"Anything that's worth having, is worth fighting for""
hamna kitu kirahisi hapa duniani. Ndivyo maisha yalivyoo iwe ndoa, iwe masomo, iwe kutafuta pesa,
Kama unaamini ni mpangoo wa Mungu uwe na mume maishani mwako si vyema kukimbia kwa sababu ya ugumu. Ni kujiweka karibu na. Mungu akuoongooze kama utaolewa. Ndiyo kuna ndooa zimevunjika lakini pia zipo zilizoodumu, suala na jinsi wewe na mwenza wako mtapoojiweka karibu na Mungu na kujifunza jinsi ya kutunza ndoa yenu