SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Shida Soraya sio mtoto wa mwenyekiti, mwenye mtoto amesharuhusu walete mahari na akawaambia kuhusu dini wataona wao wenyewe wafanyeje, wakisema ndoa iwe ya mahakamani kila mtu aendelee na dini yake kuna shido?
Tusubiri tuone
 
Ila soraya nae sijuwi yupo! baada ya kugundua talib anakula mneli pale pale ilibidi aseme, ila yeye akakaa tu anaifuga! mpaka imekua, matokeo ndo haya tunayoyaona shetani na ibilisi wameungana.
Ameshagundua wazazi wake hawamsikilizi na kutilia maanani yale anayoyasema, hivyo ameacha washuhudie wenyewe, kwa mfano issue ya kuvuta bangi Mama Soraya alimkalipia Soraya ni mpaka aliposhuhudia mwenyewe.

Ilipofika Twalib atakamatwa maana akina Zindo wako mikononi mwa shemeji polisi watatapika ukweli tu kule
 
Back
Top Bottom