Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

hivi Fidel ni nini hasa huwa kinavimba? huku bara hakuna hayo makitu kabisa

busha1.jpg

Umeona? Busha linakuwa hivi.
Hapo inabidi ushonee mfuko unalihifadhi.
Hapo ukijambishwa maji hayo yanapandisha mdadi
 
Busha huku kanda za Pwani katalogi bana. Sasa komredi wewe unataka kumuondolea heshima mpwa!
 
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?

Kweli dada...wamama wazoefu wa kuyatumia wanayapenda..Ni simple logic..anything causing some friction around those areas itaongeza sensations wakati wa mambo ya kikubwa...Mtu aliyekwishazoea hawezi kukubali huo utamu uondolewe...Ni kama yale mambo kule kanda ya ziwa ambao Rev. Masa aliwasilisha hapa jamvini siku moja...LOL!!

Ni kwamba watu hawajui tu...hata haya ya kwetu ambayo ni mazima (size ya kawaida) yanaweza kutumiwa vizuri tu!!
 
uwiii najuta kukuuliza maana umeona maelezo sielewi uweke na picha kabisa....
 
busha1.jpg

Umeona? Busha linakuwa hivi.
Hapo inabidi ushonee mfuko unalihifadhi.
Hapo ukijambishwa maji hayo yanapandisha mdadi

Kuna mtu aliniambiaga ukinywa sana togwa na yale maji ya madafu na kuendesha baskeli za Swala eti ndo linaota. Kumbe fiksi tu....kuna kimbu kikikung'ata ndo kinasababisha hilo.
 
Busha huku kanda za Pwani katalogi bana. Sasa komredi wewe unataka kumuondolea heshima mpwa!

Hahahaha komredi bana niliona kipindi cha mwezi mtukufu mpwa wangu futari alikuwa anapiga popote full ujiko
 
Kweli dada...wamama wazoefu wa kuyatumia wanayapenda..Ni simple logic..anything causing some friction around those areas itaongeza sensations wakati wa mambo ya kikubwa...Mtu aliyekwishazoea hawezi kukubali huo utamu uondolewe...Ni kama yale mambo kule kanda ya ziwa ambao Rev. Masa aliwasilisha hapa jamvini siku moja...LOL!!

Ni kwamba watu hawajui tu...hata haya ya kwetu ambayo ni mazima (size ya kawaida) yanaweza kutumiwa vizuri tu!!

Ni kweli kabisa mzee...ngoja kuna makala moja ya BBC niliisoma na inatoa maelezo kwa urafu na undani zaidi kuhusu nafasi ya busha katika maloveee.
 
uwiii najuta kukuuliza maana umeona maelezo sielewi uweke na picha kabisa....

La mpwa wangu bado dogo dogo halijawa hivi yeye hata sarawili anapiga kama kawa ila mbele utagundua palivyo tuna
 
sasa mbona huwa wanatuna kwa mbele wakati likitu lenyewe liko huko nyuma kumbe?
 
hivi Fidel ni nini hasa huwa kinavimba? huku bara hakuna hayo makitu kabisa

B, ni ugonjwa huo..unasababishwa na minyoo (Wucheraria bancrofti) ambayo inajificha kwenye mishipa midogo ya damu (lymphatic vessels) na kusababisha kuvujisha maji..Yakivuja kwenye miguu ndo inasababisha kwenye matende..Pia kuna matende ya matiti au kwenye korodani (busha)!!!

Mfuko unao hifadhi kengere unajaa maji yakiwa mengi anashonea mfuko kabisa ili kuzuia yasicheze cheze

Fidel...hebu acha utani...pamoja na kwamba ni ugonjwa na inabidi niwonee huruma wagonjwa...ila umenichekesha sana!!

Nasikikia huko kwetu Tanga kuna mtu alikuwa analibeba kwenye troli...Ila ikifikia hapo...kale ka-mashine kanafutika kabisa...Kanakuwa kama ka mtoto mchanga!!!
 
sasa mbona huwa wanatuna kwa mbele wakati likitu lenyewe liko huko nyuma kumbe?

Three dimension hiyo mwaya hata kwa mbele lazima kutune na mwondoko lazima ubadilike pia.
 
Kuna mtu aliniambiaga ukinywa sana togwa na yale maji ya madafu na kuendesha baskeli za Swala eti ndo linaota. Kumbe fiksi tu....kuna kimbu kikikung'ata ndo kinasababisha hilo.

Hapana bwana...Ni minyoo tu...Ila sema hii minyoo inapatikana kwa wingi sana maeneo ya pwani!!
 
Hahahaha komredi bana niliona kipindi cha mwezi mtukufu mpwa wangu futari alikuwa anapiga popote full ujiko

Hivi unadhani kwa nini Klorokwini videmu vya humu vinamzimia? Alwatan yule....la kwake yuko nalo beneti kama mgambo na kirungu chake.
 
kaa nae uongee nae umweleze umuhimu wa kuliondoa busha na pia madhara ya kukaa na busha ... huhitaji kutumia nguvu ila anatakiwa aeleweshwe tu
 
sasa mbona huwa wanatuna kwa mbele wakati likitu lenyewe liko huko nyuma kumbe?

B,

Ni matakwa ya mpiga picha tu...Ila ukiliweka kwa nyuma muda mrefu si utam-strangulate huyo baba??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom