maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,856
Ukiwa mzee maskini na uchawi huna vijana wanakua hawakuogopi unageuka mtani wao
Aah kumbe![emoji3064]ngoja nirudie mikoba yanguUkiwa mzee maskini na uchawi huna vijana wanakua hawakuogopi unageuka mtani wao
🤣🤣🤣Ila jamaniKwa hatua niliyofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila hivyo nitakufa bila kuacha historia yeyote hapa duniani.
Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umasikini?