Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

Zao la mfumo wetu mbovu wa elimu. Kila kitu ni kudesa. Wasomi wetu wanapokwenda huko makazini napo ni kudesa tu. Halafu tunashangaa kwa nini hakuna creativity na uthubutu.

Kwa wenzetu huko plagiarism ni kosa kubwa na linaweza kumfukuzisha mwanafunzi chuo, gazeti kupigwa faini kubwa na hata kufa kabisa. Mwanafunzi anasisitizwa sana kufikiri critically na kuwa huru. Hili ni tatizo la jamii nzima mkuu.

===> Hata wewe Bold safari nyingine toa acknowledgements au marejeo mafupi kuhusu sources za makala zako kwa sababu huwa hukai na kuzitunga kutoka kichwani mwako. Ndiyo maana siwashangai wadau wanaokuzodoa hapo juu. Unaonekana kama mwezi anayemwonea wivu mwizi mwenzake (samahani kwa ulinganifu huu!)
 
Oh kwahiyo ndo kusema ulikuwepo ama? ulihusika upande upi labda kule hall alipoketi obama au ulikuwa kwa battle arena?! au ndo kusema we ndiye uliilipua ile helkopta iliyogonga ukuta?!
Sema hivi gazeti la kisiwa wamekopi simulizi ya kisa cha shambulizi dhidi ya osama ambayo nimeitafasili kwa kiswahili.
Hata hivyo nipo upande wako mkuu ya kwamba "kisiwa" walipaswa waku credit kwa tafsili na simulizi jadidi yenye msisimko kuhusu hiki kisanga.

Ubaya ni kwamba haiko hivyo? Mimi nimefanya 'research' yangu kutoka vyanzo mbali mbali na nikaandika kwa mtazamo wangu.. Wao pia walipaswa kufanya research yao na kuandika makala yao but kama wanachukua makala niliyoandika mimi walipaswa kutoa credit..
 
Zao la mfumo wetu mbovu wa elimu. Kila kitu ni kudesa. Wasomi wetu wanapokwenda huko makazini napo ni kudesa tu. Halafu tunashangaa kwa nini hakuna creativity na uthubutu.

Kwa wenzetu huko plagiarism ni kosa kubwa na linaweza kumfukuzisha mwanafunzi chuo, gazeti kupigwa faini kubwa na hata kufa kabisa. Mwanafunzi anasisitizwa sana kufikiri critically na kuwa huru. Halafu tunashangaa ni kwa nini hatuendelei!
 
MKUU MBONA WAKULALAMIKA SIO WEWE,UNATAKA UTHIBITISHE JF KUWA WEWE NDIE ULIYEKUWA UKIFANYA HYO MISION NA OBAMA.....hcho kitu sio chako sababu ukukitoa kichwani so INTELLECTUAL PROPERTY LAWS WILL NOT be applicable here...
 
Walipaswa kutoa credit kwasababu mimi nilifanya research na kuandika kile nilichojifunza.. Hakuna 'article' ya kingereza ambayo nimetafsiri!! But nimetumia 'sources' nyingi ili kujua 'facts' za kilichojili kwenye hii mission..
Walipaswa kutoa credit
 
Kwani wewe ulitoa Credit huko ulikochukua....?
 
wabongo bado sana asee.. Uandaaji wa hizo simulizi unaenda sambamba na kufanya tafiti za kina toka vyanzo mbalimbali ili upate muunganiko wa tukio zima ndipo uwasilishe. Sasa anatokea mwana flan tu amaizing....simply anakuambia mbona hata wewe umekopi.... Maybe hilo neno copy lina maana nyingine tofauti na ninayo ijua mimi..
 
Kwani wewe ulitoa Credit huko ulikochukua....?
Usiamishe goli Mkuu!! Anyway yes nilitoa credit, nenda kwenye stori yangu upande wa comments niliweka wazi kuhusu vyanzo vyangu nilivyotumia ku-learn facts kuhusu hiyo mission; Press release ya DOD & Whitehouse, Taarifa rasmi ya Serikali ya Pakistan kuhusu 'waziristan haveli', The NewYork Times, Wikipedia, YouTube, Jesse Ventura etc etc etc
Ndio maana nakwambia nilifanya research, na wao walipaswa wafanye research yao au kama walipendezwa na article yangu walipaswa kutoa credit..
 
operation neptune spear ipo wiki, au labda uniambie na wewe ni navy seal
Ipo wiki, ipo YouTube, ipo web ya Newyok times, ipo web ya Jesse Ventura, etc etc etc ipo kwenye thousands of sources!
Huwezi kusema 'wamekopiana' but FACTS ndizo zinafanana coz facts hazibadiliki but kila mtu ameandika story yake isipokuwa facts lazima zifanane..
 
===> Hata wewe Bold safari nyingine toa acknowledgements au marejeo mafupi kuhusu sources za makala zako kwa sababu huwa hukai na kuzitunga kutoka kichwani mwako. Ndiyo maana siwashangai wadau wanaokuzodoa hapo juu. Unaonekana kama mwezi anayemwonea wivu mwizi mwenzake (samahani kwa ulinganifu huu!)

Usiamishe goli Mkuu!! Anyway yes nilitoa credit, nenda kwenye stori yangu upande wa comments niliweka wazi kuhusu vyanzo vyangu nilivyotumia ku-learn facts kuhusu hiyo mission; Press release ya DOD & Whitehouse, Taarifa rasmi ya Serikali ya Pakistan kuhusu 'waziristan haveli', The NewYork Times, Wikipedia, YouTube, Jesse Ventura etc etc etc
Ndio maana nakwambia nilifanya research, na wao walipaswa wafanye research yao au kama walipendezwa na article yangu walipaswa kutoa credit..
 
wabongo bado sana asee.. Uandaaji wa hizo simulizi unaenda sambamba na kufanya tafiti za kina toka vyanzo mbalimbali ili upate muunganiko wa tukio zima ndipo uwasilishe. Sasa anatokea mwana flan tu amaizing....simply anakuambia mbona hata wewe umekopi.... Maybe hilo neno copy lina maana nyingine tofauti na ninayo ijua mimi..
Ndio mana kuna mtanzania mwenzetu alisisitiza "Elimu, Elimu, Elimu"
Watu hawajua tofauti ya kutafiti ili kujua Facts na kukopi..
 
Mkuu SANCTUS ANACLETUS umeniangusha sana Mkuu! Ngoja nikutumie PM

Mkuu nimekusoma! Pole sana.Vijana wa Juma Pumba Ma-beans hawataki kuumiza vichwa vyao.Wanaona fahari kuvuna wasipopanda.Hapa ndipo Tanzania yetu ilipofikia.Wewe unaumiza kichwa na huku Mbu wakiumiza miguu yako sawia lakini wakati huo huo wengine wakiwa wanapoza Vichwa kwa Castle baridi na Visura Kibao pale Ambiance tena kwa jasho lako.
 
Mkuu [HASHTAG]#The[/HASHTAG][HASHTAG]#bold[/HASHTAG]! Achana na watu Wapuuzi wenye wivu wa kike ambao hawawezi kutumia hata robo ya uwezo wao wa akili! 99% tuna support kazi zako! Nimesoma makala zako zote hapa JF, hapo huwa huni tag but nnachojua at least kila baada ya week huwa unaweka makala mpya, nnachofanya kila week hutembelea profile yako kujua Kama umeweka habari mpya.

kile watu wengi ambao hawajitambui wasichojua wanadhani kuna sehemu ukienda unakuta story yote Kama ilivyo, hawajui Mara nyingi inakubidi utembelee website nyingi Ili kupata kitu chenye mtiririko mzuri Kama Site za FBI, CIA, Wikipedia n.k, Na baadaye unaunganisha story na kuturetea hapa kwa lugha ya kiswahili story ikiwa inaeleweka, hii ni kazi ngumu, na Una haki ya kulalamika pale mtu anapotumia story yako bila hata kukutambua mwishoni!

Hakuna anayekulipa hapa, na endelea kuwasema hivyo hivyo ambao wanachukua story zako bila kusema wametoa wapi, usivunjike moyo coz miaka ijayo najua itaanza kukulipa!
 
Mkuu [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold! Achana na watu Wapuuzi wenye wivu wa kike ambao hawawezi kutumia hata robo ya uwezo wao wa akili! 99% tuna support kazi zako! Nimesoma makala zako zote hapa JF, hapo huwa huni tag but nnachojua at least kila baada ya week huwa unaweka makala mpya, nnachofanya kila week hutembelea profile yako kujua Kama umeweka habari mpya.

kile watu wengi ambao hawajitambui wasichojua wanadhani kuna sehemu ukienda unakuta story yote Kama ilivyo, hawajui Mara nyingi inakubidi utembelee website nyingi Ili kupata kitu chenye mtiririko mzuri Kama Site za FBI, CIA, Wikipedia n.k, Na baadaye unaunganisha story na kuturetea hapa kwa lugha ya kiswahili story ikiwa inaeleweka, hii ni kazi ngumu, na Una haki ya kulalamika pale mtu anapotumia story yako bila hata kukutambua mwishoni!

Hakuna anayekulipa hapa, na endelea kuwasema hivyo hivyo ambao wanachukua story zako bila kusema wametoa wapi, usivunjike moyo coz miaka ijayo najua itaanza kukulipa!
Nashukuru sana Mkuu kunitia moyo na ushauri mwanana! Hakika nasonga mbele..
 
Nadhani story nzima tena detailed ipo kweye kile kitabu cha " No easy Day - Matt Bissonnette". Bila shaka KISIWA nao wameipakua kutokea kule. The Bold..unless nawe ni Navy Seal, otherwise kuna sehemu na wewe uliilamba
 
Umesoma hicho kitabu? Jiongeze Mkuu, nenda kasome alafu njoo usome makala yangu..
As a matter of fact, hakuna mahali ambapo nimetafsiri from ati neno kwa neno.. Nimetumia sources nyingi sana kuandika makala yangu ili kujua facts! Kufanya research ili kujua facts sio kukopi, but walichofanya gazeti la kisiwa ni kukopi (soma post #29 na post #36 zinafafanua hilo).. Gazeti la kisiwa wamekopi kutoka humu!
Kiustaarabu walitakiwa watoe credit, period..
Nadhani story nzima tena detailed ipo kweye kile kitabu cha " No easy Day - Matt Bissonnette". Bila shaka KISIWA nao wameipakua kutokea kule. The Bold..unless nawe ni Navy Seal, otherwise kuna sehemu na wewe uliilamba
 
.. Nimetumia sources nyingi sana kuandika makala yangu ili kujua facts. Kiustaarabu walitakiwa watoe credit, period..

Bahati mbaya waandishi wetu wengi ndivyo walivyo. Ukisoma pages za sports kwa mfano, full copy, paste & translation kutoka BBC, Daily Mail and the like. Hawana muda wa kutoa credit.
 
Hapo mkuu The bold hajakopi kitu. Ye amesoma kutoka vyanzo mbali mbali akaelewa halafu akaandika kwa maneno yake. Tofauti na huyo wa gazeti la kisiwa ye amechukua makala ilivyo ya The bold na kuihamishia kwenye gazeti lake bila kuomba ruhusa ya mwenyewe.
Mfano katika kuandika insha katika mtihani wote mnakuwa mmesoma kutoka vyanzo tofauti au pengine kinaweza kuwa chanzo kimoja lakini mkijibi mtihani kila MTU atakuwa na Maelezo yake, ambayo haifanani na mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom