Wee jazaneni huu ujinga muone matokeo yake.
Ajiongeze.
Nipite mara ngapi mdogo wangu
Umejuaje mimi mdogo kwako?Nipite mara ngapi mdogo wangu
Kwasababu NakujuaUmejuaje mimi mdogo kwako?
Acha utani bwana, unanijuaje mariana?Kwasababu Nakujua
Kuna mmoja alikuwa ananiambia mabwana zake ni watu wazito wazito Serikalini!Moja kati ya sababu ni hizi:
1. Umejirahisi sana, ukiwekewa kamtego unanasa, unachezewa, unaachwa.
2. Unachagua sana, ukiwakataa wapambanaji badala yake unangojea waliokwisha pambana kimaisha na kutoka.
3. Una mdomo (nyodo, kiburi) na tabia zingine zisizovumilika kwa wanaume (seems not ready to be submissive)
4. Hujichanganyi na watu wapya, uko na walewale wanaokujua inside out.
5. Njaa njaa zisizo na msingi. Mkibadilishana namba tu ushaomba vocha na mama ashaugua tayari.
6. Kukosa sifa za kuwa mke. Unasomeka kiviwanjaviwanja tu na kimatanuzi. Huoneshi kama una vision.
7.....
8.........
9.............View attachment 1194537
Acha utani bwana, unanijuaje mariana?
Aisee, ID yako ya zamani pls!!Nakujuaje? Kwani watu wengine wanajuanaje?
Marianah ni shemeji yako kwangu mkuu ila ni mbishi hatari.Nitaassume unatumiaga bible
Genesis 2:18
The Lord God said, “It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him.
Mungu alimuumba mwanamke katika mapungufu ya mwanaume, Ili mwanaume akamilike he needs a suitable woman and not just any woman.
Hivyo kuna namna ambayo mwanamke anatakiwa awe ili awe suitable kwa mwanaume na kukamilisha pale palipo na mapungufu ya mwanaume. Hopefully umenielewa![]()
Hasipokuelewa bora ajitoe JFfor a cleaver and smart man, the real DEAL in a lady is the way of THINKING of that lady, sio sura au maumbile au nini, sababu kuu ni hii hapa, THE REAL PERSON IS THAT PERSON WAY OF THINKING PERIOD, akili ndio mtu, sio urembo au ile au kile, angalia wanaojiita warembo vile wanatumiwa ovyo, kina wema, zari, hamisa , na yule mkuu wa wilaya kule mkoa kagera, mimi afadali nione binti ambae hata hawezi shinda mashidano ya urembo hapo kijijini mwao lakini ako na akili ya maendeleo badala ya kuoa miss tanzania ambae akili hana hata robo kilo, so urembo sio kitu to a right minded thinking man, barikiwa dada
I dont see it as a naked truth but I respect ya opinion tho....That is not just my opinion but the naked truth!!
Wewe mtanzania halafu unachukulia reference lifestlye ya mfano Japan. Ina make sense kweliiiiiiii ?Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??
Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
Point hapa ni kwamba Ukii tune akili yako ku focus wanaosaliti wake zao basi siku zote utaishia kuamini wanaume wote wanasaliti wanawake walioanza nao from the scratch and vice versaSasa hao wanaoanza na ninyi from zero to hero si ndiyo hao mkija pata hela mnawasaliti??
My wife Marianah is suffering from a very dangerous and fast killing disease called FAOGE i.e Fallacy Of Generalization.sio wanaume wote dada yangu
Hiyo research ulifanyia wapi mpenzi ?Ndiyo siyo wote ila ni wengi