Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
- Thread starter
- #21
Duuh umetisha mkuu big up!!Mimi i dont care sindano leta vidonge leta. "Klistapen" au "Klorokwini" leta tena namungunya. Sema baada ya hapo radha ya msosi hukata.
Duuh umetisha mkuu big up!!Mimi i dont care sindano leta vidonge leta. "Klistapen" au "Klorokwini" leta tena namungunya. Sema baada ya hapo radha ya msosi hukata.
Hahaha alaf mpaka alibonyeze bonyeze kwanza na alipake spiritSindano siiogopi ila sipendi kufunuana makalio.
Unakuta kalio lako jeusi tiiii na upeleupele kibao , halafu nesi mtoto mkali mweupeee.
Kudharirishana hivyo kisa nini.
Kama ni wa kike unajikaza tu ila ni noma harafu hawe mkali mbona utakomaHahaha Alafu nesi ana sema usikaze tako
Manesi hao kama wapo basii ni wachache sana yaan uchomwe sindano usiihisi kabisaNesi mmoja kachukua pamba ananisugua tako huku ananisifia ile nakenua meno kutabasamu ananiambia tayari. Kachoma saa ngapi hata sielewi, kuna mafundi wa kuchoma hatari Mungu ambariki yule dada wa mwananyamala hospital 1998
Duuh pole sana mkuu ingekuwa ni mimi hiyo shughuli ya kuchomana hayo masindano ingeishia hapo hapoubwege wa sindano ni pale unaambiwa mshipa huu haupitishi dawa tubadiri na unao badirishwa pia haupitishi daaah
yamenikuta siku 2 nyuma
Hahaha noma sana mkuuKama ni wa kike unajikaza tu ila ni noma harafu hawe mkali mbona utakoma
mkuu hili zoezi niko naliwazia maana mtoa huduma anataka waniwekee IV cannula alafu mie nawaza kazi ntafanyaje kuzunguka na icho kidude kwa siku 5Duuh pole sana mkuu ingekuwa ni mimi hiyo shughuli ya kuchomana hayo masindano ingeishia hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23] full aibuuHahaha alaf mpaka alibonyeze bonyeze kwanza na alipake spirit
😂😂 Wakati lilivyo tu linaonekana limekazwa, Nafikiri likikazwa lazima sindano idunde..Hahaha Alafu nesi ana sema usikaze tako
Kuna mawili anaweza akawa ni fundi kweli au tako lako limekomaa kikonki😂😂Nesi mmoja kachukua pamba ananisugua tako huku ananisifia ile nakenua meno kutabasamu ananiambia tayari. Kachoma saa ngapi hata sielewi, kuna mafundi wa kuchoma hatari Mungu ambariki yule dada wa mwananyamala hospital 1998
ni miaka 21 imepita mpaka leo nakumbuka, imagine.... ni wachache tena wachacheee kama ulivyosema Johnman, sasa sijui unamaanisha john mtu WA magufuliManesi hao kama wapo basii ni wachache sana yaan uchomwe sindano usiihisi kabisa
Duuh aisee kwani hamna alternative mpaka wakuchomeke hata hicho kidudemkuu hili zoezi niko naliwazia maana mtoa huduma anataka waniwekee IV cannula alafu mie nawaza kazi ntafanyaje kuzunguka na icho kidude kwa siku 5
Hahaha sasa hapo wataalam sijui wakusaidiajeMimi naogopa vyote...
Hahaha hivi hii case ya mtu kukaza tako then sindano ikavunjikia takoni ipo kweliiyani ananiambia nisikaze tako,mi nashindwaga elewa sasa nisikazaje tako
siku moja si ndio kulegeza tako ushuzi ukatoka aaaah weee staki sindano za matakoni
kama huwezi nichoma mkono nipe vidonge,siku hizi kwanza napenda vidonge kuliko sindano.
Hahaha hatari sanaa[emoji23][emoji23] Wakati lilivyo tu linaonekana limekazwa, Nafikiri likikazwa lazima sindano idunde..