UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 410
- 477
Naongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.
Somo najiamini, nimejibu vizuri, nina uhakika kama sio A basi ni B. Eti Necta wananiwekea D au kisa mimi ni PC.
Somo ambalo sifikirii kama nitashuka chini ya A, eti wananiwekea B.
Au NECTA mmezuia kwa PC kupata A kwa somo lolote?
Na laiti NECTA wangekuwa wanaruhusu kwa PC kupata A, basi mimi ningeipata A ya Kemia na sio ile B.
Na tena hadi hii leo sijaona A ya PC kwa somo lolote kwa miaka yote, na kama ipo mtu alete link ya matokeo hapa.
Hii haimaanishi kuwa PC wote ni VILAZA, hadi washindwe kupata A, bali kuna kizuizi walichoweka Necta kwa PC.
Nilfikiria Rufaa, nikaona haifai. Ni vigumu kwa baraza hilo hilo wakuwekee D, kisha ukate rufaa wakuwekee B. Hapa nashauri Wizara ya elimu iunde BARAZA HURU LA RUFAA YA MITIHANI YA TAIFA. Ambapo hilo lisiwe chini NECTA, bali lijitegemee. Na ndio maana kuna mahakama ya mwanzo na mahakama ya rufaa.
Na laiti RUFAA ingekuwa yasahishwa kihalali, mimi ningejiandaa na rufaa!
Ama kungekuwa na uwezekano tu, wakuona karatasi yangu ya kujibia NECTA nina uhakika watakuwa wamekosea yafwatayo kati ya haya.
1. Kutosahishwa baadhi ya maswali.
2. Kujumlisha max katika mtihani mzima!
3. Kukosea kupanga daraja. Yaani badala ya kuweka B kwa max nilizopata wakeweka D.
Nina uchungu sana kiwango changu cha Phys hakifanani na D. Ambapo D naiona kama nusu F.
Nina uhakika kwa PC anayepata div 2, angefanya mtihani kama SC, ANGEPATA ONE. Na anayepata B, angepata A.
Mwisho kabisa sipendi kushauri saana, mwanafunzi aliyefeli arisiti. Ni heri arudie kidato!
Mimi ni PC mwenye UCHUNGU NA ELIMU from CSEE 2016.