hahaha paroko waleta utani eeeeh subiri mi wangu atakaponisaliti lazima dunia itashangaa maamuzi magumu nitakayochukua
mmmmmmmmmmmhhhhhhhh!!!
Hivi umeelewaje hapa
Mbona hii makitu imekaa ki hadithi hadithi hivi?
hapana madama hapasemi hivyo pengine haukupaelewa kwa usahihi,kapasome tena.
biblia inasema of course kwa kosa la usaliti/uzinzi ndoa yaweza kuvunjwa lakini bible inasisitiza ni sababu ya ugumu wa mioyo ya wato(kusamehe)na kuonesha jinsi ilivyotiliwa msisitizo mkishaachana hauruhusiwi kuolewa tena mpaka huyo mtalaka atakapofariki,[/QUOTE
Sasa unanipinga nini na wewe unasema nini? kwani me nimesema kwamba biblia imelazimsha watu kuachana kisa mtu kazini nje ya ndoa? nimesema biblia imeruhusu, sasa its up to u kama kuwa na moyo mwepesi na kusamehe na kuendelea au kutoka, na pia sijasema baada ya hapo uolewe tena, kwani hata mimi neno nalijua sana
Nimeshakuambia na ninakuambia kuwa hakuna utakachokifanya dunia ikashangaa
Hakuna kwasababu ambavyo ukivifanya dunia itashangaa huwezi kuvifanya
Kama unabisha hebu niambie kimoja tu ambacho ukikifanya dunia itashangaa!
Ngastuka saa miiiingi, ila nachangia tu kwa wataokuwa na matatizo haya kiukweli
paroko ujue hayo maamuzi yanakuwaga ya ghafla mnooo na inakuwa sio akili ya kawaida
siwezi kukwambia kwa sababu sijajua akili yangu itaamua nini
Sasa naomba nikupe ushauri wa maana sana na ambao utaijenga ndoa yako, ni wanaume wachache sana wanaokiri makosa na kuomba msamaha na kutafuta njia ya kukusahaulisha huyo wa kwako hapo kafuzu, naomba uzingatie pia kuwa ata yeye moyoni atakuwa anaumia kwa hiyo situation maana ni ya aibu kwa upande wake pia, kwa vile amekiri makosa yake, msamehe mpaka rohoni na anza sasa kumuhudumia vile ipasavo hiyo inaweza ikawa ndio njia ya yeye kuacha uzinzi. Ukiendelea kumchukia atachoka na itafika time atafanya ya ajabu zaidi ya hayo like kulala nje, kunywa pombe kupita kiasi na mengine mengi, Sahau, Samehe na fungua moyo wa upendo upya
kwa sababu litakuwa tukio la ajabu na lakushangazaSasa kama hata utakachokifanya hujakijua umejuaje kuwa dunia itashangaa?
Toka naww nje ya ndoa angalau mara moja au mara mbili... na ikiwezekana mfanya ajue kabisa.
hii itakusaidia kisaikolojia kujiona huna haki ya kumchukia mmeo kwan nawewe pia umefanya kosaa hilohilo.
Na itajupelekea kua mwepesi kiakili na kusahau yalitotokea
.
ninaposema ndani ya nyumba namaanisha kwenye ndoa, sio nyumbani
The same is clicking my mind. Kuna vitu ameandika vinavyoonesha asisadikike; Atoke atokako ghafla akute mtu kainamishwa bila mlango kufungwa? Ni mtumishi gani wa umma abadili ofisi ya umma kuwa danguro bila tahadhari yoyote? Mama mwenye watoto wawili unaandika sentensi kakasi kama hii? K yangu imekufa ganzi. Hii sentensi ni dhahiri imeandikwa na binti mdogo ambaye anadeploy soko la kifaa chake. Kwa kifupi alichokiandika mwenye thread hakina ukweli wowote.
Mhusika haelezi sekretari alipewa kipondo au la? Resonse ya sekretari baada ya kufumaniwa ilikuwaje? Utawala wa hiyo taasisi ulipata taarifa ya tukio hilo na hatua gani ilichukuliwa? Haiwezekani mtu afumaniwe halafu taarifa isitoke hasa wakati wa purukushani kati ya mke na sekretari.
cc: Nakshi
KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI! Utaacha wangapi ndugu yangu.