Sina hamu na mume wangu

Kwenye maisha kuna mitihani mingi, lakini hakuna jambo kuu kama kusamehe kwa maana ya kukubali yaliyotokea. Isipokuwa pale ambapo anaepewa msamaha HATAMBUI jinsi umejitoa hapo inabidi kuchukua hatua nyingine. Katika mazingira haya kama mnaishi pamoja ni busara kupeana muda wa kupumua/kutengana kwa muda kila mtu aishi kivyake. Kama kuna watoto mnaweza kukubaliana arrangement za kuwatunza kwa maana ya kuchangia matunzo au Bread winner kuendelea kuwatunza watoto. Kipindi cha kutengana kikiisha bila muafaka basi hiyo ndoa haikuwa riziki bali ni MAJANGA
 
hauko peke yako hata mimi nina hilo tatizo mimi wa kwangu nilikataa kushuhudia tukio lkn kwa taarifa na uhakika nilionao nikama nimeshuhudia tukio kinachonitokea ni kwamba nimemchukia zaidi ya adui yangu ila hajui sijafanya nae mapenzi bado ila sijui naanzia wapi kupanua miguu yangu aingize dushelele lake tena humu yaani naumia nafsi yangu vibaya mno kibaya nimeanza kuapenda mtu mwingine na sijutii kua nae wala kusex nae na enjoy hata akinigusa ukucha ila yeye nimemchukia nahisi kila atakacho nifanyia nitakichukia maana akili yangu inanipa picha ndicho alichokifanya na wenzangu wengine
 

Na watu weng wanavumilia mambo ya ajab sana huko kwny ndoa zao kisa huyo mume ndo kila kitu...dada kaolewa,familia yote macho hapo
 

Sio uongo huyo ni zaidi ya adui haswa.ana colabo na adui zako kikuangamiza...mkewe!..anajua fka hao anaoshiriki nao hawakutakii Mema tna baya likikufka kwao sherehe..yet ana colabo nao behind your back..ni adui mwaya wala hujakosea Mungu akupe mlango Wa kulipita hili..treat your feelings mweh
 
ila dah pole my dear, you are in a very hard time..yaani pole sana jamni..duuuuuuh

umenifanya nikakumbuka ya kwangu ya kale
 
Heeee, vipi tena bi shosti!!!!!

 
Duh story za jf bana teh leo nimeolewa, kesho am 30 sijaolewa, kesho kutwa am single mom....
 

Mwisho wa siku naiona hatari ya kuchepuka hapa!
 
Da pole sana. I can imagine uliumia ila namuomba Mungu yasinikute na wewe upate faraja usahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…