Sina ujanja wa kuwakataa wasichana

we endelea tuu kuwachapa mk,,a.... halafu subiri kizaa zaa,,,,,,,,,,,,,,,,, waambie familia waandae pemperss,,,,,na nanihino eeeh,,,umenigeti bwana kubwa,,,, na mi pia ntakuja bora ni bure tuu,,, au wauzaaa????????

NILHAM, hapo red sijaelewa!
 
Angalia usije ukawa unataka kumpa dawa ya utamu kama ni hiyo utaumia best.
uganga umeanza lini wewe kama siyo unamtamani mwenzako

we subiri....wakati naongea na wateja unatulia....si unajua waungwana hawataki kiwingu......naomba nimshughulikie mteja tafadhali
 
...kamua tu! voda na tigo kamua tu! mchana na usiku kamua tu! hivyo vijisenti usisahau kuweka bima ya mazishi maana kifo kinapiga hodi mlangoni, kuna madege mengi yasiyoliwa ambayo likly ukayatafuna.
 
Tayari uhandsome wako ni mwiba kwako, nitrachangia ile nguo ya mwiso wa maisha
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
 
Na akiendelea kugonga atagonga hadi jiwe, eti yeye handsome wala hajisifii, mwanaume mzima unadanganywa na mabinti na unakubali!
Ajabu sana
wewe inatakiwa upelekwe Mombasa, ukapigwe kipapai, hamu zako zitahamishiwa kwenye kalio
 
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?

Unasema hujisifia wakati unajisifia, sema bwana kama unataka dada zetu humu ndani na kamtego ka sisimizi wakati humu kuna Tembo.

Unanikumbusha jamaa mmoja alitumia mtego wa 'dume kuvaa shanga' akawamaliza mademu wote mtaani kwetu, yaani alivyompata wa kwanza akaona mwanamme kavaa shanga (nyingi) akaenda kuwahadisia wenzake, basi kila demu alikuwa anajisogeza ili akashuhudie zile shanga, kutahamaki mtaa kwisha.
 
Midege isiyoliwa katafuna mingi na atakuwa ananuka ile mbaya
Naomba ataje angalau wachache mimi nataka kuoa mke wa pili nisije jikwaa kati ya chain hiyo ya mjidege
...kamua tu! voda na tigo kamua tu! mchana na usiku kamua tu! hivyo vijisenti usisahau kuweka bima ya mazishi maana kifo kinapiga hodi mlangoni, kuna madege mengi yasiyoliwa ambayo likly ukayatafuna.
 
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?

We endelea tu, ila matokeo yake ni mimbas and watotos kibao, wengine wa kupakaziwa, Na kibaya zaidi, utaanza kusema una 'kisukari' utakapokuwa umepata 'ngoma'.
 
Duh!kiongozi kama kama mdomoni mwako hakuna NO,then njia ya rahisi ya kukusaidia katika hilo fanya lifuatalo,Tafuta sehemu tulivu kisha wapigie simu wote waalike lakini sharti waambie waje na Baba zao...wakiweza wote kuja na dingi zao we jitambulishe kuwa ndio mgongaji wa wote hapo...then ukiweza kurudi home salama,then mkuu Endelea kugonga hizo ngozi but dont forget Kondomu ok.
 
Back
Top Bottom