Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

B, ni ugonjwa huo..unasababishwa na minyoo (Wucheraria bancrofti) ambayo inajificha kwenye mishipa midogo ya damu (lymphatic vessels) na kusababisha kuvujisha maji..Yakivuja kwenye miguu ndo inasababisha kwenye matende..Pia kuna matende ya matiti au kwenye korodani (busha)!!!

Fidel...hebu acha utani...pamoja na kwamba ni ugonjwa na inabidi niwonee huruma wagonjwa...ila umenichekesha sana!!

Nasikikia huko kwetu Tanga kuna mtu alikuwa analibeba kwenye troli...Ila ikifikia hapo...kale ka-mashine kanafutika kabisa...Kanakuwa kama ka mtoto mchanga!!!

so ile huduma inakuwa ya kusua sua...ningekuwa mkewe ningemkimbiza hosp kwa nguvu zote, raha nyingine zinatimia kwa mikiki mikiki ya kueleweka bwana.
 
Kuna jamaa alikuwa na Busha akawa hataki wanawake wajue akiwa nao faragha, akaamua kutenga tundu kwenye kitanda cha Kamba na shuka lake, kisha akipanda kitanda analining'iniza chini.

Acha paka adhani panya mvunguni alitie makucha!!!
 
B,

Ni matakwa ya mpiga picha tu...Ila ukiliweka kwa nyuma muda mrefu si utam-strangulate huyo baba??

hahaaaa kumbe muhusika anaweza tu kuli-position atakavyo eeh? hivi sasa likivimba hivo yule 'babu si anakuwa mduchu sana?
 
Hivi unadhani kwa nini Klorokwini videmu vya humu vinamzimia? Alwatan yule....la kwake yuko nalo beneti kama mgambo na kirungu chake.

Hahahahaha komredi umeniacha hoi duhh
kweli busha ni ujiko sasa hivi ni kweli ukinywa madafu sana ndo linaota?
 
Mi nahisi huenda anafurahia hiyo mijambisho. Si unajua wanasemaga wakijambishwa huwa lile dubwana linatekenyeka.

Halafu kanda za Pwani busha ni kama alama ya ujiko flani hivi....

unachosema ni kweli NN, kuna jamaa nilimuona maeneo ya Bagamoyo, akijambishwa anajipiga dole la mpaka anenda chini huku amefumba macho na tabasamu zito usoni.. wanayapenda watu wa pwani hayo madude
 
Kuna jamaa alikuwa na Busha akawa hataki wanawake wajue akiwa nao faragha, akaamua kutenga tundu kwenye kitanda cha Kamba na shuka lake, kisha akipanda kitanda analining'iniza chini.

Acha paka adhani panya mvunguni alitie makucha!!!

hahaaaaa Gee acha kamba

lolz!!!
 
Hahahahaha komredi umeniacha hoi duhh
kweli busha ni ujiko sasa hivi ni kweli ukinywa madafu sana ndo linaota?

Teh teh teh.....ngoja kije ki-Afrodenzi hapa....hopefully kitatupa details kwa undani kuhusu huyu alwatani wetu.
 
Kuna jamaa alikuwa na Busha akawa hataki wanawake wajue akiwa nao faragha, akaamua kutenga tundu kwenye kitanda cha Kamba na shuka lake, kisha akipanda kitanda analining'iniza chini.

Acha paka adhani panya mvunguni alitie makucha!!!

Hahahaha hawakulitoboa kwani?
Maana likitoboka nasikia ana kufa kuna utoaji maji kitalaam huko Kisarawe
 
Lina raha yake bwana hasa likiwa linagonga gona sehemu niliwahi onja mtu mwenye ma p u m bu marefu acha tu sitasahau :msela:
 
unachosema ni kweli NN, kuna jamaa nilimuona maeneo ya Bagamoyo, akijambishwa anajipiga dole la mpaka anenda chini huku amefumba macho na tabasamu zito usoni.. wanayapenda watu wa pwani hayo madude

Daaa ina maana jamaa anapata orgasm?
 
Kuna jamaa alikuwa na Busha akawa hataki wanawake wajue akiwa nao faragha, akaamua kutenga tundu kwenye kitanda cha Kamba na shuka lake, kisha akipanda kitanda analining'iniza chini.

Acha paka adhani panya mvunguni alitie makucha!!!
Hahaha!!! Loll mwalimu kwa vituko wewe
 
Lol!! Fidel huyo mpwaa wako ni yule anayekaa maeneo ya Mabibo au yule anayekaa pale karibia na TIP TOP karibia na CONWAY HOTEL
 
Sasa naona umepata mwanga kidogo kwa nini mpwa kazila hela zenu....usikute hizo hela kajivinjaria na Mwanaidi wake.

Hapa nimepata jibu sasa ndo maana anapiga piga chenga kwenda kulitoa
Lakini jioni nitamuuliza shangazi mpango mzima je yeye anapenda mpwa aendelee kuwa nalo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom