Hahaaa hapo jiwe la kubusu sie makamanda enzi hizo nikiwa mgumu kuna kinjia unapita juu kwa juu unaparamia miamba sababu foleni ya pale ukute ndio high season utakaa zaidi ya masaa...Jiwe la kubusu ni hivi, ili kutoka pale barango kwenda karanga lazima mpite mlimani, na mkiwa pale barango mlima unauona uleeeee, mkifika pale mlimani njia ni nyembamba sana, sasa kuna sehemu kuna jiwe kubwa ili kupita hapo lazima ulikumbatie hilo jiwe na unapita upande upande lakini mbaya zaidi chini kuna korongo so ukikosea step kidogo tu unaweza kujikuta uko korongoni, so mnapita mmoja mmoja na kwa uangalifu mkubwa. Nakumbuka kundi letu tulikuwa zaidi ya watu 30 tulitumia almost 2hrs kuvuka hapo....na slogan ya mlimani ni Pole Pole....no hurry
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ipo so isolated kama ile ya Rongai...Hii route ya Umbwe ni korofi sana na haina wageni wengi kwa sababu ni steep sana
Walifariki.... Mvua huwa nishida sana, hasa ukiwa bado uko kwenye low altitude...
Hapana hizi route hazikutani, ila kwa anayepandia machame or lemosho akifika karanga au barafu camp kuna vijinjia anaweza pita akatokea kibo hut ambayo ndio last sleeping point ya route ya marangu na rongai, hizo njia wanatumia sana wale cleaners wa park or wagumu wanaoenda deliver supply...naomba kujua endapo mtu mmoja amepandia machame na mwingine mlangu je, hiz njia kunasehem zinakutana?
Ni kweli mkuu ndio sababu wageni wengi wanapenda pitia machame or lemosho japo kuna vigongo...Ku summit ndipo tatizo huwa linakuwepo
Kuna safari moja sitoisahau ya siku 10 kuzunguka mlima lemosho route tulikuwa na wabrazili mwisho wa siku tunashuka hawaelewi chochote kuhusu tip, dadeki ile siku kila mgumu alitukana kikwao...By that time ilikua 15 to 20 k per day mkiwa na bahati unaweza pata tip ya 5 au 10 mpaka 30dollars mda mwingine no tip at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walifariki.... Mvua huwa nishida sana, hasa ukiwa bado uko kwenye low altitude...
Hapana... Machame sio Fupi, minimum days za machame ni 6 while Marangu ni 5.Machame route ina miiunuko Ila ni fupi marangu route ni tambarare sana mwanzo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Marangu nilikua siipendi kabisa, mara nyingine nilikua nikipangiwa ninaomba tu nibadilishane na mtu... bora nikakomae pale mbula au mgongo wa tembo...Machame route ina miiunuko Ila ni fupi marangu route ni tambarare sana mwanzo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinakutana Stella Point...naomba kujua endapo mtu mmoja amepandia machame na mwingine mlangu je, hiz njia kunasehem zinakutana?
Kabisa kabisa... Kipindi kizuri sana.
Naona uvivu kuendelea kuandika..
Mniombee ndugu zangu in JP voice.
Sent from my iPhone using JamiiForums
MaranguKwani kuna routes ngapi za kupanda huo mlima? Nasikia marangu, machame, rongai
Sent using Jamii Forums mobile app
Guide wetu alituambia hyo route fupi shida ni kwenye hyo kissing the rockMarangu nilikua siipendi kabisa, mara nyingine nilikua nikipangiwa ninaomba tu nibadilishane na mtu... bora nikakomae pale mbula au mgongo wa tembo...
Asante mkuu ngoja nianzie mazoezi ya kuruka viunzi kujiweka tayari nia ni kufika kileleni.Marangu
Rongai
Machame
Lemosho
Umbwe