Sina mtu! nataka mtu?

Hahaaa naomba tu nicheke..mana mwe..

Usicheke mummy... yan mpaka umri huu tushakutana na vimbwanga acha kabisa! Unakuta mkitafutana ni kwa ajili ya kupichuana au shida fulani. Hakuna kutoka walau mkabadilishana mawili.matatu kikazi, kifamilia au kushauriana kuhusu maisha hata kama hamna future. Hapo nikiiulizwa una mtu weeee lazima nitaruka kimanga aisee!!!
 
Aisee hivi huu nao ni uhusiano wenye afya eeh. Hapa seriously kinachokuwa kinaendelea ni uzinzi tu. Mwanaume wa hivi hata akitaka kuoa hawezi kukuoa wewe lazima atafute mtoto mwingine.
 
una mtu umemuumba? Watu anao mungu bwana
 
Why would you have such a person in ghe first place?

Yaani vitu.vingine vinachekesha kweli. We Smile una mtu au hauna?

Ukiona una mtu.mnavuana chupi tu bila kuwa na malengo nao ni uhusiano pia sema huo hauna malengo ya ndoa kama.ambavyo gals wengi.mngependa....so stop whinning and tale it easy. ndoa mkose na mgegedo mkose pia?
 
Last edited by a moderator:
mi mtu nitakuwa nae nimeumba kaka? Watu anao mungu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…