Naona unajipakulia minyama.Nipo hapa msaidizi wako mwenyekiti
kumbe ulikua hujajua tu kuwa Mani ni kijana mpoleHahahaa kumbe kijana mpole yumo humu anajisoma?
Sawa utaniamini polepoleHapana lazima nipewe ulinzi wa kutosha kabisa Mani Fabian sikuamin
mwenyekiti wewe subili kesi uletewe ndio usuruhishe. Mengine tuachie etiHayo maswali napaswa kuuliza mimi mwenyekiti
Hili nimeliona mapemahahaha mwenyekiti inaonekana unataka kujilimbikizia mali
Eeeeh mapema tuNaona unajipakulia minyama.
hizi fitina za ccm sasaHili nimeliona mapema
Ndo maan nikaomba uniongezee ulinzi mwenyekiti vijan wa humu ni watukutuku sanamiana amor Twende huku tujadili ajenda za vikao, maana naona kuna vijana wanataka kuingilia majukumu
Ww huna tofauti na iddi mahadhi🤣🤣🤣Sawa utaniamini polepole
Nitakulinda mwenyewe kwa panga na runguNdo maan nikaomba uniongezee ulinzi mwenyekiti vijan wa humu ni watukutuku sana
Cha asubuhi umemaliza😅😅Cha mchana mkuu
Mwenyekiti hoyeeeeeeeeeeeee😅😅😅😅Nitakulinda mwenyewe kwa panga na rungu
Ndio mkuuCha asubuhi umemaliza😅😅
Bas kaa kwa kutulia ungoje cha usikuNdio mkuu
🤣🤣🤣ukikamatwa na mgambo hatuji kukutoaHapa goja tu nikatembee zangu, nikirudi jioni nitakuta kunakitu kimebadirika
Afanye jambo,mwanangu ziddo na vitus lazima waharibuBas kaa kwa kutulia ungoje cha usiku