I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,734
- 10,045
- Thread starter
-
- #21
hahaha wanakwambia na maneno kibao ya shombo mpaka unaponaKuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
shida sio kuogopa sindano ila kumwachia tako mwanaume mwenzio au nesi wa kike kulishika shika eti achome sindano.Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
alafu unacheka au ?Juzi tu nimechomwa ya tako asee nesi alikua anashika shika tako lango
safi kwa kuepuka mchezo mbayaMimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
Balaa nduguhahaha wanakwambia na maneno kibao ya shombo mpaka unapona
kuna utaalam wake wa jinsi ya kuchoma mgonjwa sindano na sio kujichomea tu mkuu. Labda huwa hawafuati utafatibu.Halafu kuna manesi wakikudunga sindano tako linauma balaa sijui wanadungaje.
kuna utaalam wake wa jinsi ya kuchoma mgonjwa sindano na sio kujichomea tu mkuu. Labda huwa hawafuati utafatibu.
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
Nitaeleza kidogo hapo kesho kwa kile ninachofahamu.Kama zipi mkuu
πππJaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa πππππππ
Siku hizi havistui vimeboreshwa.Mimi kile cha kupima malarianhuwa kinanishtua.
πππππππππ
Ila mimi pia sindano hapana aisee mara ya mwisho sindano ya kalio nimechomwa mwaka 1998Kwenye sindano tena mama..hakuna uking pale
Niliponea nyumbaniWe huna akili ungesema wakuchome za mishipa mkononi ukatoroka kabisa ehee ulipona