Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
pako poa. hivi hakuna uswazi huko
Hapo ndio uswazi yaani
pako poa. hivi hakuna uswazi huko
naskia wakati tunapata Uhuru 1961 tulikuwa nao sawa hao jamaa sijui over take walitupita wapi
pako poa. hivi hakuna uswazi huko
mazingira mengi ya kiafrika yafanana
hivo ni visiwa kama zanzibar...bandari imewatowa sn....sehemu yoyoyte yenye visiwa ni rahisi kutumia bandari kupata maendeleo makubwa...zanzibar ingelikuwa km singapore kutokana na mazingira yake ya visiwa yalivyo mazuri lkn mpaka leo hamna kitu kutokana na kushikiiwa na ccm
Duh! Nani alikudanganya Singapore ni Afrika?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Hapo ndio uswazi yaani
Singapore ni kuzuri sana. Ila kudogo.
Sheria kali: ukivuka barabara hovyo bila ya kusubiri taa, unalipa fine.
Chewing gum hairuhusiwi kuuzwa, inachafuwa mazingira.
Gharama za maisha ni karibu sawa na Japan.
Asilimia kubwa ni wenye asili ya Kichina, lakini pia wapo wa asili ya Kihindi (Tamil), Malaysia na Waarabu (Oman na Yemen).
View attachment 262267
Embe S$10. US$7.50
View attachment 262269
Msikiti wa Kihindi. Eneo la Little India
View attachment 262270
Msikiti wa Kiislaamu.
View attachment 262275
View attachment 262271
Eneo la Kiarabu
View attachment 262276
The Merlion (Sealion).
View attachment 262274
hivo ni visiwa kama zanzibar...bandari imewatowa sn....sehemu yoyoyte yenye visiwa ni rahisi kutumia bandari kupata maendeleo makubwa...zanzibar ingelikuwa km singapore kutokana na mazingira yake ya visiwa yalivyo mazuri lkn mpaka leo hamna kitu kutokana na kushikiiwa na ccm
Siyo rahisi hivyo.
Rasilimali yao kubwa ni elimu.
Elimu bora, sheria zinazoheshimu biashara, mahakama zinazofanya kazi kulinda maslaha ya mfanyakazi na mfanyabiashara kwa kutowa hukumu haraka, mazingira yasiyo na rushwa na kubadili biashara haraka mazingira yakibadilika.
Asilimia kubwa la pato la nchi lipo kwenye biashara ya benki kama Uswisi. Lazima uwe na zaidi ya bandari nzuri ili wafanyabiashara wawekeze fedha zao au uchumi wa nchi ukuwe.
hujanielewa wewe. sijasema Singapore ipo Afrika bali nimesema mazingira ya afrika yafanana. Singapore ipo Asia we kichwa maji
ndo uswazi hiyo duuh. natamani Afrika pawe kama huko
Duh! sema kweli bana.
Kigoma itakuwa hivyo kabla ya JK hajaondoka October
Gharama za maisha zipoje ukilinganisha na Dar?
Jazia nyama hapo mkuu....
Is it among top tax heaven to be considered?
How efficient are they?
No inheritance or corporate gains taxes. Low business tax of 17% top.
So multinationals doing business in Asia park their earnings here to reduce taxes back home.
Officially, they deny being a tax heaven country. They are working to comply with American FATCA law and the European version to exchange customer information from their citizens.
Singapore has one of the world's most stable financial system. That is what attracts people and businesses from around the world. AAA credit rating doesn't hurt either.
They are extremely efficient. They are members of ASEAN, and do most of their business with the fellow members, especially Malaysia and Indonesia. Most super rich people in Asia park their money in Singapore. Even bribes are paid in Singaporean dollars not American in this part of the world.