Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
Abou Shaymaa maliza kabisa hivyo vipande vya mwisho basi
Polisi wako njiani kumfuata Twalib, na huko ndani kawekwa kitimotoMahadhi na mwanae iddi wamesha sweka ndani baba jambazi kuu sasa Talib
si ndio hapoSasa mkuu si umalizie kabisa watu tupoze machungu ya kukosa kombe
mwenyekiti fanya kweli mpaka aleteAbou Shaymaa endeleeeaaa
Na akikamatwa ni moja kwa moja magereza maan ushahid upo tayarPolisi wako njiani kumfuata Twalib, na huko ndani kawekwa
Ila njogopa nilikua namuona mtu wa maan kumbe ni hovyo kabisa🤣🤣🤣🤣Mkuu malizia basi kimoja cha Njogopa hakitoshi kabisa
Huyo ni muarifu, na kikao leo hamna, Mahadhi hana hamu nachoNa akikamatwa ni moja kwa moja magereza maan ushahid upo tayar
Kwa hizi stress za Simba, atie hata vipande kadhaa tuhangaike navyo aiseesi ndio hapo
amalizie maana vimebaki vipande vichache sana kama sio viwili vitatuKwa hizi stress za Simba, atie hata vipande kadhaa tuhangaike navyo aisee
Aweke na bonus jaman tumalizie BTW thanks kwa tagMzigo tayari umeshushwa
Mimi kama mwenyekiti wa baraza nathibitisha kikao kitakuwepoHuyo ni muarifu, na kikao leo hamna, Mahadhi hana hamu nacho
Namuombea ruhusa mzee Mahadhi anajisikia vibaya ametoka kuhojiwa polisiMimi kama mwenyekiti wa baraza nathibitisha kikao kitakuwepo
Kama ni hivyo amalize aisee tuanze rasmi mijadalaamalizie maana vimebaki vipande vichache sana kama sio viwili vitatu
Abou Shaymaa usijikausheKama ni hivyo amalize aisee tuanze rasmi mijadala
Hii tunabebaKama ni hivyo amalize aisee tuanze rasmi mijadala
AiseeHii tunabeba