
Hivi mbona hili swali wanaume mnauliza sana?? Vipi kwani mnataka kila mwanaume awe msaliti kama ninyi ili ule msemo wenu wa kijinga kuwa "hakuna mwanaume asiyechepuka" utimie??
Acha niende zangu gym,kubishana sana na mwanamke siwezi..

Mida ya Morning glory though,mbless mumeo..
 
Jibu ni hapana si ndiyo ufafanue sasa hee
We dada una mtazamo wa kifeminist. But remember this is Africa, where those ideas have proved failure. Acha kuwapotosha wenzako hasa singles. Utawafanya wasiolewe milele.
 
Kila la heri mkuu. Ila usiache kusema ulilotaka kusema.
Acha niende zangu gym,kubishana sana na mwanamke siwezi..

Mida ya Morning glory though,mbless mumeo..
 
Which ideas have proved failure na kwani Africa ndiyo kuna kanuni za ndoa?? Nimekwambia wapo wanawake wengi wenye sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na wapo wanawake wengi wenye sifa mbaya na hawanyanyaswi na waume zao ninyi ambao mnalazimisha kuwa ndoa zina kanuni ndiyo mnafeli what works for me can not work for anaother woman

Na simpotoshi mtu hapa ila ninawaambia ukweli siwakatazi wanawake kuwa na sifa nzuri ila kama mwanamke anataka kuwa na sifa nzuri basi awe nazo kutoka moyoni na siyo awe nazo kwa kuigiza eti ili tu aolewe (kitu ambacho wanaume wengi mnataka wanawake wakifanye) mwanamke wa hivyo hana tofauti na mtu anayeenda jeshini kwa sababu ya mshahara na siyo kwa sababu ya uzalendo huyo mtu ni lazima aidha atoroke kambini au afe mazoezini!! Amini nakuambia

Back
Top Bottom