Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

Kawashtaki uchukue hela.

Tena unajua niliisoma ile habari nikaona una kitu kimoja umekosea, nikataka kusahihisha nikapotezea nikasema Kiranga tayari ana reputation ya kujifanya anajua kila kitu, kwa hiyo nisiiendeleze hii reputation, nikapotezea.

Jina la Mkurugenzi wa CIA uliliandika kama Pattena, wakati jina lake ni Leon Panetta.

Hawa mburula kwa jinsi ninavyowajua watakuwa hawajabadilisha kitu hata jina watakuwa wamelichukua hivyo hivyo.

Hilo jina kukosewa hivyo inakuwa kama signature yako kwamba story ilitokea hapa JF kwenye ID yako, mpaka ulivyokosea jina wamekosea hivyo hivyo.

Una kesi hapo unaweza kuwafungulia baraza la maadili ya uandishi.

Hawawezi kuokoteza habari bila hata kukuuliza.
Mkuu Kiranga umeongea jambo muhimu sana! Nina nakala ya hilo gazeti hapa mkononi yani wamekopi kila kitu, neno kwa neno mpaka hilo jina la mkurugenzi wa CIA wameliandika kimakosa hivyo hivyo, mpaka sehemu nilizokosea spelling nao ni vivyo hivyo! Yani simply walivhokifanya ni kucopy hapa na kwenda kupaste kule kwao!
 
Nakumbuka kumsahihisha hivyo pia!
 
The bold wasiliana na jamii forum wakupe utaratibu wa ulinzi wa habari humu wao wanawanasheria wanaweza waka lobby ukapata kitu only if wame kopi mtiririko wako wa masimulizi uliyo post humu.

LAKINI KISIWA WANATOA SIMULIZI YA KIFO CHA GAIDI KTK SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NYERERE NILIPOONA TITLE YAO LEO ASUBUI NIKASIKITIKA SANA, KUNA MAMBO HAYAKO SAWA KWA MHARIRI WA GAZETI HILI
 
Mkuu Kiranga umeongea jambo muhimu sana! Nina nakala ya hilo gazeti hapa mkononi yani wamekopi kila kitu, neno kwa neno mpaka hilo jina la mkurugenzi wa CIA wameliandika kimakosa hivyo hivyo, mpaka sehemu nilizokosea spelling nao ni vivyo hivyo! Yani simply walivhokifanya ni kucopy hapa na kwenda kupaste kule kwao!
Juzi nilikuwa nasoma article moja inasema wachora ramani huwa wanaweka miji, milina na barabara za uongo katika ramani zao ili mtu akiiba ramani zao na kuzitumia bila idhini wajue, inakuwa kama alama ya kuonesha kwamba hii ni ramani yao.

Na wewe, bila kukusidia, umefanya kitu hicho hicho.

Washtaki uchukue mshiko na kuwafundisha kazi.
 
Ok kuna documentary ya Youtube hata mie ninayo sema tu yenyewe ni ya kiingereza ... Ila potezea tu
Ishu sio kupotezea au vipi! Sisemi kwamba mimi ni mtu wa kwanza duniani kuandika kuhusu kifo cha Osama but ninachokisema ni kwamba kila aliyeandika alifanya research yake ili kujua FACTS kisha akaandika makala yake, there are hundreds of articles and documentaries kuhusu kifo cha Osama but kila mtu ameandika story yake (but the basic facts never changes ila usimuliaji ni tofauti kila mtu na usimuliaji wake).!!

Sasa gazeti la Kisiwa walitakiwa nao wafanye hivyo, walitakiwa wafanye research na kuandika makala yao lakini kitendo cha kuja humu kuchukua makala niliyoandika mimi kama ilivyo 100% (mpaka makosa ya spelling na majina wameyakopi hivyo hivyo) alafu wameenda kuitumia bila ruhusa na bila kutoa credit huo ni Uharamia na siwezi kuufumbia macho..

Nadhani umenielewa mkuu..
 
Muulize kwanza kama anayo hiyo hakimiliki!
Usiwe na haraka ya kuchangia mada kama hujaelewa kinachoongelewa..!!

Siongelei haki miliki, ninachosema ni kuwa wamefanya 'Uharamia' na ukanjanja kupretend kuwa makala ni yao.. Hakuna shida wao kuchapa makala yangu kwenye Gazeti lao but walitakiwa watoe 'credit' huo ndio uungwana na kama hawataki hilo basi ni simple tu wangefanya research yao na kuandika makala na ni Facts ndizo zingefanana.. Lakini hiki walichokifanya kucopy na kupaste bila kutoa credit sio uungwana kabisa na inaonyesha hawana weledi wa kazi..
 
Naona wewe ndio una haraka kuliko mimi, maana mimi sijagusa hata chembe ulichoandika, bali nimefanya hivyo kwa mtu aliyekuwa anakushauri kushtaki!
 
Naona somo la kucopy na kupaste bado halijaeleweka. Fanya hivi nenda kwenye pc yako....fungua folder uliloweka nyimbo zako. Highlight nyimbo ya Diamond na Kiba halafu fungua folder lolote lile halafu paste.. Zikitokea nyimbo za Meek mill na Ricky ross njoo nikupe hela. Unapocopy unategemea kitokee kitu kile kile ulichokopy... Na ndio walichokifanya hao jamaa wa kwenye hilo gazeti walichokopi ndio walichopaste na ushahidi upo hapa. Kumtuhumu The bold kwamba na yeye amekopi bila kuwa na ushahidi ni uhuni huo. Mbona iko simple tu yeye kasema hao jamaa wamekopi makala yake na ushahidi katuwekea. Vipi nyie mshindwe kuthibitisha? Tunahitaji ushahidi wa moja kwa moja vinginevyo ni kuvunjana moyo tu..
 
Leo asubuhi nilipofika kwenye meza ninayo nunua magazeti siku zote jicho langu likanasa kwenye gazeti la KISIWA.

Kwenye ukurasa wa mbele habari iliyopewa uzito wa juu inasomeka; USIYOYAJUA KUHUSU KIFO CHA OSAMA BIN LADEN.
Nikawa curious kidogo, so nikanunua hilo gazeti nione kama 'yaliyomo yamo?'.. Kufungua ndani duuuuuuuuuuuuhhh gazeti la kisiwa sio 'watu wa mchezo mchezo' yani 'wamekopi na kupesti' 100% makala yangu ya 'GERANIMO E.K.I.A: Kutoka makao makuu ya CIA, Langley..'

Sio mbaya though binafsi nimefurahi kuwa makala zetu JamiiForum zimeshiba ndio maana JF imekuwa kimbilio la vyombo vya habari kupata news na makala kama hizi ila ninachowaomba gazeti la KISIWA na wengineo wakumbuke kutoa credit kwa JF kuwa ndio source ya makala yao na mwandishi The Bold.. Fanyeni hivyo wakuu nimeona pale mwishoni mmeandika 'itaendelea toleo lijalo' kwahiyo toleo lijayo toeni credit wakuu (najua mpo humu)..... na kingine nasubiria mnirushie 'ya vocha', LOL
Kaka umefafanua vzr sana kiasi kwamba kwa mtu muelewa atakuwa amekuelewa, au siku nyingine katikati ya story weka majina ya kibantu ili uwakamate vzr like, mparata/chindikupwi sniper hahahaha hapa utawakata utamu manake watu itabidi tuulize/tuhoji huyo mparata/chindikupwi alikuwa na uraia gani? na tuwashitaki kwa kupotosha umma pia .....hahaha hahaha am not a person of sport sport.......no sister-inlaw-hood, we eat!
 
Back
Top Bottom