Simulizi ya kweli: Boarding ya wasichana, Maisha ya O-level

Simulizi ya kweli: Boarding ya wasichana, Maisha ya O-level

Nini sasa!!
Mkuu, kuna mahali nimetaja kuwa huwa naingia bweni la wasichana kwenye hizo sehemu tatu za story nilizoandika!!?

Nilisema kuwa, hawa wadada walikuwa wanatumia vyoo vya nje ya bweni kwa sababu vyoo vyao vilikuwa kwenye ukarabati!
Hpn acha hzi hbr za kutunga tafuta vitu vingine
 
chaiiiiiiii ila,nimecheka sana form threee saaa 11 upo shule na ulivomuoga uliondoka kwenu saa kumi
 
Screenshot_20210120-154853.jpg
 
Eti hii kenge inataka kukata tamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mbona watu mnakazania neno chai kwa sana? Chai! Chai! Chai! Chai!
Kwani kigeni hapo ni kipi!

Kwamba wanafunzi wa bweni hawagegedwi au!

Hadi nakata tamaa ya kuendelea na story,
Chai, Chai, Chai Pro max, Chai Lite, Chai Hot 9
 
Wenye mapendekezo ya story kuahirishwa wekeni likes hapa!
No "likes"
Wanamaanisha story iendeleee, nilichogundua neno "chai" ni kidokezo cha story inatakiwa iendelee kwa kasi ipi!

Kipande kingine kinafuata soon...
 
Back
Top Bottom