Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,166
- 22,750
Weee apia mama ?Unabana na pua kabisa.
Weee apia mama ?Unabana na pua kabisa.
Aaah mkuu! tuache bwana, we nenda kakomae na thread yako ya siasa kule.Wacha weee... Be a men? Lugha gani hiyo Mama?
🤣🤣🤣🤣 Ila pilipili hohoKwasababu umekuja kusoma na unajifanya husomi, wewe soma kimya kimya sio unijifanya unadis huku unasoma Pili pili hoho we
Aaah mkuu! tuache bwana, we nenda kakomae na thread yako ya siasa kule.
🤣🤣🤣🤣 Ila pilipili hoho
Papai upo? Unacheka cheka ubemendwe...
Achaneni nae huyo ukiona mtu wa hvyo kila kitu kwake analeta ujuaji ujuwe
View attachment 3345113
Sawa ila jifunze kuwa na lugha ya staha na kutomdharau mtu kama mzee komba itakusaidia kwenye huo utunzi wako...Sawa nitatunga na nitawapa hao watu wenye akili. Nawe nitakufundisha uwe na utunzi wa akili. Siyo wa matembele ya uani sijui chooni.
mkuu leteSawa ila jifunze kuwa na lugha ya staha na kutomdharau mtu kama mzee komba itakusaidia kwenye huo utunzi wako...
Leo jion au kesho asubuh tunafunga dimba pamoja simba au barekane 😅Shusha mzigo mkuu
Sawa ila jifunze kuwa na lugha ya staha na kutomdharau mtu kama mzee komba itakusaidia kwenye huo utunzi wako...
tufunge kabisa ili baada ya Berkane tunafungua ukurasa mwingineLeo jion au kesho asubuh tunafunga dimba pamoja simba au barekane 😅
Changamkia fulsa sasa, mchukue mtoto Hilda A. K. A. Tembele, anakufaa sana. 😂🤣😂🤣😂Sana siku mbili sijagegeda demu
Hilda ni nani? Yupo humu?Changamkia fulsa sasa, mchukue mtoto Hilda A. K. A. Tembele, anakufaa sana. 😂🤣😂🤣😂
Sawa nawaacha ila msiniite maana wenyewe mnaniita....
Ndyo, yupo humuhumu, yaani huu Uzi Bora miongoni mwa"Trending" mpaka Sasa, unamhusu yeye.Hilda ni nani? Yupo humu?
🤣🤣🤣hapana bado nipo nipo kwanzahahaha umeolewa?
Nipo hapa msaidizi wako mwenyekitiMwenyekiti sina msaidizi sasa mnafikiri nitasimamiaje majukumu
🥺Papai upo? Unacheka cheka ubemendwe...