Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,838
muda wa kwenda kusali huu, hata kama husali amka ufanye mazoezi yanajenga mwili na kusaidia usiwe kama mzee njogopani muda wa kumuita Abou Shaymaa au tusubirie amhudumie shemeji yetu
muda wa kwenda kusali huu, hata kama husali amka ufanye mazoezi yanajenga mwili na kusaidia usiwe kama mzee njogopani muda wa kumuita Abou Shaymaa au tusubirie amhudumie shemeji yetu
kwani miana amor ni mwanankeMkuu miana amor usimsumbue muandishi, wakati huu yupo na shemeji, ambae wewe ni wifi yako, wanatutafutia kizazi cha muandishi bora wa baadae.
hahahaaa kweli mkuumuda wa kwenda kusali huu, hata kama husali amka ufanye mazoezi yanajenga mwili na kusaidia usiwe kama mzee njogopa
kwani kuna miana mwanaume?kwani miana amor ni mwananke
mimi hata najua basi, si unajua humu kuna mchanganyiko mkuu kuna wengine wanatumia majina ya kike kwa faida zao tusizozijua aje aseme mwenyewe miana amorkwani kuna miana mwanaume?
itakuwa bora akisema mwenyewemimi hata najua basi, si unajua humu kuna mchanganyiko mkuu kuna wengine wanatumia majina ya kike kwa faida zao tusizozijua aje aseme mwenyewe miana amor
na hii tutapita hata kama hela tumezikosaTeam talib wanaenda kuozea jela,wakati team higgno tunainjoy na mtoto mzuri soraya
Komando njogopa namuheshimu sana yule mzee, nitaenda anipe mbinu jinsi gani naweza kuchomoka kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali.mwandishi bado anapiga cha mzee njogopa
Afu hapa nilikua sijabaini jinsia kwa wanafuatilia nyuzi hiiMkuu miana amor usimsumbue muandishi, wakati huu yupo na shemeji, ambae wewe ni wifi yako, wanatutafutia kizazi cha muandishi bora wa baadae.
Endeleeni kuulizana, maana naona hakuna anaetaka kumjibu mwenzake!.kwani kuna miana mwanaume?
duh yaan mama hilda alivyokitenga kumbe mzee alishatokomea kitamboKomando njogopa namuheshimu sana yule mzee, nitaenda anipe mbinu jinsi gani naweza kuchomoka kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali.
tena mazoezi ya KEGAL yanafaa sanamuda wa kwenda kusali huu, hata kama husali amka ufanye mazoezi yanajenga mwili na kusaidia usiwe kama mzee njogopa
kwa hapa hamponina hii tutapita hata kama hela tumezikosa
Sema anasubira tu. mboga ataimwaga badaeSoraya anahuruma angekuwa moneytalk angemwaga mboga hapo hapo
wale zido, vitus, na jamaa zao tumewanywesha maji ya bendera hawatatutaja na ushahidi wa soraya na mporipori hautakuwa nguvukwa hapa hamponi
Ukiona aibu inakufuata jitahidi kuikimbia, hata km itakupata iwe kwa shida kidogo.duh yaan mama hilda alivyokitenga kumbe mzee alishatokomea kitambo
Niko mbali na hospitali usinivunje mbavuduh yaan mama hilda alivyokitenga kumbe mzee alishatokomea kitambo
mama hilda alishangaa anapigwa teke la kitumbuaNiko mbali na hospitali usinivunje mbavu