Hivi ile resach ya moja ya nne tulielewa vibaya ulikuwa kati ya wanne watatu sio wazima pyuuuuui akili za kusomewa biblia Mimi siweziHahaa kuna kanisa lingine nasikia ukiwa na watoto wa kuwazaa inabidi uwakane unapewa watoto wa kiroho ambao unawakuta mle kanisani hao ndio wanakuwa wa kwako unawalea unawasomesha yaani huku ndipo laana zinapoanzia ndio maana hatupati mvua
ahaaaa wapi huko tenaHahaa kuna kanisa lingine nasikia ukiwa na watoto wa kuwazaa inabidi uwakane unapewa watoto wa kiroho ambao unawakuta mle kanisani hao ndio wanakuwa wa kwako unawalea unawasomesha yaani huku ndipo laana zinapoanzia ndio maana hatupati mvua
Kusomewa Biblia kivipi embu dadavua hapo nati zangu hazijashika vyema ulikuwa unamaanisha?Hivi ile resach ya moja ya nne tulielewa vibaya ulikuwa kati ya wanne watatu sio wazima pyuuuuui akili za kusomewa biblia Mimi siwezi
ahaaa mkuu umenisababisha nimecheka hadi boss kanifumaKitanda wanaita madhabahu kuna jamaa tulikua tunakaa nae room moja anasali hilo kanisa,sasa one time akawa anaongea na demu wake kwenye simu akamwambia demu " mi niko madhabahuni" yaani kitandani.
Zanzibar wanaita kaanani, kuna siku jamaa akapata safari ya kwenda Zenji akawa anatuaga " jamani mi naenda kaanani" Dah! tulichoka.
Jina la jamaa sasa WISDOM GOD OF MERCY
Kumbe unasikia na huna uhakika wowote,Hahaa kuna kanisa lingine nasikia ukiwa na watoto wa kuwazaa inabidi uwakane unapewa watoto wa kiroho ambao unawakuta mle kanisani hao ndio wanakuwa wa kwako unawalea unawasomesha yaani huku ndipo laana zinapoanzia ndio maana hatupati mvua
Hahaha ni kweli mkuu!!Otee ngashtuka kuna zingine zitawaingiza watu jehanamu ya moto amini hivyo
We unaonaje au unaelewaje si kwa kusikia ama kuona acha kujitoa ufahamuKumbe unasikia na huna uhakika wowote,
Kwahiyo unatema hisia zako tu??
Shika nenoSiloam Church ni believers ambao wana ufahamu mkubwa sana, hoja za mtoa mada ni dhaifu. Pilipili ziko shambani, wewe zinakuwashia nini?
Usiongee kuaminisha watu kitu ulichosikia tu,tafuta uhakika wake,fanya research,acha tabia hiyoWe unaonaje au unaelewaje si kwa kusikia ama kuona acha kujitoa ufahamu
Kwahiyo unataka kuhama?Wanakera kweli kuna jirani yangu hapa yaani usiku kucha ni kusali tu kwa kupokezana alafu kwa nguvu kweli
Hakufa ghafla mkuu.Ila munuo.alikuwa na nguvu za ajabu sana.aliwezaje kuwamiliki watu akili zao kiasi hiki?alafu kafa ghafla tu.kiufupi jamaa alikuwa ni free Mason.
Mdau utomaso gani nahitaji zaidi ya huu matapeli wapo wengi sana siku hiziUsiongee kuaminisha watu kitu ulichosikia tu,tafuta uhakika wake,fanya research,acha tabia hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] microphone tesTKuna kikanisa mtaani kwetu..kuanzia jtatu mpk jtatu kanisa liko on firee kuanzia asubuhi wanatumia vipaza sauti na spika kubwa...ukipita unakuta ni watu wawili au watatu tu..ss najiulizaga kazi ya kipaza sauti ni nini..km mko wawili si mnahubiriana na kuimba kwa sauti ya kawaida tu mnasikilizana..
[emoji1] [emoji1] nyuma ya yard flan hv!!Mshana jr Hembu kama unaelewa utupe historia kidogo eti lile hekalu pale nyuma ya petrol station ya pale kinondoni Morocco huwa wanasali watu gani na siku gani na ibada zao zipoje unaruhusiwa kwenda mtu yeyote au kwa watu maalum na huwa linaitwaje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukifiwa unapewa salamu ya kupongezwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hatari sana,kuna jirani yetu mkewe kaingia kwenye hiyo dini.
Kwa sasa anamuita mumewe kichwa.
namnukuu...jamani mmekutana na kichwa changu leo.?...
[emoji1] [emoji1]Shabani Robert.
Ulikutana na nini mkuu sema kidogoNiliwahi kumpeleka mtu kanisani kwao kwa ajili ya maombi, nilipofanikiwa kutoka getini niliapa sitakuja kurudi tena eneo la kanisa lile