Sina usingizi

Sina usingizi

Hata mimi mwenyewe sikuwa na usingizi kuna mtu mmoja alikuja kuuazima nikampa wote...sasa ndio kanirudishia...je bado unauhitaji?
 
kama hupati usingizi jitahidi unywe Kahawa usiku kwa wingi, tatzo litaisha ndugu
 
Back
Top Bottom