Bundakwetu JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 551 Reaction score 1,015 Feb 14, 2023 #1 Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,989 Reaction score 46,689 Feb 14, 2023 #2 Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Watu wa bunda hamjui kuijieleza mbona mwenzako wa hapo kitaramaka anajua kujieleza vizuri tu
Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Watu wa bunda hamjui kuijieleza mbona mwenzako wa hapo kitaramaka anajua kujieleza vizuri tu
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,956 Reaction score 13,610 Feb 14, 2023 #3 Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Post kutoka bunda huwa zinakua na utata mwingi... Ukimtegemea mwandishi akueleweshe umechelewa
Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Post kutoka bunda huwa zinakua na utata mwingi... Ukimtegemea mwandishi akueleweshe umechelewa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,147 Reaction score 88,821 Feb 14, 2023 #4 Post hii imetoka hapa mjini Bunda..
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,223 Reaction score 3,745 Feb 14, 2023 #5 Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Feb 14, 2023 #6 Bunda Bus
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,853 Reaction score 35,588 Feb 14, 2023 #7 Taarifa kutoka bunda hua inaweza ikaamua itoke namna gani kuwachanganya
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,559 Reaction score 6,557 Feb 15, 2023 #8 Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Unatupa wakati mgumu
Bundakwetu said: Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana Click to expand... Unatupa wakati mgumu
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,401 Reaction score 104,807 Feb 15, 2023 #9 Arovera said: Taarifa kutoka bunda hua inaweza ikaamua itoke namna gani kuwachanganya Click to expand... Kuna jamaa mmoja wa bunda alileta uzi hapa kwamba bunda ni jiji lenye unyama mwingi kuliko Mwanza....😂😂
Arovera said: Taarifa kutoka bunda hua inaweza ikaamua itoke namna gani kuwachanganya Click to expand... Kuna jamaa mmoja wa bunda alileta uzi hapa kwamba bunda ni jiji lenye unyama mwingi kuliko Mwanza....😂😂
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,401 Reaction score 104,807 Feb 15, 2023 #10 Mgibeon said: Bunda Bus Click to expand... Ilisha futika kitambooo, ikaja Bunda Express nayo ikafa ikazikwa
Mgibeon said: Bunda Bus Click to expand... Ilisha futika kitambooo, ikaja Bunda Express nayo ikafa ikazikwa
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,970 Reaction score 9,899 Feb 15, 2023 #11 Ushimen said: Kuna jamaa mmoja wa bunda alileta uzi hapa kwamba bunda ni jiji lenye unyama mwingi kuliko Mwanza....😂😂 Click to expand... Ni kweli kabisa bunda na tarime Kwa unyama wametisha mwanza haiwezifikia
Ushimen said: Kuna jamaa mmoja wa bunda alileta uzi hapa kwamba bunda ni jiji lenye unyama mwingi kuliko Mwanza....😂😂 Click to expand... Ni kweli kabisa bunda na tarime Kwa unyama wametisha mwanza haiwezifikia
Bundakwetu JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 551 Reaction score 1,015 Feb 15, 2023 Thread starter #12 Mlatino Zeshalo said: Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii Click to expand... 😂
Mlatino Zeshalo said: Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii Click to expand... 😂
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,103 Feb 15, 2023 #13 Marahabaa
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,378 Feb 15, 2023 #14 hii ndio JF bhana yaani mada imegeuzwa discusion ID 😂
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,839 Reaction score 13,129 Feb 15, 2023 #15 Si Mlatino Zeshalo said: Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii Click to expand... Siyo singida na mbeya panaongoza
Si Mlatino Zeshalo said: Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii Click to expand... Siyo singida na mbeya panaongoza
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,223 Reaction score 3,745 Feb 15, 2023 #16 goroko77 said: Si Siyo singida na mbeya panaongoza Click to expand... Unapajua Bunda lakini?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,634 Reaction score 57,010 Feb 15, 2023 #17 Harmonize me namkubali nyimbo zake burudanii kwangu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,147 Reaction score 88,821 Feb 15, 2023 #18 goroko77 said: Siyo singida na mbeya panaongoza Click to expand... Mbeya Makanisa.. Bunda na Songea ni habari nyingine..
goroko77 said: Siyo singida na mbeya panaongoza Click to expand... Mbeya Makanisa.. Bunda na Songea ni habari nyingine..
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,032 Reaction score 69,451 Feb 15, 2023 #19 Kisorya, Kyabakari
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,702 Reaction score 35,756 Feb 15, 2023 #20 Bunda kila baada ya nyumba mbili unakutana na guest house , sehemu zingine unaweza kudhani ni nyumba ya familia ya watu wanaishi ukaombe hata maji ya kunywa kumbe ni guest bhana .... Bunda ni moja ya wilaya ngumu Sana kupata pesa
Bunda kila baada ya nyumba mbili unakutana na guest house , sehemu zingine unaweza kudhani ni nyumba ya familia ya watu wanaishi ukaombe hata maji ya kunywa kumbe ni guest bhana .... Bunda ni moja ya wilaya ngumu Sana kupata pesa