Nashukuru sana kwa kuitikia wito!Website yako nimeiona, Kaka. Ni wazo zuri sana,ndugu yangu, lakini inahitaji uboreshwaji kidogo kuleta mvuto kwenye User Interface. Nimependa zaidi wazo la dark mode.
Japo sijaperuzi sana, ila niseme hongera. Sema kuna jambo moja nahitaji kulifahamu. Ni vipi waandishi/content creators watafaidika. Au nina jambo naweza kukushirikisha ukiwa tayari. Ahsante!
Nina mipango kadhaa ya watu kufaidika lakin sio mbaya nkasikia mpango wako!
So unesemaje tukakutana Inbobo!?