dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,304
- 5,833
Huwezi shinda, unajipotezea muda tu.vip kuhusu ku appeal?

Sijajua wewe ni nani na unahusika na nini NECTA. Ila nikitaka niamini maneno yako, WEKA LINK YA MATOKEO HAPA.Si kweli mkuu necta A wanatoa vizuri tu mbona mimi kuna somo nimesimanisha banda na umri wangu umeenda tu mana nilimaliza form four 2009 nikapata credit moja tu . Mwaka jana nikarisit nikapata A B B D D
Upo sahihi kabisa mkuuNaongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.
Somo najiamini, nimejibu vizuri, nina uhakika kama sio A basi ni B. Eti Necta wananiwekea D au kisa mimi ni PC.
Somo ambalo sifikirii kama nitashuka chini ya A, eti wananiwekea B.
Au NECTA mmezuia kwa PC kupata A kwa somo lolote?
Na laiti NECTA wangekuwa wanaruhusu kwa PC kupata A, basi mimi ningeipata A ya Kemia na sio ile B.
Na tena hadi hii leo sijaona A ya PC kwa somo lolote kwa miaka yote, na kama ipo mtu alete link ya matokeo hapa.
Hii haimaanishi kuwa PC wote ni VILAZA, hadi washindwe kupata A, bali kuna kizuizi walichoweka Necta kwa PC.
Nilfikiria Rufaa, nikaona haifai. Ni vigumu kwa baraza hilo hilo wakuwekee D, kisha ukate rufaa wakuwekee B. Hapa nashauri Wizara ya elimu iunde BARAZA HURU LA RUFAA YA MITIHANI YA TAIFA. Ambapo hilo lisiwe chini NECTA, bali lijitegemee. Na ndio maana kuna mahakama ya mwanzo na mahakama ya rufaa.
Na laiti RUFAA ingekuwa yasahishwa kihalali, mimi ningejiandaa na rufaa!
Ama kungekuwa na uwezekano tu, wakuona karatasi yangu ya kujibia NECTA nina uhakika watakuwa wamekosea yafwatayo kati ya haya.
1. Kutosahishwa baadhi ya maswali.
2. Kujumlisha max katika mtihani mzima!
3. Kukosea kupanga daraja. Yaani badala ya kuweka B kwa max nilizopata wakeweka D.
Nina uchungu sana kiwango changu cha Phys hakifanani na D. Ambapo D naiona kama nusu F.
Nina uhakika kwa PC anayepata div 2, angefanya mtihani kama SC, ANGEPATA ONE. Na anayepata B, angepata A.
Mwisho kabisa sipendi kushauri saana, mwanafunzi aliyefeli arisiti. Ni heri arudie kidato!
Mimi ni PC mwenye UCHUNGU NA ELIMU from CSEE 2016.
Kk kwanza polee ila mtihani si wakisport sport ninavyojua PC weng huwa hawako serious wanachukua mambo poa poa tyuu uki appeal utaona madudu yako uliyofanyaNaongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.
Somo najiamini, nimejibu vizuri, nina uhakika kama sio A basi ni B. Eti Necta wananiwekea D au kisa mimi ni PC.
Somo ambalo sifikirii kama nitashuka chini ya A, eti wananiwekea B.
Au NECTA mmezuia kwa PC kupata A kwa somo lolote?
Na laiti NECTA wangekuwa wanaruhusu kwa PC kupata A, basi mimi ningeipata A ya Kemia na sio ile B.
Na tena hadi hii leo sijaona A ya PC kwa somo lolote kwa miaka yote, na kama ipo mtu alete link ya matokeo hapa.
Hii haimaanishi kuwa PC wote ni VILAZA, hadi washindwe kupata A, bali kuna kizuizi walichoweka Necta kwa PC.
Nilfikiria Rufaa, nikaona haifai. Ni vigumu kwa baraza hilo hilo wakuwekee D, kisha ukate rufaa wakuwekee B. Hapa nashauri Wizara ya elimu iunde BARAZA HURU LA RUFAA YA MITIHANI YA TAIFA. Ambapo hilo lisiwe chini NECTA, bali lijitegemee. Na ndio maana kuna mahakama ya mwanzo na mahakama ya rufaa.
Na laiti RUFAA ingekuwa yasahishwa kihalali, mimi ningejiandaa na rufaa!
Ama kungekuwa na uwezekano tu, wakuona karatasi yangu ya kujibia NECTA nina uhakika watakuwa wamekosea yafwatayo kati ya haya.
1. Kutosahishwa baadhi ya maswali.
2. Kujumlisha max katika mtihani mzima!
3. Kukosea kupanga daraja. Yaani badala ya kuweka B kwa max nilizopata wakeweka D.
Nina uchungu sana kiwango changu cha Phys hakifanani na D. Ambapo D naiona kama nusu F.
Nina uhakika kwa PC anayepata div 2, angefanya mtihani kama SC, ANGEPATA ONE. Na anayepata B, angepata A.
Mwisho kabisa sipendi kushauri saana, mwanafunzi aliyefeli arisiti. Ni heri arudie kidato!
Mimi ni PC mwenye UCHUNGU NA ELIMU from CSEE 2016.
Tatizo uliingia kwenye mtihani na maswali yako sio ya necta.Naongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.

Watu wengi wanawalaumu PC kuwa wanakariri, wanajifanya wanajua kumbe hawajui n.k.Kk kwanza polee ila mtihani si wakisport sport ninavyojua PC weng huwa hawako serious wanachukua mambo poa poa tyuu uki appeal utaona madudu yako uliyofanya
Hahahhaaaaa we jamaa umenichekesha kichizi ila kiukweli mimi binafsi sijawahi kuona PC kapata A nahisi Kuna kitu nyuma ya paziaWatu wengi wanawalaumu PC kuwa wanakariri, wanajifanya wanajua kumbe hawajui n.k.
Na ukitaka uonekane kilaza mbele ya watu ulalamike umeonewa na NECTA kisha hao watu wakujue kuwa wewe ni PC. Haha! Hapo ndio kashifa zitaanza ooh, nyie PC, ooh! mnakariri. Ni heri alalamike SC.
Hawakumbuki kuwa si kila PC yupo hivyo wanavyofikiri wao!
Sasa poa, naamini nitafika mbali hivyo hivyo. Tena kwa hasira japo umri wangu unaruhusu kwenda A~level, ila nitasoma advance ki-PC-PC.
Na tena laiti chuo kikuu kuna uwezo wa kusoma kama PC, ningefanya hivyo!
Na Mungu awabariki PC wote. I LOVE PC.
Acha kupotisha usahihishaji uko sawa kwa pc na s.c tatizo la mareseaters wengi wanajiamini na matango poli yao,nasema huu ni ukweli kabisaNi ukweli ulio wazi kuwa hawajali Sana wanapomark pepa za PCs, They assume that you know much sasa hamnaga fairness, kwahiyo inatakiwa upate kazi ya kujibu zaidi ya mwanafunzi..!
Na pengine mkuu umestahili kupata ulichonacho kutokana Na uharisia, pengine ulijisahau kuwa wewe Ni PC hivyo ukajibu Kama SC (ukasahau kuwa you have to Digg deep)
All in all life goes on, kamata ulichonacho kisha angalia wapi unaelekea ..!
POLE KWA MACHUNGU
Aka matango pori,hawa pc wanajiamini sana kupita kawaidaUnalodhani lilikuwa jibu sahihi huenda ikawa ni kinyume chake. Necta wanafanya kazi kisayansi na ni mara chache zikawepo errors. Nenda kakate rufaa na watafanyia kazi shida yako, ila ujiandae kisaikolojia kwa matokeo yoyote.