Sina rafiki

Kunguru hawaruki na mbayuwayu wala yangeyange hachanganiki na kuku, Watu wa rika yako na Elimu yako ndio watakuwa marafiki wako wa kwakili , mbona ndege huchaguana wenyewe sembuse binaadamu. Jitahidi jieleze sawasawa utafanikisha mlingano wako wa kweli.
 
Kuhusu kufel kwako 4m4 na urafiki, kuna uwezekano mkubwa wewe ndiyo ukawa na matatizo. Watu mliofeli form 4 au six, alafu best ako akafaulu vizur ndivyo mlivyo, huwa mnataka mtafutwe nyie 2, jambo ambalo ni gumu. Mi mwenyewe nimepoteza marafik weng wa aina yako, nilijitahdi kuwaweka karibu lakn wapi, nimeamua kusonga mbele.
Infiriority complex.... wanahisi hawastahili kuwa na m2 aliyefanikiwa ktk jambo fulani hii huja naturally thats y ukiangalia vizuri marafiki mara zote huwa katika hali mfanano
 
hakika kila m2 anaitaji kuwa na m2 wake wa karibu katika kusaidiana na kuelezana mambo mbalimbali mara zote huyu huwa wa Jinsi yako kama huna ni tatizo kubwa lazima muendane kitabia so ukikurupuka itakula kwako hii huja naturally huitaji kutangaza kutafuta rafiki
 
Hao marafiki kumbe nao ni vigeugeu. Ushauri tafuta rafiki wa kada yako ili usikondeshe kwake kama unaomba kazi.
 
Kuhusu kufel kwako 4m4 na urafiki, kuna uwezekano mkubwa wewe ndiyo ukawa na matatizo. Watu mliofeli form 4 au six, alafu best ako akafaulu vizur ndivyo mlivyo, huwa mnataka mtafutwe nyie 2, jambo ambalo ni gumu. Mi mwenyewe nimepoteza marafik weng wa aina yako, nilijitahdi kuwaweka karibu lakn wapi, nimeamua kusonga mbele.

hii kitu niyakweli wale waliofeli wanajitenga na malafiki zao waliofaulu.ili tatizo hata mimi limenikosesha malafiki zangu wengi sana.
 
Rafiki wa kweli ni Yesu tu peke yake, ila kama unahitaji washkaji tu basi usikonde kwenye mabar wapo wengi tu, ila tu usiwe mvivu wa kuzungusha round.

Mimi mmojawapo akija B.BAR atanikuta 2we marafiki.
 
Rafiki hatafutwi kama pesa.kama rafiki tu unapata tabu sijui kwa wife itakuwaje?
 
jamaaa anajishitukia tu.... urafiki ndo mkoa gani huo??? mbona hata muuza genge ni rafiki yako??
 
Unataka rafiki wa aina gan ndugu yangu? Mbona humu 2po wengi tu kama mawazo tunabadilishana,tunafarijiana au we unataka rafiki mpaka mkae nyumban uhumtambulshe kwa mkeo....watakuchukilia mke shourizako!
 
....huna haja ya kuhofu,urafiki huja automatic ila natoa angalizo,yawezekana wewe pia unatabia ngumu,mfano,uchoyo,ubinafsi hivyo jiangalie na wewe pia
 
Wakati mwingine huwa tunafanya kitu kwa kutegemea fadhila kumbe sio mara zote watakulipa wale uliowafanyia mema,nadhani hii imekukuta ulitegemea wawe na wewe kwenye shida na hukuwaona ...
Ushauri
Wale uliowaona wakati wa shida ndio marafiki wa kweli hata kama ni nduguzo si kila mara rafiki atoke nje ya familia yako lol
“A man of many companions may come to ruin, but there is a friend who sticks closer than a brother.” (Proverbs 18:24) (Bible Quote)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom