Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
so ile huduma inakuwa ya kusua sua...ningekuwa mkewe ningemkimbiza hosp kwa nguvu zote, raha nyingine zinatimia kwa mikiki mikiki ya kueleweka bwana.
Kweli kabisa...Mwanzoni wanaitwa mwinyi ila ngoma ilifika maximu wanakuwa hovyo kabisa..Utamwone huruma sana...Kulibeba anahitaji msaada wheel barrow!!
Huyo anaweza kufanya lolote kweli?