Sina hamu na ndoa tena.

Maoni ya wengi yanaonesha wivu wa mke wako unatokana na kukosa kwenu mtoto. Kama ni hivyo, mmechukua hatua gani kulitatua hili? Mmeenda kufanya uchunguzi kujua tatizo ni la mmoja kati yenu au nyote? Ikiwa bado uchunguzi, fanyeni. Matatizo mengine ni madogo kiasi yanaweza kurekebishika na mkapata mtoto.

Ukiwa chia wivu wake, bado unampenda? Ikiwa ndivyo, kaeni mliongelee hilo. Mweleze yanayokuudhi, akueleze yanayomuudhi, pa kurekebisha mrekebishe, pa kupunguza mpunguze. Ndoa ni kujitolea.

Ikiwa utaamua aende kwao, fuata ushauri ulopewa katika post No. 24.
 
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,....................... hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!

Ni wazi kuwa moja ya tatizo ni jinsi unavyomuonyesha upendo (this was supposed to be a positive thing in ur relationship) sasa anahisi kuwa anaweza kuwa ontop of everything. Ninahisi kuna shida ya mawasiliano ktk ndoa yenu pia huyo mke hana nia ya kuiendeleza hiyo ndoa kwa tabia yake ya kutafuta faults tu siku zote. Nawashauri mkae chini kwa pamoja m-review incidents ambazo kila mmoja wenu anaona ni shida kwakwe ili kujua tatizo ni nini hasa? (You never know uenda huyo dada ana makundi ya marafiki zake wanaom-mentor wrongly/au amepata kijana mitaani sasa anatafuta excuse - any) Kisha baada ya hapo mtajua pa kuanzia ktk kuweka mambo sawa.

If she insists kwamba anataka kwenda home well and good fuata ushauri uliopewa to see to it kwamba anondoka kwa amani.
 
wewe si umeshazoea kudrink ze orijino?
basi kaa mkao wa kula,
uyoga orijino waja bibie, ushindwe wewe!!!!!
ahh wewe bwana mwooooooooongo tangu uanze kunihaidi magar yoote yenye plate namba za njano ni yako utanipa na uwongo wa uyoga tangu kipnd cha ROMA mpaka leo ahh skuamin teeeeeeena

kaa na uyoga wako minataka urud salam tu....nakuitaj wewe tu ...
 
sasa ile safari yetu vipi mtu wangu,
si unajua tunatakiwa twende wote kule kiboroloni?
 
Note: Kuishi na Mwanamke inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.

Ndibalema : Kuishi na mwanamme pia inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Kwa kifupi kwenye ndoa inahitaji kuvumiliana wote, uwe mwanamke au mwanamme. Mmhh pia ndoa zina mambo mengi sana! naishia hapa
 
bado anataka kujiridhisha beyond doubts. We usimjali sana. Mpe dozi yake ya kutosha kisha muache na bla bla zake. Ataenda atarudi. Pia inaonyesha nae hana mtu nje
 
imenikumbusha frnd wangu alikwaruzana na mr wake akapaki vitu vya ndani vyote akanda kwao akidhani mr atamfuta kumwomba arudi, aliikaa kwao miezi 3 akipiga cm mr hapokei, akituma sms hazijibiwi, mwishowe alijirudia tena na vitu vyake kavipaki kwenye kenta...haaa mpaka kesho anabanana na mr kwa nguvu zote, kwao ni kwenda na kurudi....hahaha maisha ya ndoa yana vituko vya kutosheleza....
 
Kwanza ujue kuwa mke wako anahitaji faraja - maana issue ya kutokuwa na mtoto kwa ndoa ya muda mrefu - bila shaka moyo wake una kidonda tayari. Mke wako anakupenda SANA ila yuko "possessive" - hali inayompata mtu katika mapenzi - kila saa, wakati, mara anataka amwone ampendae, amsikie, ajue nyendo zake etc. kwa ujumla awe karibu naye kila dakika - kuna watu wanakuwa katika hali hizo kwenye mapenzi. Unachotakiwa kufanya:

1. Mpe assurance kuwa huna mpenzi mwingine - unampenda yeye kulko wanawake wote
2. Ukiwa naye mwonyeshe kuwa furaha yako ndio kuwa naye tu na si kitu kingine kinaweza kuchukua nafasi
3. Ongea nae kuwa issue ya kutokuwa na mtoto - humlaumu yeye - ila hata katika hali hiyo unampenda sana
4. unapofanya tendo la ndoa na mkeo - hakikisha unamridhisha vya kutosha
5. Ukiwa mbali naye (kazini) uwe una-communiate naye
6. Tumia NENO LA NAKUPENDA MKE WANGU kila mara

Inaonekana wewe ndio una matatizo - labda unampenda mkeo lakini humwonyeshi kama unampenda na kumjali KWA VITENDO. Usimwache aende kwao - mwambie unapanga kwenda naye kusalimia na mrudi wote. MAPENZI NI KUMFANYA MWENZAKO AJIONE UMEMWEKA MOYONI MWAKO 100%:attention:
 
Maoni ya wengi yanaonesha wivu wa mke wako unatokana na kukosa kwenu mtoto. Kama ni hivyo, mmechukua hatua gani kulitatua hili? Mmeenda kufanya uchunguzi kujua tatizo ni la mmoja kati yenu au nyote? Ikiwa bado uchunguzi, fanyeni. Matatizo mengine ni madogo kiasi yanaweza kurekebishika na mkapata mtoto.

Ukiwa chia wivu wake, bado unampenda? Ikiwa ndivyo, kaeni mliongelee hilo. Mweleze yanayokuudhi, akueleze yanayomuudhi, pa kurekebisha mrekebishe, pa kupunguza mpunguze. Ndoa ni kujitolea.

Ikiwa utaamua aende kwao, fuata ushauri ulopewa katika post No. 24.

We mkaka habari yako!!!
Dah, watu wanamwambia amuache mke wake,
Wanajua anachompa????

Alaaa hapana, ushauri wa Rose na huyu kaka hapa unahusu.
Wewe hutaki kupendwa?
Dah, sasa asikuonee wivu wewe amuonee nani?
Dah, sasa unataka asikuonee wivu?
Subiri akutane na Bacha kama atakuonea wivu tena.
Hapo sijui utafurahi.................

Haya bwana, usiache mke wewe, tumia akili za kiume hapo.
Wivu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu au kuna kingine hujakisema?
 
imenikumbusha frnd wangu alikwaruzana na mr wake akapaki vitu vya ndani vyote akanda kwao akidhani mr atamfuta kumwomba arudi, aliikaa kwao miezi 3 akipiga cm mr hapokei, akituma sms hazijibiwi, mwishowe alijirudia tena na vitu vyake kavipaki kwenye kenta...haaa mpaka kesho anabanana na mr kwa nguvu zote, kwao ni kwenda na kurudi....hahaha maisha ya ndoa yana vituko vya kutosheleza....

Nimemwambia mimi amruhusu aende aone kama atamaliza hata wiki moja
 
Yaani huyo amekurahisishia kazi kabisa, mruhusu aondoke na umwambie asirudi tena mpaka atakapokua amejirekebisha na unamwambia ni maeneo gani ajirekebishe.
 
We mkaka habari yako!!!
Dah, watu wanamwambia amuache mke wake,
Wanajua anachompa????

Alaaa hapana, ushauri wa Rose na huyu kaka hapa unahusu.
Wewe hutaki kupendwa?
Dah, sasa asikuonee wivu wewe amuonee nani?
Dah, sasa unataka asikuonee wivu?
Subiri akutane na Bacha kama atakuonea wivu tena.
Hapo sijui utafurahi.................

Haya bwana, usiache mke wewe, tumia akili za kiume hapo.
Wivu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu au kuna kingine hujakisema?

LD ni bora huyu kaka amekuja hata kuomba ushauri, mwingine angeamua kutafuta nyumba ndogo na kuhamia huko huko. Hebu fikiria miaka 5 kila siku ugomvi? hiyo ndoa ndoano? hashauriwi kumuacha mkewe bali amuache akapumzike kwao akirudi atakua na adabu kubwa sana, maan kwako ni kwako kwa wazazi kunakera maelezo hakuna, akirudi akili itakua imemkaa sawa.

Muhimu sana akapumzike kwao kwa muda.
 
So anampa likizo sio?
Mmmmmh, likizo innahusika hapa!!!!!

But miaka yote hiyo, ni tatizo la wivu tu?
Mi mbona nasita kuamini?

We mkaka hakuna tatizo lingine?
 
So anampa likizo sio?
Mmmmmh, likizo innahusika hapa!!!!!

But miaka yote hiyo, ni tatizo la wivu tu?
Mi mbona nasita kuamini?

We mkaka hakuna tatizo lingine?

c kwamba everday ni ugomvi no ugomvi wetu unakuja cku nikirudi home saa 2 lazima tugombane anataka nirudi saa 12 jioni,sina hata mda wa kubadilishana mawazo na wenzangu.
 
c kwamba everday ni ugomvi no ugomvi wetu unakuja cku nikirudi home saa 2 lazima tugombane anataka nirudi saa 12 jioni,sina hata mda wa kubadilishana mawazo na wenzangu.

Umekuwa kuku anataka kuingia bandani???
 
Pole Brother!! Siku nyingine akisoma sms kwenye simu yako, ambayo imefanana na hiyo, usimpigie huyo wa upande wa pili. Vile vile inaonekana ni jinsi gani mlivyozoeshana... Kuacha ni ngumu sana.. Wengine wana wivu wa kurithi, hata ufanyeje,,, hauishi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom