seeker of knowledge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 225
- 168
Chachasteven, Tuendeleeee
Ajitahidi kuweka ipande vya kutoshaWe Jamaa usiwe unauweka sana
😂😂Sitaisoma hii..
Asante sana. Umejuaje mkuu? Nashukuru sana. Kweli naifuatilia mkuu. Mimi ni mpenzi sana wa hizi za kiupeleleziSwet-R, frankie23, ADK, popie, Zabron Hamis, Laki Si Pesa, HaMachiach, na gluckkcom Sehemu ya pili tayari. Ipo hapa
Website yako nimeiona, Kaka. Ni wazo zuri sana,ndugu yangu, lakini inahitaji uboreshwaji kidogo kuleta mvuto kwenye User Interface. Nimependa zaidi wazo la dark mode.Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni EquatorStory
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.