Kumbe na wewe msikilizaji? Umejuaje ilo jina la mtoto wa nje ya ndoa?Nyimbo za wanyoa viduku.
Nikionaga mtu anasikiliza hizi huwa ananifanya nianze kutafakari busara yake.
Unakuta mtu ajiita eti mtoto wa nje ya ndoa.
Lakini posts za singeli huwa hukosagi.
Yaani muziki una maneno ya ajabu. Unazungumzia maisha ambayo unaweza usiamini kuna watu wanaishiSasa hilo lishipa linavyotajwa.
Sema huu mziki wa kijinga sana [emoji1787][emoji1787].
Chura inaruka ruka chura ti ti tiMimi na wewe ndo hatujui steps dada.
Ila wenyewe wataalam hao wanajua steps zote wapi pa kugandisha kiuno wapi ka kulegeza wapi pa kucheza chura.
Nimekaa siku hiyo nasikiliza efm sport, mara ghala nasikia intro amini hapa mzee wa bwasi mtoto wa nje ya ndoa.😀😀Kumbe na wewe msikilizaji? Umejuaje ilo jina la mtoto wa nje ya ndoa?
Ningeweka ila sijui kuapload.Mbona hamtoi mifano kwa kuweka hizo nyimbo?.
Mbona hamtoi mifano kwa kuweka hizo nyimbo?.
Wazungu kuna muda wanapendaga vitu vya ajabu ajabu. Ngoja aende anaweza zipenda.Ingia YouTube tafuta Singeli utapata za kutosha.
Kulikuwa kuna kigodoro mwali anachezwa.Huu mziki asili yake kwenye vigodoro Sasa Kama wewe sio wa uswazi uwezi kuuelewa daima.
Mbona hamtoi mifano kwa kuweka hizo nyimbo?.
Ha ha haHuu mziki asili yake kwenye vigodoro Sasa Kama wewe sio wa uswazi uwezi kuuelewa daima.
Na anaishi mjini kupitia chura hizo hizo.Chura inaruka ruka chura ti ti ti
Chura inanesa nesa churaa ti ti
Jamani chura hiyoo [emoji445]
Hivi huyo dada yupo kweli nina muda sijamsikia [emoji38]
Sawa Don.Ingia YouTube tafuta Singeli utapata za kutosha.
Ingia YouTube tafuta Singeli utapata za kutosha.
Kidemu changu cha kilokole kikilewa kinahubiriYaani muziki una maneno ya ajabu. Unazungumzia maisha ambayo unaweza usiamini kuna watu wanaishi
Democracy imeharibu sana maadili, hata hawa wana-bongo fleva nao ni ushenzi mtupu, hakuna mistari' video ya maadili wala elimu dunia.Ha ha ha