Sina hamu na mume wangu

Utaacha wanaume wangapi sasa mpaka umpate huyo MALAIKA?

Kwani kuwa na mume lazima jaman? Yakikushinda siunatoka tu unakaa mwenywe, mm nimeolewa lakn cku yakinishinda ndo basi tena ntaishi mwenywe maisha yangu yaliyobak
 
Pole sana, personally when i have been wronged, a poor memory is usually my best response, Jaribu it might help u also. Its tough ila time can be a good healer.
 
amna shida mkuu roho yako utabaki nayo tu usijali

mmmmh, lets hope so...maana naskia usipo mtoa roho yan picha ya kusalitiwa itakusumbua milele////hehehe adi ufanye what you do best:wink2:
 
Kwani kuwa na mume lazima jaman? Yakikushinda siunatoka tu unakaa mwenywe, mm nimeolewa lakn cku yakinishinda ndo basi tena ntaishi mwenywe maisha yangu yaliyobak
Na kweli hujakomaa ktk ndoa hakuna mwanaume asiyechepuka!wapo ambao mpaka wanaletewa watoto wadogo kuliko wakwako wa kuzaa mwanaume nje wanaambiwa bahati mbaya na maisha yanasonga.Utaondokaje kwako?
 
Ngumu aisee umemuona hivi kabisa halafu nimwangalie tu na kuendelea na majukum kama mke??????!!!!!!
U cant be seriouz me hata chumba nahama au nilale chini na huduma ya xhumban ndo asahau
 
Ngumu aisee umemuona hivi kabisa halafu nimwangalie tu na kuendelea na majukum kama mke??????!!!!!!
U cant be seriouz me hata chumba nahama au nilale chini na huduma ya xhumban ndo asahau

Unamkomoa nani. Ukimnyima nyumbani anakula kitumbua ofisini. Kazi ni kwako.
 
"TO FORVIGE IS TO SET THE PRISONER FREE, THE PRISONER IS YOU" Albert Einsten.
 
Kufilisi inategemea sana, kama humpendi sana mtu kumfilisi inalipa. Ila kama umeumizwa, hata pole ya kitu chochote huitaki.

Niliwahi kosewa, nikapewa kitu hivi, nilikikataa asilani. Saa hivi ndio huwa najuta kwa nini sikukibeba. Kwa muda ule hakikuwa na thamani kabisa.

apo kwenye reeed apo....mmmmh wa machame ndo napo waheshimu..nifilisi sawa ila roho yangu niachie:biggrin1:
 
Ha ha ha ha, eti necha, khah!

Ila nyie viumbe watata, afu siku hizi nimekuwa sensitive kweli na kuibiwa, sijui nazeeka.

Mi simtendei ubaya. Necha inaniruhusu. Yeye inamkataza.
 
uza mtoto, hujui labda huyo ndio festi lavu wake, kumwambia atakula kitufu ofisini ni kumnyima sana raha.

Unamkomoa nani. Ukimnyima nyumbani anakula kitumbua ofisini. Kazi ni kwako.
 
Msamehe Na muombee kwa muumba amsamehe pia!kwn ni shetani alimpitia tu!ila fikilia sababu gani ilimfanya akatoka nje ya ndoa,isijekuwa wewe ndo chanzo cha tatizo hilo.Na usipompa K ujue unampa chance secretary kumalizia Kitandani kabisaaaaaa!pole sana Lakini.
 
Na kweli hujakomaa ktk ndoa hakuna mwanaume asiyechepuka!wapo ambao mpaka wanaletewa watoto wadogo kuliko wakwako wa kuzaa mwanaume nje wanaambiwa bahati mbaya na maisha yanasonga.Utaondokaje kwako?

Wasiochepuka wapo ingawa wachache na hilo swala la uvumilivu lina kikomo mana mtu akifikia kukuletea watoto nyumbani hizo dharau zimevuka mipaka unaamua kuondoka zako tu labda kama umemfanya huyo mume ndio mwokozi wako huna maisha bila yeye familia nzima inawangalia dada kaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…