Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,334
- 3,421
Kweli ndio maana wengine husinziaga kwenye mahubili Ibadan
Hii nyuzi ndiyo ile ID yako nyingine uliyosema ulijisahau nayo siku moja ulivyolewa?Binti wa zamani umepoa sana siku hizi kwa nini lakini🤔
Nakunywa maji kakaSure bro japo marafiki zako kama sisi ni wazee wakulanduka sio vibaya lakini Castle_Lite itabidi kijana wetu na raisi wangu apate vyoda kama vyote ile siku🤔
Hahaha pole sana broNakunywa maji kaka
🙊 Nijambo la muda tu one day utakunywa japo kwa afya save the date Mimi nilikuaga na msimamo zaidi ya che Guevara 😳 Ila with time nikabadilisha mtazamo NACHUKIA ULEVI WALEVI ILA MIMI NI MNYWAJI WAKISTAARABU TENA WENGI HAWAJUI KAMA NAKUNYWA MAANA SIENDI BAR AMA CLABU GROSSERY MIMI NAENDA LIQUOR NACHUKUA MAGIC MOMENTS OR KONYAGI NDOGO MOJA INANITOSHA SANAA 🥃 SITO KUJA KUA MLEVI ABADANI NA SIUNGI MKONO ULEVIKama unavyo staajabu uki ona mtu kavuta sigara, nami nastaajabu mtu akinywa hata funda Moja.
Sasa mpk ipitilize itakuwa ni Kila siku 😂 kwa mwezi mara moja so mbayaNyeto ikipitilizaa Atapata ulemavu wa ubongo/akili CC. dronedrake
Uraibu mbaya Sana huo. Nukta.Sasa mpk ipitilize itakuwa ni Kila siku 😂 kwa mwezi mara moja so mbaya
Kijana inabidi anywe ila tumsimamie vizuri asiwe mlevi🙊 Nijambo la muda tu one day utakunywa japo kwa afya save the date Mimi nilikuaga na msimamo zaidi ya che Guevara 😳 Ila with time nikabadilisha mtazamo NACHUKIA ULEVI WALEVI ILA MIMI NI MNYWAJI WAKISTAARABU TENA WENGI HAWAJUI KAMA NAKUNYWA MAANA SIENDI BAR AMA CLABU GROSSERY MIMI NAENDA LIQUOR NACHUKUA MAGIC MOMENTS OR KONYAGI NDOGO MOJA INANITOSHA SANAA 🥃 SITO KUJA KUA MLEVI ABADANI NA SIUNGI MKONO ULEVI
Hahahaha ety mliopo chamani inawezkn MTU akala nyeto 🤔Uraibu mbaya Sana huo. Nukta.
😁
Wengi tuu haupo pekeakoo🏃🏃Umeamua kunitangaza? 🤣
Huwezi ukioa au ukiwa na mwanamke nyeto unaacha automatically 🤣Hahahaha ety mliopo chamani inawezkn MTU akala nyeto 🤔
Huyu mpaka anywe japo Kuna siku ALIWEKEWA 1MKijana inabidi anywe ila tumsimamie vizuri asiwe mlevi
Seems you are familiar with foreign exchange, coz equivalent to Tzs or USD en not equals to!Maana akiwekeza kwa wanawake watammalizaa abakie kichwa maana wanawake wa KISWAHILI huwezi anzisha mahusiano is equivalent to ajiraaaa🤣🤣
Hahaha sawa bruh,Huwezi ukioa au ukiwa na mwanamke nyeto unaacha automatically 🤣
HatareeeSeems you are familiar with foreign exchange, coz equivalent to Tzs or USD en not equals to!
Intelligent businessman 🤣🤣Huyu mpaka anywe japo Kuna siku ALIWEKEWA 1M
APIGE FUNDA MOJA AKAGOMAA☺️☺️😊
Leo mvua mvua balaa vipi pande izooHahaha sawa bruh,
Yaan nilienda home kwa babangu mdg, sasa asubuhii nafika kinondoni naambiwa mwendokasi haziend kivukoni, jangwani hakufaiLeo mvua mvua balaa vipi pande izoo