Singida: Basi la Kampuni ya Falcon lapata ajali kwa kugonga Lori kwa nyuma

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Basi la Kampuni ya Falcon lililokuwa safarini kutoka Tarime kwenda Jijini Dar es Salaam limepata ajali usiku wa kuamkia leo Jumamosi Aprili 02, 2022 maeneo ya Shelui Iramba Mkoani Singida baada ya kugonga Lori kwa nyuma. Idadi ya majeruhi bado haijafahamika.

Taarifa zaidi zinafuata...



Chanzo: Dar Mpya
 
Pale konda anaposimamaga aisee.
Pole zao
 
Tanga mwanza kupitia namanga Nairobi miaka ya 2007 Falcom ilibamba sana walikua na madereva mahiri sana namkumbuka mzee chondo, Bajuni kampuni iyo iliiteka sana iyo route
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…