miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Kuna msako uko wa majambazi walioingia ndan kwa mahamud sasa jichanganye wakudake na wwMgambo gani akamate mtembeaji mapema hii
Kuna msako uko wa majambazi walioingia ndan kwa mahamud sasa jichanganye wakudake na wwMgambo gani akamate mtembeaji mapema hii
Wakati mmoja kasha kula chuma ya kalio🤣🤣🤣Afanye jambo,mwanangu ziddo na vitus lazima waharibu
SawaMbona nina lugha ya staha sana? Ni mpaka mtu akinichokoza tu.
niko bize na BUDO kwanzaKuna msako uko wa majambazi walioingia ndan kwa mahamud sasa jichanganye wakudake na ww
huyu mwenyekiti anaweza hata kukunyang'anya mkeHili nimeliona mapema
Hakika huyu mwenyekiti analakehuyu mwenyekiti anaweza hata kukunyang'anya mke
Kwa heshima yako mwenyekiti tembele linaisha leoLeo tunamalizana na Tembele la Uani
Tunamaliza epsode ya mwisho amesemaAbou Shaymaa ungetupa ata kimoja ili wana simba wapooze machungu🤣🤣🤣🤣
Ndo atuletee bas,ww mwenyekiti anakusiliza sana embu muiteTunamaliza epsode ya mwisho amesema
Hahahahaha unamuonea mwenyekiti tabia izo anazo kijana mpole MANI Fabian😅😅huyu mwenyekiti anaweza hata kukunyang'anya mke
Kwa hali hii goja nilale zangu. muwe na usiku mwema. Sasa Mani gani huyoHahahahaha unamuonea mwenyekiti tabia izo anazo kijana mpole MANI Fabian
waliumaliza kikatili wale jamaa. hakika afanye vile