Simwelewi Alikiba

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Jaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??
Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala asubir watu wamuite King??

Huyu jamaa asipokuwa makini mmmmmm!! Atabaki tu kusema "babriiiiiii!"
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Afadhali aisee.... Maana hajielewi kabisa
Hahahaahaaa
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Kweli kiba msanii mdogo,ukonga kuna ukumbi gani wa kujaza washabiki wake
Hivi Diamond akifanya shoo ukonga si watu watakufa kwa kukanyagana
 
Back
Top Bottom