Sina hamu na ndoa tena.

Sina hamu na ndoa tena.

Garmii

Senior Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
164
Reaction score
19
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,nimejitahid sn kwenda anavyotaka bado haridhiki,mkewangu pia huwa anatabia ya kushika cm yangu na hii style kwangu cjaona kma ni tatzo ila ucku wa kuamkia leo ameniamsha ucngzn nakunambia nijibu sms niliyotumiwa na mwnmke wangu wakti mm cna taarfa yyte km kuna sms.sms yenyewe iliandikwa hivi!BADO NAUMWA DARLING.ukwel nilishtuka sn kwn sikuwa na dem nje ya ndoa,nilichofanya nilipiga cm mda huohuo nakupokea mwanamke huku cm yangu ikiwa loud.yule mwnmke aliomba samhni kwn alikosea number za mwisho.sasa mkewangu hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!
 
Hee ananongwa huyo, na cm yako mmempigia huyo dada bila sms kufutika bado hajaelewa.

Mpe ruhusa akapumzike cku tatu atarudi tu
 
Hicho Kimeo cha kufanya muulize kama ana nauli ya kwenda kwao, kama hana mpatie nauli..

Pole sana 2005 hadi leo? mateso tu!
 
Kwanza hii thread ungeipeleka MMU.

Pili huyo mwanamke ana jambo lake moyoni sio hiyo sms anaitafutia sababu tu hana lolote aende nyumbani kisa sms ambayo umepiga simu na akaambiwa kuwa samahani??? Huyo mwanamke hafai cha msingi wewe mpe ruhusa tu ya kwenda home uone kama atamaliza hata wiki
 
Hebu mruhusu afanye anachoona kinafaa! haaa kisa cha kutaka kutoana roho kisa sms? pumzikeni kwanza
 
mhh!! akisema chanini wenzie twasema tutakipata wapi!!

mie naona kama unaremba mkatie tiketi kabisa ukitoka kazini mkabidhi

pole zake kalakabaho!!!
 
Kwanza hii thread ungeipeleka MMU.

Pili huyo mwanamke ana jambo lake moyoni sio hiyo sms anaitafutia sababu tu hana lolote aende nyumbani kisa sms ambayo umepiga simu na akaambiwa kuwa samahani??? Huyo mwanamke hafai cha msingi wewe mpe ruhusa tu ya kwenda home uone kama atamaliza hata wiki
thnx ma sister,wifi yako anataka kuntoa roh ati!
 
Kwa kifupi ndugu yangu, huyo mwanamke anatikisa kibiriti. Hebu mruhusu aende kwao kama atakaa huko. Usim-bembeleze kabaisa. Kwenye ndoa ni furaha na amani sio karaha ati!!!!! Mwache aende!!!!!!!!!
 
anaza ndoa viktim. jeshi la MMU mnaombwa kuingilia kati na kunusuru hii ndoa, japo kesi yenyewe haiko uwanja wa nyumbani. mimi leo niko holiday, sitoi ushauri
 
ehh apana
usimpe nauli...jaribu kumwelelwesha 7 mara 70 atakuelewa tu....tumetofautiana uaelewa na utambuzi so its yr duty to pull her aelewe na akutambue vyema ili apunguze mawivu yake....

mwulize ufanyaje alizike na km msg ndo imemfanya nywele zimsimame basi mwambie amtafute uyo mtu amwulize vyema km ahaamin ulivyompigia

duu io ndo ndoa bwna...miaka 12 mvi teeeeeeeeeeeleee ..akhuuuu mie ngoja kwanza nile maisha i STRESSCONTRACT aka marriage wil come over leta.....:juggle::juggle:

pole kaka:focus:
 
labda hajiamini kwa sababu ndoa haina mtoto anafikiri labda una mahusiano nje cha muhimu usiwe mtumwa wa ndoa hiyo fanya maamuzi sahihi
 
huo ni mfano kwa wanaoenda kwny ndoa kutafuta kukamilishwa na wenzi wao au watoto.
Huyo dada amepanick kwa kuwa hana mtoto, self confidence yake iko chini, namuonea huruma sana,
Ila utaweza kujioa sadaka kwa ajili yake? KAma ulivyoapa wakati wa kufunga ndoa?

Kaa ongea nae, hasa kuhusu watoto ambao hamjapata, mueleze msimamo wako, mambo ya kuchunguza simu pia nadhani yataingia kati, ila jambo hapo ni self confidence kwa penzi, inayotokana na ukosefu wa mtoto.

Pia ni muhimu mkapata fursa ya kujiangalia tena kwa kupeana likizo kidogo, baada ya kujua mitazamo ya matatizo yaliyo MBELE YENU
 
pole! Mpe naul huyo aende zake! Kwnz atakaguaje cm wkt ww umell? Hta hvyo umemweshm sn mwnaume mwngne angemtwnga mangum uck huo2! Hna adab kbs.
 
Hebu muulize anataka basi la aina gani kama kwao wanakwenda kwa Treni nuulize anataka class ipi umkatie tikrt kabisa! huyo analake moyoni hana lolote anatingisha aona kama imekwisha ana bado ipo sasa wewe mbie kuwa imekwisha nenda kapumzike kwenu utamfuata pale itakapo kuwa imejaa uone kama atatoa miguu yake nje!!!
 
Ndugu uliyeanzisha hii topic.
Zipo kero nyingi katika ndoa lakini hiyo kero ya kuonewa wivu na mkeo is almost negligible.
Mshukuru Mungu kwa kumpa mkeo wivu kwani anayekupenda ni lazma atakuonea wivu.
Note: Kuishi na Mwanamke inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
 
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,nimejitahid sn kwenda anavyotaka bado haridhiki,mkewangu pia huwa anatabia ya kushika cm yangu na hii style kwangu cjaona kma ni tatzo ila ucku wa kuamkia leo ameniamsha ucngzn nakunambia nijibu sms niliyotumiwa na mwnmke wangu wakti mm cna taarfa yyte km kuna sms.sms yenyewe iliandikwa hivi!BADO NAUMWA DARLING.ukwel nilishtuka sn kwn sikuwa na dem nje ya ndoa,nilichofanya nilipiga cm mda huohuo nakupokea mwanamke huku cm yangu ikiwa loud.yule mwnmke aliomba samhni kwn alikosea number za mwisho.sasa mkewangu hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!

Garma laway??!! pole sana, huyo dena naona amejiachia sana..hebu kaa nauongee nae kiuwazi na ukweli, usije ukawa unaumia kwa mawazo tele...
 
Ndugu uliyeanzisha hii topic.
Zipo kero nyingi katika ndoa lakini hiyo kero ya kuonewa wivu na mkeo is almost negligible.
Mshukuru Mungu kwa kumpa mkeo wivu kwani anayekupenda ni lazma atakuonea wivu.Aisee man hata km
Note: Kuishna Mwanamke inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.

this iz 2much man
 
Mwache aende akapumzike.
Atarudi. Wasiwasi wa nin!
 
Mwanaume mwoga."kWANZA HAPA SIYO SEHEMU YA KUOMBA USHAURI".
Sababu utakutani na ambao awajaolewa na kuoa,ushauri wao hautakusaidia kitu.
Kaa firikili,Kwanza Je we hupo fiti isije kuwa wewe ndo mwenye tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom