Sina hamu na ndoa tena.

Garma laway??!! pole sana, huyo dena naona amejiachia sana..hebu kaa nauongee nae kiuwazi na ukweli, usije ukawa unaumia kwa mawazo tele...
Sayuu amaa!wifi yako ananipa wkt mgumu sn,anyway nahitaj mawazo yenu then niangali cha kufanya!
 
wivu ni chachu ya mapenzi lkn usipitilize,nadhani mkeo anakosa kujiamini kutokana na kutokuwa na mtoto,na pia ana self conflict yani kila saa anaona mambo hayako vile yanavyotakiwa kuwa,yani y me?kwann leo ajanikiss,kwanini leo mpaka nao hajaniuliza niko wapi etc,ni mapezni sawa anakupenda sana lkn naamini na ww unampenda mno,kuachana si kutatua tatizo kama mnapendana mtoe out sehem ambayo hamjawahi kwenda mueleze jinsi unavyompenda na ulivyo muaminifu kwake,mueleze alivyo mzuri na mambo yote mazuri na mabaya mliyopitia lkn bado mnapendana,nadhani itasaidia.
 
Mwanamke asiye mwelewa kama huyo, sijui umwelekeze vipi akuelewe kuhusu hiyo sms. Tulia usimsemeshe akianza kufungasha mwangalie akiondoka mwage kwa upole tu. Utulivu wako utampa fundisho.
 
Ulimuharibu kitabia na kifikra wewe mwenyewe tangu mwanzo cc tuliooa huwa hatuishi maisha ya lamuja demiva au isidingo badilika tangu sasa itawale ndoa yako kuwa na sauti ya kiume. Usimwache aende pekeyake kwao mpeleke mkabidhi mpaka utakapo amua wewe kuwa arudi asijiamulie yeye. NB hakikisha huduma zote unampa katika kipindi chote cha mapumziko yake
 
Asante kwa ushaur wako mzur bro.
 
Pole sana Garmi,
1.Kuwa makini sana katika kila ushauri unaopewa isije kuwa wewe umemchoka kwa hilo kumbe na yeye amekuchoka kwa lingine.
2.Kaa na mkeo ongea nae mwombe awe wazi kwako ili kila mmoja awe na amani
3.Inawezekana kuna Mtu anawafahamu na anacheza mchezo mchafu wa kukutumia msg usiku akijua kabisa mkeo ata react na kuondoka then iwe furaha kwake.....
 
una maoni mazuri sana ukiishaingia kwenye relationship au ndoa ni vizuri ukubali kubeba mizigo yote ya mwenzako!
ehh apana
usimpe nauli...jaribu kumwelelwesha 7 mara 70 atakuelewa tu....tumetofautiana uaelewa na utambuzi so its yr duty to pull her aelewe na akutambue vyema ili apunguze mawivu yake....

mwulize ufanyaje alizike na km msg ndo imemfanya nywele zimsimame basi mwambie amtafute uyo mtu amwulize vyema km ahaamin ulivyompigia

duu io ndo ndoa bwna...miaka 12 mvi teeeeeeeeeeeleee ..akhuuuu mie ngoja kwanza nile maisha i STRESSCONTRACT aka marriage wil come over leta.....:juggle::juggle:

pole kaka:focus:
 
Mwanamke ambae hajajaaliwa kupata mtoto anakuwa na wivu kupita kiasi, inabidi umstahamilie sana.
 
Kaka usiogope sana labda nikuulize mlisha wahi kuwa mbalimbali hata kwa mwezi hv toka mfunge ndoa? kama bado mruhusu aende kwao akapumzike akikataa unda safari chukua likizo kama umeajiriwa kaa mbali naye angalao wiki tatu halafu fanya vitu ambavyo unavipenda kula raha haswa hadi ukirudi uwe umetakata (simanishi uzinzi hapa) ogelea masaji kula vizuri especialy matunda na vyakula raw kwa wingi kaa mahali pa kimya peke yako kwa angalao saa moja kwa siku halafu tafakari utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Amesikia kwamba ilikuwa wrong No.
hakupaswa kudai kuondoka jaribu kuzungumza nae kwa upole labda ana jambo jingine zaidi ya hilo
nakupongeza kwa kutokuwa na demu nje
endeleza msimamo wako
 
Ndugu uliyeanzisha hii topic.
Zipo kero nyingi katika ndoa lakini hiyo kero ya kuonewa wivu na mkeo is almost negligible.
Mshukuru Mungu kwa kumpa mkeo wivu kwani anayekupenda ni lazma atakuonea wivu.
Note: Kuishi na Mwanamke inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.[/QUOTE]

:crutch:KUISH NA MWANAUME KUNAITAJ NGUVU NA UVUMILIVU WA ZIADA..
 
una maoni mazuri sana ukiishaingia kwenye relationship au ndoa ni vizuri ukubali kubeba mizigo yote ya mwenzako!

ntayavumilia mwaya sasa ntafanyaje?
ndo mana saizi naitaj kura rrrraha kwanza ili nikiingia uko ndoani nikukuta YAKUYAKUTA iwe poa tu na niweze kustahimili manake mmh naona drama nyng thyeta chache!!!

ntamvumilia yote isipokuwa....
 
Mwanaume mwoga."kWANZA HAPA SIYO SEHEMU YA KUOMBA USHAURI".
Sababu utakutani na ambao awajaolewa na kuoa,ushauri wao hautakusaidia kitu.
Kaa firikili,Kwanza Je we hupo fiti isije kuwa wewe ndo mwenye tatizo.

pia wapo walio oa ,wenye uzoefu na wenye busara wanaoweza kumshauri vyema.
amekaa peke ake kafikiri sana na akupata jbu thats y akaomba watu wamshauri.
nawasilisha....
 
ehh apana
usimpe nauli...jaribu kumwelelwesha 7 mara 70 atakuelewa tu....tumetofautiana uaelewa na utambuzi so its yr duty to pull her aelewe na akutambue vyema ili apunguze mawivu yake....

mwulize ufanyaje alizike na km msg ndo imemfanya nywele zimsimame basi mwambie amtafute uyo mtu amwulize vyema km ahaamin ulivyompigia

duu io ndo ndoa bwna...miaka 12 mvi teeeeeeeeeeeleee ..akhuuuu mie ngoja kwanza nile maisha i STRESSCONTRACT aka marriage wil come over leta.....:juggle::juggle:

pole kaka:focus:

kuna wakati akili yako ikitulia,
huwa inaongea vitu vya busara sana!,
hongera binti!!!!
 
kuna wakati akili yako ikitulia,
huwa inaongea vitu vya busara sana!,
hongera binti!!!!

naona unantaka!!!!!1
unantaka ya sandukuni ..lione vile...ndo mana unatumia fake...wenzako tudrink the orijinooo..
unefika salama mshkaj wangu?
nilitaka kukuchek nyt nkaona mhh uyu mda u na kbarid cha kishumundu lazima atakua ametaitiwa na manka....salama kaka?
 
Mwanamke asiye mwelewa kama huyo, sijui umwelekeze vipi akuelewe kuhusu hiyo sms. Tulia usimsemeshe akianza kufungasha mwangalie akiondoka mwage kwa upole tu. Utulivu wako utampa fundisho.

Unajua DaMie,
huwa mnakuwa na lugha nzuri na tamu sana,
mkiwa nje ya ndoa, lakini mkishaingia huko lol...
utajuta kumfahamu,
sidhani kama wengi wanaweza kuwa na mawazo kama yako DaMie!!!!!!!!!!!
 
naona unantaka!!!!!1
unantaka ya sandukuni ..lione vile...ndo mana unatumia fake...wenzako tudrink the orijinooo..
unefika salama mshkaj wangu?
nilitaka kukuchek nyt nkaona mhh uyu mda u na kbarid cha kishumundu lazima atakua ametaitiwa na manka....salama kaka?

swadakta mama,
ungenicheki tu dia,
si unajua tena uhuru wa kuongea kwetu umejaa sana!,
karibu muhogo wa kuchoma na chachandu!!!!!!!
 
Unajua DaMie,
huwa mnakuwa na lugha nzuri na tamu sana,
mkiwa nje ya ndoa, lakini mkishaingia huko lol...
utajuta kumfahamu,
sidhani kama wengi wanaweza kuwa na mawazo kama yako DaMie!!!!!!!!!!!

mwanaume urud uko bla uyoga utansoma rang,....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom