Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Nisameheni,
Nilitumia mda mwingi kumrudisha katika hali yake na pia ukizingatia zimetokea misiba miwili kwa mpgo,
hata mimi nilikuwa shocked kwa kweli,
so nilishindwa kujigawa maana si kwa kudekewa kule![]()
![]()
,
naona hili ni dongo kwa vile vyama pinzani mkuu.Hongera kwa kuwa na bibie bega kwa bega,bila shaka umejizolea asilimia zote zilizokuwa zinagombewa na wapinzani wako
Poleni sana.
Mi mtu na heshima zangu nilisha achaga zamani usela
