Acha ujinga, mahaba na cdm uwenayo wewe? na hilo lichama lako la mabwepande utamuachia nani?Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.
Chadema haina wanachama wapumbavu kama wewe....
"JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA"
Kumbe hata wewe mwenyewe huifahamu vizur.Mwishoni huyo jamaa kuna sehemu aligeuka ghafla ,fisi akajrusha na kuanguka,alikua anajua mkono unaanguka audake"
Sasa kama unaamini hiyo hadithi ni kweli ingia pale Mabwepande uone kama fisi atakua anakufuatilia kama hiyo hadithi.
Haina kweli wanachama wap,umbavu ila ina washabiki wapum.bavu kama wewe,ambae unashindwa kuheshimu mawazo ya wengne unajiona wewe ndio unajua kila kitu,heshimu mawazo ya watu changia kwa point sio matusi,
Chadema kwisha kazi yake. Hawamalizi huu mwaka.
Mbona Magamba yanasemwa sana kwa ubaya lakini bado yanadharau, hayafanyii kazi wala kujirekebisha lakini huyaambii? Hivi una akili timamu kweli au ndio nyie akili zenu zinazidiwa na za panzi?hiki chama kwa kweli hakitupeleki kuzuri,nina wasiwasi na future ya tanzania in the presence of chadema.
nawaomba viongozi wake wawe smart sana katika conduct zao.
ukiona watu wanakusema sema kwa ubaya usidharau,fanyia kazi,jirekebishe
kwa haraka haraka wanaweza kupinga kuwa hawahusiki katika mauaji ya ndago huko iramba lakini haihitaji elimu ya chuo kikuu mtu kumjua muuaji ni nani.
jiulize,mbona kabla ya mkutano wao hapakuwa na mauaji????????????????????????
kwanini tukio limetokea sasa??
hapa jamaaa watakana sana lakini wameua
si uache kwani umelazimishwa?nakumbuka mwakyembe alianza na vitisho hivyo2 akawa anaongea watu wanampuuzia lakini mwisho wake kilitokea kilichotokea na wewe ni shaidi, waache waeleze ukweli uliopo hata kikitokea tunajua kwamba walishaeleza tangu mwanzo,wanauana wenyewe kwa wenyewe washindwe wapinzani?we jitoe tu kwenye siasa kama umeshindwanaona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
Chadema wanashindwa kupigania mambo muhimu sasa kama bei duni za pamba, na minofu ya samaki mgomo wa madaktari, mgogoro wa walimu na selikali au uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr slaa, myika na lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa mbowe kawekewa microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. Chadema hakuna umoja tena wanaongea wanapata posho wanarara.
Siasa siasa siasa zinakera. A
JFM na wengine acheni ushabiki wa siasg bila macho.
Ivi mnyika na slaa ni muhimu kuliko wagonjwa wote wanaokufa leo kwa kukosa huduma. Mbona hawajawahi kuwaita waandishi kutoa msimamo wanatuletea maigizo humu.
Akifa mwanaharakati moja wanazariwa wengine 10. Acha waende watokee wengine wenye nguvu zaidi
yaani wewe ndo bwabwa la kwanza la magambaafadhali yako ambaye ulikuwa na imani nao, kwangu mimi sina na sijawahi kuwa na imani na chama cha upinzani chochote.
wasiosoma ni chakula cha wasomi.
JFM na wengine acheni ushabiki wa siasg bila macho.
Ivi mnyika na slaa ni muhimu kuliko wagonjwa wote wanaokufa leo kwa kukosa huduma. Mbona hawajawahi kuwaita waandishi kutoa msimamo wanatuletea maigizo humu.
Akifa mwanaharakati moja wanazariwa wengine 10. Acha waende watokee wengine wenye nguvu zaidi
yaani wewe ndo bwabwa la kwanza la magamba