tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,954
Ni kweli wanafanya kazi ila kuna baadhi ya ishu wanazengua sana huwez amini , aidha kesi kama hizi ni za vigogo na ni mgumu sana, ila kesi za kina kajampa nani hutawatamani hawa askari wetu.Duuuh nimeamini Jeshi la Polisi wanafanya kazi, wanao beza hili jeshi hawajapata matatizo