Me naamini hujafikiri kabla ya kuandika..... Hapa udini unakujaje???Sasa leo hamuwataki waislam kweli ??
Mkuu unamaanisha historia ipi ?maana watz wengi tunawajua hao watu akina Dosa ,Sykes, Aziz n.k kama wapigania Uhuru Wa nchi hii.Je, labda wewe ungependa waandikweje ?Maggid umeguswa na suala la nauli badala ya kuhoji kwa nini Dossa Aziz na wengine hawasomeki katika historia ya nchi?
Hawakuwa na vigezo vya kuwa viongozi hasa wakilinganishwa na nani?
Kwa nini kabla ya uhuru walikuwa matajiri na wanaonekana kufilisika baada ya uhuru na hata vizazi vyao havisikiki?
Mabinti,vijana,na wajukuu wao wako wapi? kwa nini familia ya Bibi Titi haisikiki?
Nini kiliikumba familia ya kambona? ina maana hakuna mwana familia ya kambona aliye excel hata kielimu?
watu tunahoji mambo trivial badala ya kujiuliza maswali magumu
Mwanga moja hiyo, nafikiri utakuwa umenielewaNi kweli Maggid lakin mzee alikuwa analalamikia kiasi cha malipo ya uzeeni aliyokuwa anapokea,kwamba ilikuwa kidogo sana.Nilipomuuliza kuhusu kifo cha Sokoine,mzee alisema ,,,,aaa wapi,kawawa wanamsingizia tuuu,aliyemuua bado yuko serikalini na ni mtu mkubwa tuuu.Nilijitahid kumdadisi lakin wap mzee hakuniambia aliyekuwa anamaanisha.
Mkuu wewe ungekuwa Nyerere ungemfanyia nini Dosa ili iwe sahihi ?Hapana,usimlaumu Majjid,huenda alitaka kuonesha jinsi mzee Dossa alivyotumia nguvu na mali zake na uhuru ulipopatikana hakuna aliyemjali akaishia kuwa fukara na akakutana na mnufaika wa juhud na mali zake,akaishia kumpa tuu nauli na kumnunulia gari ya kutembelea.Unajua kila jambo lina angle zake kadhaa ambazo mtu mmoja hawezi kuziona zote.
Hivi hao wazee walipigania Uhuru kwa maslahi ya uislam wao au maslahi mapana ya Tanganyika ?Sasa leo hamuwataki waislam kweli ??
Wewe hata tu nishani ya heshima kwa hawa wazee kutambua mchango wao hakuna hivi we jiulize ulipo kua unasoma shule kunakitabu chochote ulisha soma kikakuonyeha watu walo changia mchango mkubwa kupata uhuru wa nchii hii zaid ya nyerereMkuu wewe ungekuwa Nyerere ungemfanyia nini Dosa ili iwe sahihi ?
Ningetaka maoni yake kuhusu nini angehitaji kufanyiwa.Kama cheo au biashara,kilimo au mengineyo.Ningemtengenezea mazingira ambayo yasingemfanya afe kwa majuto.Kwa ujumla tu kwamba ningemlipa fadhila kwa aliyonitendea binafsi,chama na hata nchi.Zaidi ya hayo,ningehakikisha anaingia katika vitabu vya historia ya nchi yake.Mkuu wewe ungekuwa Nyerere ungemfanyia nini Dosa ili iwe sahihi ?
Nimeelewa kwamba ni yule mzee Mchuya,alishatajwa huko nyuma,je? Kuna ushahidi wa hilo?Mwanga moja hiyo, nafikiri utakuwa umenielewa
Kwa kawaida historia haipatikani katika nyaraka moja.Mara nyingi historia hujengwa na mkusanyiko wa nyaraka nyingi tofautitofauti.Wewe hata tu nishani ya heshima kwa hawa wazee kutambua mchango wao hakuna hivi we jiulize ulipo kua unasoma shule kunakitabu chochote ulisha soma kikakuonyeha watu walo changia mchango mkubwa kupata uhuru wa nchii hii zaid ya nyerere
Iparamasa,Mohamed Said ana mengi kuhusu hili
Mkuu unamaanisha historia ipi ?maana watz wengi tunawajua hao watu akina Dosa ,Sykes, Aziz n.k kama wapigania Uhuru Wa nchi hii.Je, labda wewe ungependa waandikweje ?
Umesema hao watoto wa wapigania Uhuru kama akina Bibi Titi ,Kambona hawasikiki.Je, ulitaka wasikike vipi? Wawe magavana ,mawaziri au ?Mkuu, hii nchi ni ya watanzania wote ,Fanya bidii tafuta fursa utasikika tu.Au mkuu ungependa labda wapewe vyeo vya bure bila jitihada kwa kuwaenzi baba/mama zao ?
Kama ulitaka hivyo,utakuwa umepotoka hatuwezi kuijenga nchi yenye usawa ikiwa tutawapendelea watu kwa majina yao/koo zao.Tukifanya hivyo tutatengeneza koo za watawala na koo za watwana.
Asante.
Kwa hiyo hao wazee walipigania Uhuru kwa maslahi yao binafsi na sio nchi ?Ningetaka maoni yake kuhusu nini angehitaji kufanyiwa.Kama cheo au biashara,kilimo au mengineyo.Ningemtengenezea mazingira ambayo yasingemfanya afe kwa majuto.Kwa ujumla tu kwamba ningemlipa fadhila kwa aliyonitendea binafsi,chama na hata nchi.Zaidi ya hayo,ningehakikisha anaingia katika vitabu vya historia ya nchi yake.
Balibabambonahi,Hapana,usimlaumu Majjid,huenda alitaka kuonesha jinsi mzee Dossa alivyotumia nguvu na mali zake na uhuru ulipopatikana hakuna aliyemjali akaishia kuwa fukara na akakutana na mnufaika wa juhud na mali zake,akaishia kumpa tuu nauli na kumnunulia gari ya kutembelea.Unajua kila jambo lina angle zake kadhaa ambazo mtu mmoja hawezi kuziona zote.
Whose task to make such a history? Tusiingize udini tu maana mtoa mada ameleta hoja muruaMaggid umeguswa na suala la nauli badala ya kuhoji kwa nini Dossa Aziz na wengine hawasomeki katika historia ya nchi?
Hawakuwa na vigezo vya kuwa viongozi hasa wakilinganishwa na nani?
Kwa nini kabla ya uhuru walikuwa matajiri na wanaonekana kufilisika baada ya uhuru na hata vizazi vyao havisikiki?
Mabinti,vijana,na wajukuu wao wako wapi? kwa nini familia ya Bibi Titi haisikiki?
Nini kiliikumba familia ya kambona? ina maana hakuna mwana familia ya kambona aliye excel hata kielimu?
watu tunahoji mambo trivial badala ya kujiuliza maswali magumu