Sina imani na CHADEMA, sitamani wachukue nchi

CHADEMA kuchukua nchi ni ngumu sana. Cha muhimu kwa sasa CCM turekebishe tulipokosea kutuliza hii hali iliyopo sasa. Kunaweza kutokea mpasuko kama 2015 ikawa hatari kubwa. Kukitokea mpasuko CCM ikagawanyika kuna wengi watahamia CHADEMA tukajikuta tunapata ushindani wa hatari.
 
Watasema hawashiriki tena uchaguzi 2030… tutafuteni mbadala
 
Chei chei

Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake

Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani

Msimamo wangu upo pale palee CHADEMA ikiingia madarakani najinyonga/mpaka kufa

Mimi sio chadema wala sio ccm sina chama ila napenda maendeleo, nitampongeza yeyote anayefanya vizuri na kumkosoa yeyote mwenye nia hovu na Taifa letu, tukiwatoa nyinyi wana siasa kuna wananchi ambao hatuna vyama na hatupendi mambo ya vyama na tuna haki yakuishi pia

Kiongozi wa chama anasema hataki uchaguzi mbali zaidi anaenda mbali anasema atavuruga uchaguzi then.. anashahuriwa na wanachama na viongozi wa chama kwamba waache maswala ya kuvuruga uchaguzi hataki then maafa yanatokea alaf unalaumiwa upande mmoja tu wa serikali hii sio fair, lawama wapewe wote, waliofyatua risasi lana na lawama juu yao na aliyechochea na kusema atakinukisha ili uchaguzi usiwepo alaaniwe na lawama juu yake pia

CHADEMA ikichukua madaraka najiua, nuna chukia, kufa, galagala lakini ukweli ni mchungu..

Mlaaniwe mlioua watu 0ctober 29 na mliochochea vurugu mlaaniwe wote, mfe vifo vibaya sanaa

Kuna vijitu vinanichukua kwa kuongea ukweli nawaambia sitaacha kusema ukweli..

Nyambafu
hao wataendelea kuongoza nchi ya kusadikika tu gentleman na si vinginevyo :NoGodNo:
 
Mapunga bhana,hiyo mbogamboga imekisaidia nini toka uhuru
 
Kuna vitu duniani havitakuja kutokea kamwe mojawapo ni hii chadema kuingia madarakani japo sinaga shobo na siasa ila chadema kuongoza nchi hii hilo suala halipo..just imagine mtu anasema wasipofunga kwa miguu basi watafunga hata kwa mkono tu😭😭😭😭😭
 
Umeandika nini?Chei chei?Walewaleee!
 
Kuna vitu duniani havitakuja kutokea kamwe mojawapo ni hii chadema kuingia madarakani japo sinaga shobo na siasa ila chadema kuongoza nchi hii hilo suala halipo..just imagine mtu anasema wasipofunga kwa miguu basi watafunga hata kwa mkono tu😭😭😭😭😭
CHADEMA wakila na kipofu wanaweza kuingia ila haina watu smart .Wanakosa watu wa mipango , wangeua mwizi kimya kimya bia ya vurugu na wao wangeweka pandikizi kwa wapinzani.

Kujenga chama ili kurudi bungeni kwa kasi , kila kona mpate kuaminika hata siku mkifanya jambo watu kila pande waitika ...Tatizo , viongozi wamekaa kikanda tu na kuna sehemu hawakanyagi.
 
Yaani ccm saivi ni kama chakula tuu utake usitake njaa ikiuma utakula tuu🤣🤣🤣🤣
 
Chei chei

Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake

Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani

Msimamo wangu upo pale palee CHADEMA ikiingia madarakani najinyonga/mpaka kufa

Mimi sio chadema wala sio ccm sina chama ila napenda maendeleo, nitampongeza yeyote anayefanya vizuri na kumkosoa yeyote mwenye nia hovu na Taifa letu, tukiwatoa nyinyi wana siasa kuna wananchi ambao hatuna vyama na hatupendi mambo ya vyama na tuna haki yakuishi pia

Kiongozi wa chama anasema hataki uchaguzi mbali zaidi anaenda mbali anasema atavuruga uchaguzi then.. anashahuriwa na wanachama na viongozi wa chama kwamba waache maswala ya kuvuruga uchaguzi hataki then maafa yanatokea alaf unalaumiwa upande mmoja tu wa serikali hii sio fair, lawama wapewe wote, waliofyatua risasi lana na lawama juu yao na aliyechochea na kusema atakinukisha ili uchaguzi usiwepo alaaniwe na lawama juu yake pia

CHADEMA ikichukua madaraka najiua, nuna chukia, kufa, galagala lakini ukweli ni mchungu..

Mlaaniwe mlioua watu 0ctober 29 na mliochochea vurugu mlaaniwe wote, mfe vifo vibaya sanaa

Kuna vijitu vinanichukua kwa kuongea ukweli nawaambia sitaacha kusema ukweli..

Nyambafu
Una umri Gani?
Ulisoma Hadi level Gani ?
Wewe ni ke au me au vyote
Unaweza hapa kutofautisha lati ya siasa na maendeleo? Ili usionekane chawa?
Unaishi wapi?
Vipi maji yapo?
Umeme?
Shule
Barbara kwa hapo ulipo?
Nduguzo wameakiriwa?
 
Acha ujinga, kaulize watoto wenzako, ujinga wako
 
Wanaweza wakasema 2030 hawataki tena uchaguzi
hiyo ni kitu mzuri sana gentleman,
ni kawaida yao, ni uhuru na haki yao daima. wasuse tu.

wale watakao shiriki uchaguzi mkuu,
watashindana na hatimae miongoni mwao ataibuka mshindi na ataongoza nchi bila mbambamba yoyote :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom