Sindano haina ubingwa

Sindano haina ubingwa

Jamaa alistahili jibu hili mkuu huyo kiumbe nina bifu nae huoni comment yake haina adabu[emoji16][emoji16][emoji16]
Jifunze kupuuza mkuu, wewe ni kati ya wachache wadada ninao waheshimu sana. Humu ndani ukijifunza kupuuza, maisha yanabadilika na kuwa rahisi sana.
Anyway.... Good morning..!!
 
Jifunze kupuuza mkuu, wewe ni kati ya wachache wadada ninao waheshimu sana. Humu ndani ukijifunza kupuuza, maisha yanabadilika na kuwa rahisi sana.
Anyway.... Good morning..!!
Mimi nina udhaifu siwezi kuzuia hasira zangu na nikichukia niongee ama niandike hasira hapo zinaisha, Asante kwa ushauri.
Morning too mkuu
 
Mimi nina udhaifu sijui kuzuia hasira zangu na nikichukia niongee ama niandike hasira hapo zinaisha, Asante kwa ushauri.
Morning too mkuu
Ahsante Mungu kwa kutuunganisha.
Ebu basi naomba unifanyie wepesi kule PM ili nisikwame kwenye umaliziaji...[emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom