Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Ninakuunga mkono kwenye hili. Wanawake wasipretend. Wasiwe wanafiki ili waolewe. Hapo nimeungana na wewe, maana wako wanaojifanya malaika, wakifika ndoani wanafichua makucha ya kishetani. Ishi uhalisia wako, ili umpate mtu atakayeweza kuendana na wewe.

But ushauri wangu kwa ladies ambao wangetamani kuolewa na bado haijawa hivyo. Badilika. Kama unadanga acha kudanga (kwa kumaanisha). Kama una mdomo chafu jifunze kuwa na staha unapoongea na watu, etc.

Kama unaamini katika Mungu, hebu iishi imani yako, halafu muombe akupatie mtu wa kufanana na wewe. Hii inaapply na kwetu wanaume pia. Tujue tu, vile ulivyo utapata mtu wa aina yako, huyo ndo atakufit maishani. Mungu hawezi kumchukua kondoo wake akamfungisha ndoa na fisi.

-Mkaskaz.
Which ideas have proved failure na kwani Africa ndiyo kuna kanuni za ndoa?? Nimekwambia wapo wanawake wengi wenye sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na wapo wanawake wengi wenye sifa mbaya na hawanyanyaswi na waume zao ninyi ambao mnalazimisha kuwa ndoa zina kanuni ndiyo mnafeli what works for me can not work for anaother woman

Na simpotoshi mtu hapa ila ninawaambia ukweli siwakatazi wanawake kuwa na sifa nzuri ila kama mwanamke anataka kuwa na sifa nzuri basi awe nazo kutoka moyoni na siyo awe nazo kwa kuigiza eti ili tu aolewe (kitu ambacho wanaume wengi mnataka wanawake wakifanye) mwanamke wa hivyo hana tofauti na mtu anayeenda jeshini kwa sababu ya mshahara na siyo kwa sababu ya uzalendo huyo mtu ni lazima aidha atoroke kambini au afe mazoezini!! Amini nakuambia
 
Ninakuunga mkono kwenye hili. Wanawake wasipretend. Wasiwe wanafiki ili waolewe. Hapo nimeungana na wewe, maana wako wanaojifanya malaika, wakifika ndoani wanafichua makucha ya kishetani. Ishi uhalisia wako, ili umpate mtu atakayeweza kuendana na wewe.

But ushauri wangu kwa ladies ambao wangetamani kuolewa na bado haijawa hivyo. Badilika. Kama unadanga acha kudanga (kwa kumaanisha). Kama una mdomo chafu jifunze kuwa na staha unapoongea na watu, etc.

Kama unaamini katika Mungu, hebu iishi imani yako, halafu muombe akupatie mtu wa kufanana na wewe. Hii inaapply na kwetu wanaume pia. Tujue tu, vile ulivyo utapata mtu wa aina yako, huyo ndo atakufit maishani. Mungu hawezi kumchukua kondoo wake akamfungisha ndoa na fisi.

-Mkaskaz.
Hakika.
Mungu humpa Mtu wa kufanana nae
 
Mbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana

Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.

Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
 
So wee unadhani hawajapata wanaowapenda siyo!?
 
Kuongea uhalisia wewe unatafsiri ni kushambulia eeh.. Sawa.
Mbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana

Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.

Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
 
Sawa Mkuu tuko pamoja
Ninakuunga mkono kwenye hili. Wanawake wasipretend. Wasiwe wanafiki ili waolewe. Hapo nimeungana na wewe, maana wako wanaojifanya malaika, wakifika ndoani wanafichua makucha ya kishetani. Ishi uhalisia wako, ili umpate mtu atakayeweza kuendana na wewe.

But ushauri wangu kwa ladies ambao wangetamani kuolewa na bado haijawa hivyo. Badilika. Kama unadanga acha kudanga (kwa kumaanisha). Kama una mdomo chafu jifunze kuwa na staha unapoongea na watu, etc.

Kama unaamini katika Mungu, hebu iishi imani yako, halafu muombe akupatie mtu wa kufanana na wewe. Hii inaapply na kwetu wanaume pia. Tujue tu, vile ulivyo utapata mtu wa aina yako, huyo ndo atakufit maishani. Mungu hawezi kumchukua kondoo wake akamfungisha ndoa na fisi.

-Mkaskaz.
 
Sasa hapa ndiyo umeongea hoja siyo kule kwenye ule uzi mwingine ulikosema kuwa wanawake ndiyo wana shida sana na ndoa na kwamba mwanamke kuolewa tu ndiyo heshima ila na mwanaume kuoa sijui ni nini

Back
Top Bottom