SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Hii story nimechelewa kuiona na kuanza kuisoma kwa kuwa ipo jukwaa la habari, mi nilijenga mazoea kuwa story nazikutaga jukwaa la burudani, yaani mpaka nakuja kuiona nakuta tayari watu wameshaunda timu zao,
ila kinachoniuma mtaalamu mabudi hapewi heshima yake humu ndani.
 
Hii story nimechelewa kuiona na kuanza kuisoma kwa kuwa ipo jukwaa la habari, mi nilijenga mazoea kuwa story nazikutaga jukwaa la burudani, yaani mpaka nakuja kuiona nakuta tayari watu wameshaunda timu zao,
ila kinachoniuma mtaalamu mabudi hapewi heshima yake humu ndani.
🤣🤣🤣timu babu mabudi tupo,na tunataka mpk dawa zake anazozitumia kabla yakuanza shoo😅😅😅🙌
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SABINI NA TISA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA NANE: hapo akiwa na bangi yake mkononi aka jivuta dirishani na kuchungulia, na kuona kundi la wakina mama likitoka nje na dakika chache baadae akawaona waingia ndani, wakiwa wameongozana na watu watatu, ambao ni wageni, Talib alipowatazama wale wageni alijikuta ana[atwa na mshtuko wa ajabu, “yule mzee si ananifahamu yule” alijisema Talib, ambae slishtuka sana baada ya kumwona mzee Frank, ambae kwa maelezo ya Soraya, ni kwamba alisha enda polisi, na endapo ange mwona kijana alie toa vitisho dukani kwake, angeenda kumtolea taarifa polisi ili akamatwe………… endelea……..
Hapo Talib akaona kuwa huu ni msala kwake, hivyo akizubaa ata kamatwa, kabla ajatekeleza mpango wake, “inabidi nitoke nikazuge kitaa mpaka waondoke, ndio nirudi” aliwaza Talib huku anavaa viatu vyake haraka, kwaajili ya kuondoka pale nyumbani, akuwaza kuhusu fedha ya kula wala njaa aliyokuwa nayo muda ule, “Soraya nae yani ujanja wote hule anakuja kubebwa na mafala kama awa” aliongea Talib, kwa kulalamika na kulahumu, huku akiendelea kuvaa viatu yake, na kuvuta bangi yake.
Wakati huo Mahamud alikuwa sebuleni na watu wawili watatu, mmoja wao akiwa ni mjomba wa Soraya, ambae alisha fahamishwa juu ya ugeni ule, wakiwasubiri wageni ambao waliambiwa kuwa tayari wameshafika pale nyumbani, sasa mahamud akasogeza mdomo wake karibu na sikio la Jamal, na kumnong’oneza jambo, “Jamal naamini utakuwa una wafahamu watu hao, naomba uwe makini kuwa soma, nakusikiliza majibu yao,mana nitakwauliza maswali flani flani nawe pia una rihusiwa kuuli maswali” alisema Mahamud, na wakati huo huo wakasikia sauti tulivu iliyo jaa nidhamu ya hasiri ya mngini harisi, toka upande wa mlangoni, “hodi jamani” huku watu wote wanageuza macho kutazama mlangoni.
Naam Jamal ambae alitazama kwa makini sana, ilikuona kama anaweza kuwa tambua wageni wale walioingia pale sebuleni, aliweza kuwaona watu wawili, ambao ni wazi kuwa ni mtu na kijana wake, kwa jinsi walivyo tofautiana kwa umri, na pia ukizingatia tayari alisha juwa kuwa wanao kuja ni baba mama na kijana wao, ukweli kabisa Jamal alitegemea kumwona kijana ambae atakuwa anamfahamu, maana kuwa na Soraya, sijambo dogo, lakini ilikuwa tofauti kabisa, alikuwa ni mgeni kabisa machoni mwake.
Hapo Jamal akamtazama mzee Mahamud, ambae pia aliamini kuwa atakuwa anamwona kijana huyu kwa mala ya kwanza, lakinia akashangaa kumwona Mahamud akitoa macho kwa mshangao, huku ameachama kwa furaha, “hooooo! kijana umekuja siku nzuri sana, tena wakati mwafaka, karibu sana” alisema Mahamud kwa sauti iliyo jaa furaha, huku anasimama, na wakina jamali wakasimama pia kuwa karibisha wakina Higgno, “asante sana mzee Shikamoo” alisalimia Higgno, huku anapokea mkono wa mzee Mahamud, wakionyesha kufahamiana kwa karibu, “marahaba, karibuni sana” alisema Mahamud huku anamshika mkono mzee Frank, “asante sana” aliitikia mzee Frank, ambae alifurahi kuona kijana wake anafahamiana vizuri na mzee huyu tajiri, mkubwa hapa songea na Tanzania nzima pia.
Naam walitumia dakikka kadhaa kusalimiana, kisha wakaonyeshwa sehemu za kukaa, nao wakakaa, “karibu kijana, umekuja siku ambayo kiukweli mi nzuri, maana yule binti yangu nilie kueleza jana, anakuja kutuonyesha mchumba wake, kwa hiyo amesha pata mchumba” alisema Mahamud, mwenye kuonekana kuwa na furaha kubwa sana, huku anamtazama Higgno, ambae alionyesha kumfahamu na kwamba akutegemea kumwona mahali hapa, ukweli waliokuwepo mle ndani walishangaa kidogo, maana walizania kuwa Higgno ndie mchumba mwenyewe wa Soraya alie kuwa anasubiriwa “imekuwa vizuri sana, napengine tunge kuwa tumeingilia, na kuvuruga mipango mingine” alisema Higgno, kwa sauti ya upole, uku anacheka kidogo, hapo Mahamud na mzee Frank, wakacheka kidogo, maana walijuwa Higgno alikuwa anamaanisha nini, “nikweli bwana, tena sijuwi kama tungeeleweka” alisema mzee Frank, huku anaendelea kucheka.
Naam wakiwa wanaongea kwa furaha, huku wanaendelea kuwasubiri wageni wao, pasipo kujuwa kuwa wageni wenyewe ndio awa waliokuwa nao hapa sebuleni, ambao pia awakujuwa wana jijuwa kuwa wao ndio wageni waliokuwa wanasubiriwa, mala waka anza kusikia kelele na shwangwe za wakina mama zikiamia ndani, zikifwatiwa na kundi dogo la wanawake kuingia ndani, na kukaa kwenye makochi, na kwenye jamvi (carpet) yani zuria la manyoya, lililo lala juu ya sakafu ya sebule ya jumba ili la kifahari, ambalo ukiingia lazima utavua viatu kabla ya kuuliza au kuambiwa.
Mke wa Mahamud alienda moja kwa moja, mpaka mume wake, na kumnong’oneza jambo, “tunaweza kuanza, ili tumalize mapema, watu wale waende makwao” alisema mama Soraya, kisha aka enda kumweleza vivyo hivyo kaka yake ambae ndie msemaji, kama ilivyo kawaida, baada ya hapo akaenda kukaa karibu na mama Higgno, ambae kiukweli yeye ndie alikuwa anashangaa kuliko maelezo, maana alikuwa anaona mapicha picha tu!, sababu kwa jinsi alivyo pokelewa kule nje na wakina mama na kupewa hongera nyingi nyingi, na kuona dalilizote za kuwa ile sherehe ni kwaajili yao, hivyo akashangazwa sana na jambo lile, maana alicho juwa yeye ni kwamba, wanafika pale wanapata chakura cha mchana, kisha wanaondoka kurudi zao nyumbani, lakini kila alipo mtazama mume wake yani mzee Frank, akuona dalili yoyote ya kushangaa wala kushikwa na butwaa, kama ilivyokuwa kwa Higgno.*******
Naam ndani ya kichaka, chini ya mwembe, mita kama ishilini toka kwenye barabarani, mama Hilda na bwana Njogopa, rafiki mkubwa wa mume wake, tayari walisha kunywa makopo kadhaa ya ulanzi, ambao ndio kwanza ulikuwa unatoka mianzini, aujatiwa ata maji, tayari pombe ilisha panda kichwani, kuaribu hakiri zao, kwa kiasi cha kati, na kubakiwa na hakiri ya kuanza kupapasana sehemu nyeti, huku wakipeana mate.
Naam nikama walikuwa bichi moja nzuri sana yenye upepo mwanana, maana ilifikia wakati ata wakaacha wazi sehemu zao nyeti, ilikila mmoja aweze kuchezea ya mwenzie, wakati mama Hilda akichezea dudu ya Njogopa, huku yeye akichezewa kikunde chake, na kujisikia raha kweli kweli aikuchukuwa muda akatandika kanga yake chini, “tufanye mala moja alafu tuendelee na pombe”, alishauri mama Hilda huku anapandisha gauni lake mpaka kiunino, ukweli akuvaa chupi, kisha akapiga magoti kibinua kiuno chake kwajuu, na kuacha vyombo hewani, hapo Njogopa akakenua meno kwa tabasamu la uchu, na kuisogelea nyuma ya mama Hilda, kisha akazamisha dudu ndani na kazi ikaanza, wakaeana dudu kwa rah azote, kama wapo chumbani, awakujuwa kuwa mita chache toka pale walipo kuna mwana mke mmoja alie kuwa anatoka madimbeni (msahamba ya kondeni/mtoni) alikuwa anawatazama, huyu alikuwa ni mchana Tatu, mschana huyu, alikuwa anaitwa alikai, kwa jina la utani, jina ambalo alipewa sababu ya kwamba akuwa na utaratibu, wa kukaana jambo moyoni mwake, kwakifupi alikuwa ni chaumbeya, ambae akukaa sana akatoka mbio kueleka kijijini, akiwa na lengo la kwenda nyumbani kwa Njogopa kumwelezamke wa Njogopa, kile kilicho kuwa kinaendeleakule maporini.*******
Mlinzi aliishiwa pose baada ya kuambiwa na boss wake kuwa, atapata adhabu yake, kwakile kilicho kifanya, yani kuwazuwia wale wageni, “dah! sijuwi kwanini nilijifanya mkasi, wakati watu wenyewe walikuwa wanaongea kwa upole” aliwaza Mlinzi ambae kama ulikuwa umjuwi kwa jina basi alikuwa anaitwa Ndolite, au babu Ndolite, japo wenyewe walipenda kumwita babu, “dah! kumbe nilimzuwia mchumba wa Soraya” hakika babu alikuwa ameshushuka kweli kweli, “lakini mbona watu wenyewe ni masikin…” kabla babu aja maliza kujiuliza, mala akamwona Talib anakuja pale getini, akitokea kwenye nyumba anayo kaa, akitembea kwa mwendo wa tahadhari kubwa, “babu mtu yoyote akiniulizia mwambie sijarudi kabisa, alisema Talib, kisha bila kuchelewa akatoka nje, pasipo kujari njaa wala ukapa wa fedha alionao, akujari wala kuwaza ata kula wapi na wala ataenda kukaa wapi mpaka muda ammbao shughuri hii takapo kwisha.********
Mzee komba aliekuwa amelala juu ya kitanda cha Hopsital njaa inamuuma kweli kweli, maana toka alipokunywa uji asubuhi kule Hospital ya mjini, akuwa amekula tena ata muda wa kunywa sawa ulisha pita, tayari maumivu ya kichwa yalishaanza kumchamanda, “yani mke wangu na binti yangu wnaweza kunifanyia hivi?” aliwaza kwa machungu mzee Komba, ambae sasa alijutia tabia yake ya kuamua kumchukia Frank, ambae akuwai kumtendea ubaya ata sikumoja, zaidi ni kwamba Frank na familia yake walikuwa wanamtendea yaliyo mema mala zote, na yeye kuamua kulipiza ubaya, ambao matokeo yake ni hayo ya mganga kutembea na mke wake na binti yake, huku yeye akiambulia mshtuko na kuanguka, huku akiishia kupooza mguu.
Wakati Komba akiendelea kijiwazia na kujinung’unisha, mala akatokea yule nurse, akia amebeba sahani ya chakula mkononi, “mzee nashindwa kuielewa familia yako, kwanini wanakufanyia hivi” alisema nurse huku anavuta meza akiisogeza karibu na kitanda alicho lalia Komba, na kisha akaweka chakura juu yake, “yani toka asubuhi tuna waeleza kuwa utakuwepo hapa zahanati, nimeenda tena kuwaeleza umesha fika na unaitaji chakura, lakini wapi, awana ata dalili ya kuleta chakura” alisema nurse, kwa sauti ya masikitiko makubwa, “mama kwakweli nimepatikana, sikutegemea kama wata nifanyia hivi” alisema mzee Komba, kwa sauti iliyojaa udhuni na masikitiko, “lakini kwakuwa tupo hapa kijijini, nazani akuna yatakayo haribika” alisema nurse huku anatoka na kwenda kuchukuwa chupa ya uji, na kikombe, ambapo akutumia muda mrefu alirudi akiwa amebaba chupa ya uji na kikombe.
Naam ukiachilia taaluma ya unurse pia ongezea na uwana kijiji walionao, nurse alihakikisha ana msaidia mzee Komba ambae ni mwana kijiji mwenzie, ambae alimwinua kitandani na kumnawisha, alafu mzee Komba akaanza kura taratibu, “ndizi na utumbo” tena aliletewa na uji wa ulezi, siku izi wanaita uji wa lishe, tena chakula ambacho bila kuumwa, pengine asinge pata nafasi ya kukira siku za hivi karibuni.
Naam wakati ana endelea kura, mala akaingia mama mmoja mtu mzima, japo akumfikia mzee Komba, kwa umri, lakini alie kuwa amevalia mavazi masafi ya kike gauni la kawaida tu, huku juu yake akiwa amevalia vitenge juu yake, “jamani kaka nini kime kupata, yani toka juzi unaumwa unashindwa kuwa tuma wakina Hilda kuja kutujulisha” alisema yule mwanamke, kwa sauti iliyojaa lawama” ukweli Komba akuwa na jibu juu ya ilo swali, zaidi alianza kutoa machozi, machoni mwake, na kumshangaza huyu mwanamke alie mwita kaka, “samahani wewe ni nduu yake?” aliuliza Nurse akimtazama yule mwanamke, “ndiyo mimi ni ndugu yake watatu kuliwa toka kwake, yani baba mmoja mama mmoja” alijibu yule mwanamke, ambae kumbe ndie yule dada yake wa makemba, ambae alipelekewa ujumbe na Ngonyani, kuwa aje haraka Luhila kaka yake anaumwa.
Naam yule Nurse akamsimulia yule mama, kuanzia usiku wa juzi, pale mzee Komba alipo pelekwa pale zahanati, akiwa amepoteza fahamu, na kukimbiwa na wenzake, lilipokuja swala la kumpeleka mjini, na jinsi mke wa bwana Komba na binti yake walivyo mtelekeza, “wacha niendenikamtafute wifi, nijuwe ni kwanini anafanya hivi” alisema dada yake Komba pasipo kujuwa kuwa wifi yake alikuwa katika lindi la burundani ya pombe na mapenzi.*******
Turudi mjini, nyumbani kwa Mahamud, ambako watu wote walikuwa ndani, wawkisubiri tukio la kutambulishwa kwa mchumba wa Soraya, mama Soraya alikuwa makini sana kumtazama Higgno, ambae alitegemea kumwona akijishauwa shauwa, kwakufanikiwa lengo lake, la kumshawishi na kumlaghai Soraya na kufanikiwa kuwa nae, lakini sha kushangaza akumwona kuwa na hali yoyote ya kufurahia aua kutataikia jambo lile, yani alikuwa ametulia kama mtazamaji mwingine tu, mala mjomba akasimama, “asala aleykum mabibi na mabwana, wacha nimkaribishe bwana Mahamud atueleze sababu ya kutuita hapa siku hii ya leo” alisema mjomba, huku watu wote wakiwa kimya kabisa, asa mama Higgno ambae alikuwa ametulia anasubiri kusikia kinachoendelea na ondoa maswali ya kichwani mwake, na wakati huo akaonekana Soraya.
Alisimama mzee Mahamud ambae, kama ilivyo kwa mjomba wa Soraya, na wakina Jamal, na wakina Higgno na baba yake, kuwa kuna wageni walikuwa wanasubiriwa na pengine wapo nje, wanasubiri waingie kwampangilio maalumu ambao pengine mama Soraya umeupanga, “asalamu alaykum”alisalimia Mahamud ambae alionyesha tabasamu la hali ya juu, tabasamu ambalo lilimshangaza ata mke wake, ambae alitegemeakumwona mume wake akimtazama Higgno kwa jicho la mshaka, “aleykum salaam” waliitikia watu wote waliokuwepo mle ndani, “kwanza kabisa kabla sija juwa kama wageni wetu wataingiaje na utaratibu gani ume pangwa, mimi nina jambo moja naitaji kuliongea” alisema Mahamud, na watu wakatazama, asa wale waupande wakike, nikama walikuwa wanashangaana, “inamaana ajamtambua mkwe wake mwenyewe, wakati wamekaa wote humu ndani muda wote huu?”alijiuliza mama Soraya kwa mshangao, na wakati huo huo Soraya akaletwa pale sebuleni, akiwa amevalia gauni lake refu, nzuri, amepambwa akapambika, pia kihchwani kwake alivalishwa nicab, ambayo iliziba uso wake wote na kubakiza macho pekee, “anaonekana mzuri, lakini mwili wake unafanana na Soraya” aliwaza Higgno, akimtazama mwanamke huyu, pasipo kujuwa kuwa ni Soraya wake, ambae alienda kukaa sehemu aliyo andaliwa, huku akisndikizwa na macho ya watu wote wwaliokuwepo hapa, huku mzee Mahamud akiwa amesimamisha maongezi yake.
Naam baada ya Soraya kukaa, ndipo Mahamud akaendelea, “nime sema nina jambo la kuongea sababu ni muhimu sana kwangu, japo kwenu linawezalisiwe muhimu, naliongea hapa sababu ya heshima kwa kijana huyu, hakika mpaka sasa akikuwa kulifahamu jina lake, kijana ambae nawezakusema ni tofauti kidogo na vijana wengine niliowai kuwaona na pengine kuwa sikia, katiki dunia hii ya sasahivi” alisema Mahamud akionekana mwenye furaha usoni mwake, huku watu wote wakimsikiliza kwa umakini, wakati huo mama Soraya alikuwa anamtazama mwanae kwa umakini sana, akamwona anaangazamacho kushoto na kulia akigeuzagueza shingo yake, mpaka alipo mtazama Higgno, ambae akuwa na mpango wowote wa kumtazama Soraya ata kwa bahati mbaya, kitendo kile kilimshangaza mama Soraya, kuliko Soraya mwenyewe, ambae alijisemea moyoni, “atakuwa ajanitambua” alisema Soraya, huku baba yake akiendelea kuongea, “ikiwa ni siku muhimu kwangu na familia yangu ambapo tunaenda kumtambua na kumkaribisha kijana ambae ataelekea kuwa mchumba wa binti yetu wapekee,nimeona pia nimkaribishe kijana ambae mwaka mmoja uliopita niliwai kusema kuwa endapo nge mfahamu ninge muoza binti yangu, ikiwa pamoja na kuwaandalia kila kitu kizuri, kinachoitajika katika maisha, kama vile nyumba gari fedha na biashara pia” mzee Mahamud alieleza kwamapana simulizi yake inayo muhusu yeye na kijana mpole na mwenye nidhamu ya hali ya juu, tayari Soraya alisha juwa kuwa anae zungumziwa ni Higgno, kasoro mama yake ambae sasa alikuwa ana tazama wanaume waliokuwepo mle ndani kuona kama ata mwona huyo kijana ambae mume wake alikuwa anamzungumzia, lakini akumwona mtu mwinge zaidi ya Higgno na baba yake, zaidi ya hapo ni wale aliokuwa anawafahamu.
Mahamud alisimulia mkasa mzima, kuanzia kusaidiwa siku ile ambayo alivamiwana wale vibaka kule msamala, piaalivyo kutana nae jana pale mjini, alipo dondosha wallet yake,na yeye kuiokota akimpelekea kama ilivyo, na lundo la fedha ndani yake, hapo kila mmoja akaanza kutazama kumtafuta kijana mwenyewe, kama alivyofanya mama Soraya dakika chache zilizo pita, wapo walio mtazama Higgno na wapo ambao walizania kuwa bado ajaingia pale sebuleni, “kweli sikuweza kuvumilia, niliamini kijana huyu, ni zawadi kubwa sana katika maisha ya binti yangu, hivyo nilimwomba amchumbie binti yangu, lakini bahati nje kwake, kuwa tayari alikuwa anamchumba, na anapanga kupeleka barua, malengo yake yaki timia, ila la kufurahisha, mimi nita kuwa mshenga wa kijana huyu, nanita mfanyia mambo mengi ambayo yatakuwa kama msaada katika maisha yake, na mke wake” hapo kila mmoja mle ndani akapiga makofi, huku mama Soraya akitamani kumwona kijana huyo mwenye moyo wa ajabu, na siyo Higgno ambae licha ya mwonekano wake mzuri na waupole lakini ni taperi, “bahati mbaya kijana huyu, sijamjuwa jina lake, ata jitamburisha mwenyewe, na kuanzia sasa nina mkaribisha hapa nyumbani, na ninaomba kila aliepo hapa amchukulia kama ndugu kwake” alisema Mahamud na kila mmoja akashangilia huku wakistaajabu kwa moyo wa kijana huyu, “kijana ebu simama ujitamburishe, mbele ya wageni waliopo hapa, pamoja na mama yako yule pale na dada yako huyu, hapa ambae leo atatuonyesha mchumba wake” alisema Mahamud na hapo Higgno akasimama, na hapo mama Soraya alie kaa karibu kabisa na mama Hoggno alie kuwa anatokwa na mchozi kwa sifa alizopewa mwwanae, mama Soraya aka toa macho ya mshangao, na kujikuta amesha nongo’ona, “mungu wangu, kumbe ni huyu Higgno, hakika mungu uwajalia mema wale walio wema, mwenyezi mungu nisamehe” alisema mama Soraya na kumfanya mama Higgno, amtazame kwa mshangao…… endelea…….. kufwatilia mkasa huu wa #TEMBELE_LA_UWANI hapa hapa kwa hadithi ZA MBOGO EDGAR.


TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA THEMANINI
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA TISA: alisema Mahamud na kila mmoja akashangilia huku wakistaajabu kwa moyo wa kijana huyu, “kijana ebu simama ujitamburishe, mbele ya wageni waliopo hapa, pamoja na mama yako yule pale na dada yako huyu, hapa ambae leo atatuonyesha mchumba wake” alisema Mahamud na hapo Higgno akasimama, na hapo mama Soraya alie kaa karibu kabisa na mama Higgno alie kuwa anatokwa na mchozi kwa sifa alizopewa mwwanae, mama Soraya aka toa macho ya mshangao, na kujikuta amesha nongo’ona, “mungu wangu, kumbe ni huyu Higgno, hakika mungu uwajalia mema wale walio wema, mwenyezi mungu nisamehe” alisema mama Soraya na kumfanya mama Higgno, amtazame kwa mshangao…… endelea……..
Lakini akamwona mama huyu, ambae anaweza kuwa ndie mke wa tajiri mkubwa, kuliko mwanamke yeyote hapa mkoani Ruvuma, akamwona ametoa macho ya mshangao kumtazama Higgno ambae alikuwa anesha simama huku tabasamu likishamiri katika uso wake wa upole, “asalam aleykum” alisalimia Higgno, kwa sauti tulivu ya upole, huku tabasamu likiwa limeendelea kushamili usoni mwake, “aleykum salam” waliitikia watu wote waliokuwepo mle ndani, sura zao zikichanua kwa matabasamu, ambayo yalionyesha kupendezwa na sifa ambazo kijana huyu alipewa na Mahamud mwenyewe, nakilicho wavutia wengi ni kitendo cha kukataa kumchumbia binti wa mzee huyu tajiri, licha ya kuaidiwa maisha mazuri, mama Soraya akamtazama binti yake, akamwona anamtazama Higgno, kwa macho flani ya kipekee, japo ilikuwa vigumu kwa wengine kulifahamu ilo, sababu alikuwa amevaa nicab, na akiwa bado ana mtazama binti yake, mama Soraya akamwona, Soraya anaondoa macho yake kwa Higgno ambae akuwa anamtazama, na kumtazama yeye, na macho yao yalipo kutana, akatazama chini kwa aibu yakike, “napenda kutoa shukrani zangu kwa mzee Mahamud, na familia yake, ambayo kiukweli naweza kusema sija jutia kuifahamu, na siwezi kujilahumu kumsaidia mzee Mahamud kupambana na wale jamaa siku ile” alisema Higgno kwa sauti yake ile ile yaupole, ambayo ilimvutia kila mmoja mle ndani, huku wakimsiliza kwa umakini, “nasema hivyo kwa sababu, nilipoamua kumsaidia mzee Mahamud tokakwa wanyang’anyi, siku tegemea kama nitapewa heshima kama hii katika sehemu kama hii, hivyo siwezi kulinga nisha msaada nilio utoa kwa mzee Mahamud, ambao ume kuwa mdogo sana, ukilinganisha na heshima aliyo nipa mbele ya watu wake katika siku muhimu ya binti yake” hapo kila mmoja akakubari kwa kuitikia kwa kichwa, huku baadhi wakipiga makofi ya kumpongeza kijana huyu, “inamaana nikweli ajuwi kuwa mwanamke mwenyewe ni Soraya, na mchumba wake ni yeye” aliwaza mama Soraya, safari hii kimoyo moyo, japo uso wake ulionyesha mshangao wawazi, “kitu nazani ata mzee Mahamud na familia yake awajatambua pia na wao wametoa msaada mkubwa sana, katika familia yangu, ni juzi tu, baba ameunguliwa na duka lake, na mume msaidia kulirudisha duka lake, hii ni tosha kuwa ata ninge poteza maisha yangu, wakati na kusaidia mzee wangu, damu yangu ingekuwa imeenda maali pazuri” alisema Higgno, na hapo kila mmoja akaonekana kusisimkwa kwa maneno ya Higgno, ata wazazi wake walishangazwa na busara za hali ya juu alizo zionyesha Higgno, ambae alimaliza maongezi yake na kukaa chini, akiwa amesahau kujitamburisha jina lake.
Naam hapo ndipo mjomba akasimama, “sasa nimeelewa kwanini shemeji yangu alipenda huyu kijana, awe mkwe wake, hakika wazazi wa kijana huyu, wamebahatika kupata zawadi kubwa sana, ya kuwa na kijana kama huyu” alisema mjomba, na kila mmoja akaunga mkono maneno yale, huku wengine wakikosoa kuwa aikuwa vyema kusema maneno ya kuwa alitamani kijana huyu ndie angekuwa mkwe wake, mana yange mvunja moyo mwanaume ambae anakuja kutambulishwa kuwa mchumba wa binti yao, “sasa nazani tunaenda kuanza ratiba yetu, wageni waruhusiwe kuingia” alisema mjomba, akiamini kuwa wageni bado wapo nje wanasubiri utaratibu wa kuingia ndani, naomba wageni wetu wakiingia tuwapokee kwa kusimama kidogo, maana ndio wakwe zetu wwatarajiwa” alimaliza mjomba kisha akamtazama mzee Mahamud, ikiwa ni kumjulisha kuwa wageni wajulishwe waanze kuingia ndani.*******
Naam dada yake mzee Komba yani shangazi yake Hilda alifika nyumbani kwa kaka yake, na kukuta apakuwa na mtu yoyote, aka enda nyumba ya jirani kuuliza napo akaambiwa kuwa mala ya mwisho alionekana Hilda akitoka na kuelekea upande wa barabarani, ni lisaa limoja limesha pita, “atakuwa ameenda kwenye ulanzi, kule virabuni, lakini mama yake sija mwona kabisa” lilikuwa jibu bay asana kwa dada yake mzee Komba, ambae alielekea huko barabarani kwenye virabu vya pombe, lengo kumpata Hilda ili mweleze mambo mawili ni jambo gani lili mshtua mzee Komba na kuanguka ghafla, pili ni sababu zipi zinazowafanya wamtelekeze namna hile mzee Komba.
Dakika kumi baadae akafaniliwa kufika barabarani, sehemu ambayo kulikuwa na virabu kadhaa vya ulanzi, ambavyo mida hii ya saa saba mchana tayari pilika zilishanza, music mkubwa ulianza kusikika, watu walisha anza kuingia maali pale, ambapo palikuwa pame tawaliwa na harufu ya nyama za kuchoma, nyama ambazo watu ununua bila kuuliza ni nyama ya nini.
Shangazi yake Hilda alianza kuingia clab moja baada ya nyingine, akimsaka mtoto wa kaka yake, ambae katika miaka ishilini na nne ya kuzaliwa, tayari binti huyu alikuwa mlevi mbwa wa ulanzi, “samahani Hilda alikuja japa leo?” aliuliza shangazi, kila alipoingia, “Hida ni yupi huyo?” lazima angeulizwa swali ilo, na yeye angefafanua, “yule binti wa mzee Komba” hapo shangazi ange pewa jibu ambalo lingempa picha ya maisha ya kaka yake na familia yake, ambayo kiukweli siyo kwamba akuwai kuyasikia, ila akuwa kuyashuhudia tu, lakini alisha yasikia na kupata habari zake, “hooo kumbe unamaanisha #Tembele, alikuja mida flani, akazuga zuga kisha akatoka mtazame hapo mbele” jina tembele lilimshangaza shangazi, maana kuwa na habari au kumbukumbu, ya kwamba mtoto wa kaka yake alikuwa anajina lingine la tembele, “kwanini anaitwa tembele?” aliuliza shangazi, ili kutoa utata wa jina hilo, ata mjibuji wake akacheka kidogo, “ni #Tembele_la_uwani, siunajuwa ile tabia yake, ya kuwasaidia vijana kukata kiu zao” alifafa nua mtoa majibu, na hapo shangazi akatoka kwa unyonge kuelekea kule alikoelekezwa.
Lakini ile shangazi anatoka nje akakutana na kundi la watu, wakike kwa wakiume, likiwa linapita barabarani, kuelekea upande wa kule alikotoka yeye, yani Luhila seko, mtaani anakoishi kaka yake, “kime nuka leo, mshenzi sana huyu mwanamke, yani mume wake anaumwa yupo Hospital yeye anaenda kuinamishwa maporini na waume wawatu” alisikika mmoja wawatu waliokuwepo kwenye kundi lile, “nasena hivi nikimfuma nita mtembeza uchi Luhila yote” alisema mwanamke mmoja ambae alikuwa ametangulia mbele kabisa sambamba na wanawake wawili, wote wakionyesha wana hasira kali sana.
Shangazi akujiuliza mala mbili, akaachana na ratiba ya kumsaka Hilda ambae anaitwa tembele, na kuanza kulifwata ile kundi, maana kwamaelezo yale, alijuwa fika kuwa anae zungumziwa ni mama Hilda ambae ni wifi yake, na dalilizote zilionyesha kuwa anaenda kufumaniwa.******
Idd, akiwa amekaa ndani yagari, uku anakunywa pombe yake kari, alisha yaona yale mapokezi, na na mtindo wa upokeaji wa wagaeni wale ulimshangaza sana Idd, na mpkeaji akiwa ni mama Soraya, mwenyewe, “sijaelewa inamaana gani?” alijiuliza Idd, ambae bado macho yake yalikua ameyaelekeza kwenye geti la Mahamud, ambapo dakika chache mbele akiwa bado anajiuliza, akamwona Talib anatoka kwa mwendo wa tahadhari kubwa sana, “huyu fala kumbe yupo” alijisemea Idd, ambae aliona kwamba Talib ndie anaweza kumpa habari kamili ya kinachoendelea kwa kina Soraya, huyu boya atanipa report kamili” alisema Idd, huku anaifunga chupa ya pombe na kuiweka kwenye seat ya pembeni ya gari lile, na kisha akaliwasha gari, akaweka gia namba moja na kuachia klachi, gari likaaza kuondoka taratibu, kuingia barabarani, kwa lengo la kumfwata Talib, ambae bahati nzuri na yeye alipoingia barabarani, akaelekea upande wa kulia wa barabara, ambako yeye Idd alikuwepo, hapo Idd, aka simamisha gari, na kushusha kioo, “hoya mchizi mambo vipi?” alisaimia Idd kwa lugha ya kiuni (kwakipindi hicho) hapo Talib akashtuka na kumtazama msalimiaji, ambae alikuwa ndani yagari, akamwona Idd, “dah! afadhari nime kuona Idd, mambo vipi?” alisalimia Talib huku akilisogelea gari, “poa tu! vipi mbona unasema afadhari umeniona?” aliluza Idd kwa sauti flani ya pose, na majivuno, “dah! mwenzio nina ubao mkali sana, alafu huko ndani kuna fala amaengia siwezi ata kuonana nae uson kwa uso” alisema Talib, pasipo kufafanua, huku anatupia mcho kwenye seat ya pembeni na dereva, pale ilipolala chupa ndgo ya pombe kali, ambayp yeye alikuwa ameimisi kwa muda mrefu maana mala ya mwisho ni siku kama nne zilizopita, tena alikuwa amekunywa ulanzi, “kwahiyo unataka nikupe ela ukale?” aliuliza Idd kwa majingambo na nyodo, “hiyo moja wapo, lakini kuna inshu nyingine nataka tuongee” alisema Talib, ambae alionakuwa akimtia nyembe Idd itakuwa lahisi kumsaidia gari, kwaajili ya tukio lake la usiku, “unataka kuongea nini Talib, wesema tu! nikuachie ata buku ukale kwa mama ntilie” alisema Idd, huku anazama mfukoni, kutoa noti kadhaa, ambazo alichomoa buku na nyingine akazieka kwenye mkebe wa dash board, “Tatizo lako Iddunajifanya mjanja, ndio maana ata Soraya umemkosa, unge nishirikisha mimi, tayari ungekuwa umesha jibebea mzigo, ona sasa kuna boya mmoja anamchukuwa mazima” alisema Talib, ambae tayari alisha tamani ile chupa ya kischana, ambayo alikuwa anaitazama kwa uchu, “weeee! inamaana nikweli Soraya anachumbiwa, anachumbiwa na jamaa gani?” aliuliza Idd kwa sauti iliyo jawa na mshangao, “kuna fala mmoja hivi, mjinga mjinga, sijuwi kama amitishamba aijausika” alisema Talib kwa sauti ya dharau, “dah! huyo fala ana zari kweli kweli” alisema Idd,kwa sauti ya kujilahumu, na kukata tamaa, “acha ujinga Idd, hiyo siyo inshu, kutegemea demu ili upate mali, wewe si mzee wa inshu, sasa mimi nataka nikupempango wa ela” alisema Talib, ambae alijuwa fika, kuwa Idd toka amerudi msumbiji akuwa na fedha yoyote, zaidi ya kumtegemea baba yake, “poa twenzetu mtini pub, tupige pombe, huku unanipa huo mpngo wako” alishauri Idd, ambae aliamasika kwa kusikia mpangp wa ela, Talib akaingia kwenye gari huku akiiokota chupa ya pombe na kuifungua, kisha kuanza kuinywa wakati gari linasogea taratibu mtini pub.********
Naam baada ya mjomba kumwachia ukumbi Mahamud, ambae akuwa anaelewa utaratibu uliopangwa akamtazama mke wake, ikiwa ni ishala ya kumweleza kuwa wageni wanaweza kuingia, hapo mama Soraya akiwa mwenye uso ulio onyesha hali flani ya fahadhaa, alimtazama mume wake, ambae alishangaa kidogo kwa mwonekano wa mke wake huyu, “asalam aleykum” alisalimia mama Soraya, kwa sauti ya upole ambayo ilijibiwa kwa sauti kubwa ya shangwe, “aleykum salaam” Mahamud alimtazama mke wake ambae alionyesha wazi kuwa amenyongea kidogo, akampa ishara ya kuchangamka kidogo, kisha Mahamud akamnongo’oneza Jamal, “kuwa makini sasa, akiingia tu nazani uta mfahamu, maana wewe ni mtoto wa mjini” alisema Mahamud, kisha akamtazama mke wake, kama wengine mle ndani walivyofanya, wakiwa wanahamu ya kumwona kijana amba amebahatika kumchumbia Soraya, “kwanza kabisa niseme kuwa hakika mwenye kutenda mema, basi mwenyezi mungu umjalia yaliyo ya kheri, na wote wenye mioyo safi, njia yao ni moja” alisema mama Soraya, huku watu wote mlendani kasoro Soraya na Laylah, ambae sasa aliingia na kukaa nyuma kabisa ya ikiwa ni sehemu ya mpango wao na Soraya, wapekee walijuwa mama Soraya anamaanisha nini, wengine wote walizania kuwa mama Soraya anaunga mkono maneno ya mume wake, juu ya kijana Higgno, “ukweli nime furahi sana kuona binti yangu, anapata mume bora, mwenyesifa zote za kuwa mume, na mimi ninampokea kwa mikono miwili, kuwa mchumba wa binti yetu, naomba yeye na wazazi wake wafanye utaratibu wa kuleta barua, ilitufanye utaratibu wa ndoa” siyo Higgno na mzee Mhamud peke yao walio shangazwa na maneno ya ila niwatu wote mlendani, mpaka mzee Frank na mke wake walishangazwa na jambo lile, kasoro mama Soraya Laylah na Soraya mwenyewe, ndio pekee waliojuwa kuwa yule ni Higgno, mchumba wa Soraya, watu wote waka mtazama Higgno ambae pia alionyesha kushangazwa na jambo lile, huku akimtzama baba yake, kama vile anamwuliza nini kinaendelea, maana yeye aliambiwa kuwa wazazi wake wamealikwa kwa chakula cha mchana, wakaambiwa waende na kijana wao, sasa aya mengine yanatokea wapi.
Hapo mjomba, baada ya kuona ata huyo kijana mwenyewe yupo kwenye mshangao, akamtazama Mahamud, ambae pia alionyesha wazi kuwa katika mshangao mkubwa, mjomba akasimama, “mpaka hapo mme tuacha njia panda, mnamaanisha huyo mchumba ndie huyu, kishana ambae alimsaidia mzee Mahamud?” aliuliza mjomba, safari siyo kama msemaji, aliulizia kama mshangaaji, anaeitaji uthibitisho, huku watu wote wakimtazama Higgno ambae bado alikuwa katika mshangao na wasi wasi mkubwa, ukweli akuna mmoja alie toa jibu, mjomba akamtazama Soraya, mjomba tunaomba ututhibitishie, kama kweli huyu ndie kijana mwenyewe au la, isije kuwa kama sikuile” alisema tena mjomba, huku pamoja na watu wote wakitazama pale alipo kaa Soraya, ambae alikuwa amevalia nicab yake na kubakiza macho tu! “Soraya akaitikia kwa kichwa kukubari kuwa Higgno ndie mchumba wake, hapo zika lipuka kelele za shangwe na vifijo na vigelegele, huku wakimtazama Higgno, kwa macho ya hongera, mzee Mahamud, akionekana mwenye tabasamu la furaha, na kushindwa kuelewa ile mipango ilikuwa ime wekwa vipi, au walipanga kumshtukiza.
Lakakini basi wakati furaha na shangwe zinaendelea, mala ghafla sauti ya mjomba ikasikika, “jamani tulieni kidogo, naona mkwe wetu anataka kuongea ambo” hapo watu wote mle ndani wakatulia kimya, huku wanageuza shingo zao kutazama upande ule aliokuwa amekaa Higgno, wakamwona amesimama, uso wake ukiwa katika hali ya mshangao na simanzi, “samahani sana watu mliomo humu ndani, samahani wazazi wa huyu mschana, yani mzee Mahamud na mke wako, samahani wazazi wangu, pia samahani sana, wewe mschana mwema” hapo watu wakashikwa na mshangao mkubwa, na kuanza kunong’onezana, wakiulizana kuwa “huyu kijana anataka kusema nini?” “alafu mbona kama amekosa amani ghafla?” hayo ndiyo maswali yaliyozagaa pale ukumbini, “ukweli ninatanguliza samahani kwa watu wote humu ndani, sababu najuwa nitakacho kiongea ata nyinyi amtanielewa, kama mimi nisivyoelewa kinachoendelea hapa, kwakifupi mimi siyo mchumba wa huyu mschana, pengine amenifananisha, sababu sijawai kumwona mschana naimani ata yeye ajawai kuniona” alisema Higgno na hapo watu wote wakaacha midomo wazi kwa mshangao, na kumtazama Soraya, ambae alikuwa ameinamisha kichwa chini, na kabla mtu yoyote ajaongea lolote Higgno akaendelea, “mimi nipo hapa, sababu nime wasindikiza wazazi wangu, ambao wamealikwa maali hapa, pia isitoshe nina mchumba wangu, ambae natarajia kumchumbia hivi karibuni, naomba mniwie radhi, nazani ata binti yenu, ata ishi na mimi kwa wasi wasi endapo atagunduwa kuwa nime mwacha mschana mwingine kwaajili yake, hivyo nisameheni na pole ni kwa usumbufu” alimaliza Higgno na kukaa chini……… endelea…….. kufwatilia mkasa huu wa #TEMBELE_LA_UWANI hapa hapa kwa hadithi ZA MBOGO EDGAR.


TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA THEMANINI: “mimi nipo hapa kwasababu nime wasindikiza wazazi wangu, ambao wamealikwa mahali hapa, pia isitoshe nina mchumba wangu, ambae natarajia kumchumbia hivi karibuni, naomba mniwie radhi, nadhani hata binti yenu, ataishi na mimi kwa wasi wasi endapo atagunduwa kuwa nimemuacha mschana mwingine kwaajili yake, hivyo nisameheni na pole ni kwa usumbufu” alimaliza Higgno na kukaa chini………… ENDELEA…………
Hakika kati ya watu walioshikwa na mshangao mkubwa ni mama Soraya, ambae hakuelewa kwanini kijana huyu ameamua kufanya vile, hapo mama Soraya akaelekeza macho yake kwa Soraya ambae alikuwa bado amekaa, huku kichwa amekiinamisha chini, wakati huo mzee Frank aliekuwa amekaa karibu na Higgno akamuuliza, “wewe una uhakika na unacho kisema au bado una kale katabia kako kakuogopa waschana?” aliuliza mzee Frank kwa sauti ya kunong’ona, kabla Higgno hajajibu lolote kwa baba yake mzee Frank nae akasimama, “samahani jamani, naomba msiyasadiki maneno ya huyu mtu, ni kijana wangu nina mfahamu vizuri kabisa, anaogopa wanawake toka akiwa mdogo, usikute hapa anaogopa, ni kweli kabisa sijawahi kumuona na mschana” alisema mzee Frank, ambae aliona simanzi kubwa iliyotanda mule ndani, ambayo ilimezwa na kicheko toka kwa watu wote, hata Soraya mwenyewe japo alivalia niqab, lakini kilisikika kicheko chake laini, kitendo ambacho kiliwashangaza na kuwa liwaza watu wale, maana inawezekanaje mschana anae kataliwa mbele ya wazazi wake akacheka mbele yao.*******
Naam tukirudi kule porini chini ya mti wa muembe, tayari awamu ya kwanza ya kupeana dudu ilishamalizika kwa bao moja bila, maana licha ya mzee Njogopa kumaliza safari yake kwa mbwembwe za kelele na mipagawisho, lakini alimuacha mama Hilda akiwa na hamu zake, kwa maana ule mchezo uliochezwa kwa dakika tatu haukumfanya mama Hilda ajisikie chochote, hivyo licha ya kuwa walikuwa wanaendelea kunywa ulanzi wao na bwana Njogopa alikuwa amesha pandisha suruali yake, lakini mama Hilda yeye alikuwa bado amepandisha gauni lake mpaka eneo la tumboni, huku amejifunika kwa kanga sehemu za kiunoni kuzuia kitumbua chake na maziwa yakiwa wazi,
Wakiwa wamekaa juu ya kanga iliyo tandikwa chini waliendelea kunywa pombe kwa muda wa dakika kama kumi hivi, huku mama Hilda akiwa na hamu ya kuingiziwa dudu, akaona Njogopa anachelewa kulianzisha la pili, ndipo alipoamua kulianzisha mwenyewe, “mwenzio wala hujanikuna, hebu niiamshe tufanye tena, halafu twende kijijini tukanywe ulanzi wetu” alisema mama Hilda huku anaingiiza mkono kwenye suruali ya Njogopa na kuibuka na dudu, ambayo ndio kwanza ilikuwa inakauka kauka maji maji ya kitumbuani, lakini bado ilikuwa imelala kwa uchovu, kisha akaanza kuichezea chezea.
Naam licha ya kuichezea kwa dakika tano nzima lakini dudu ya Njogopa haikuonyesha dalili ya kuamka, “yaani anashindwa na kile kibabu kule shamba” alijisemea moyoni mama Hilda, huku akizidi kuichezea dudu ya mzee huyu, “bado kamegoma yaani hapo mpaka nipumzike kidogo” alijitetea Njogopa, lakini mama Hilda akaonekana kupingana nae, “itaamka tu, ngoja niiname halafu uchezee kwenye kum*.. yangu” alisema mama Hilda, huku anaondoa kanga yake na kupiga magoti akiinama kiasi cha kifua chake kugusa chini, akitanua miguu kwanguvu kabisa, makalio yakiwa yameinuka juu na kufanya sehemu zake za siri zionekane kwa uwazi kabisa, “haya njoo sasa” alisema mama Hilda na kutulia kusikilizia dudu ikigusa kitumbua, lakini akaona kimya, “unangoja nini bwana we chezea Kum* kwa hiyo mbo** yako” alisema mama Hilda, na bado akaona ukimya hakukuwa na jibu lolote, mara akasikia vishindo vya karibu kabisa toka nyuma yake, “unangoja nini bwana au una nguvu za kuku mwenzetu..” alisita mama Hilda baada ya kugundua kuwa vishindo vile havikuwa vya Njogopa na havikuwa vya mtu mmoja, ile anainuka ili atazame nani alikuwa anakuja, akashtuka anatandikwa teke la kwenye kitumbua ambacho kilikuwa kimeachama kwa nguvu, na kubinuka kibindura, (kuvilingika) “mama yoyo! mleteeee!!!!” alipiga yowe mama Hilda huku anagala gala chini, na kujishika kitumbua chake akikipooza maumivu makali aliyo yasikia, “mshenzi wewe mwanamke, yaani umemloga mume wako ili uje ulale na waume za watu” alisikika mke wa njogopa akisema kwa Hasira, na hapo ndipo mama Hilda alipogunduwa kuwa watu walikuwa ni wengi sana, na wengine walizidi kuja huku bwana Njogopa tayari alikuwa amesha kimbia, ili onyesha kuwa alikuwa amewaona mapema watu hawa.
Naam hapo kilichofwata ni kipigo cha mwaka kumshukia mama Hilda, ambae kila alipo jaribu kujipapatua alishindwa na kuendelea kupewa kipondo cha mwaka huku akichaniwa nguo zake, wapigaji walipania kumtembeza uchi na kweli waliamua maana baada ya kuwa wamemponda ponda vya kutosha wakaamua kumchukuwa na kumpeleka kijijini huku akiwa amevalia vipande vya nguo na sio nguo tena.
Lakini bahati ilikuja upande wake, ni baada ya kukutana na mwenyekiti wa kijiji na mabalozi wake, ambao walipewa taarifa ya tukio la kwenda kufumaniwa mama huyo na mzee Njogopa huko mashambani na wakaamua kwenda huko mashambani njia ya madimbeni, na kukutana nao njiani hivyo ndiyo ilikuwa salama ya mama Hilda ambae mpaka sasa alikuwa amesha kusanya karibu nusu ya kijiji, wake kwa waume watoto vijana na wazee waliokuwa wanajionea utupu wa mwanamama huyu, ambae mume wake alikuwa amelala kwenye kitanda cha zahanati, na kwa kutumia wanamgambo wa kijiji wakafanikiwa kumchukuwa mama Hilda na kwenda kumuhifadhi kwenye ofisi ya kijiji.******
Naam marafiki wapya yaani Idd na Talib, walikuwa wametulia kwenye moja ya kona mule ndani ya bar, wakinywa pombe zao taratibu, tayari Talib alikuwa amesha kula ugali na samaki alionunuliwa na Idd, ambae baada ya kuusikia mpango wa Talib aliupenda na kuridhika nao, “hilo tu Talib wala usiwe na wasi wasi, tutakuwa pamoja,. tena tunaenda kujazama futa kabisaaa kisha tunaenda kuwachukuwa hao jamaa zako tunakuwa hapa karibu tuna soma mchezo” aliongea Talib akionyesha kuwa na furaha kubwa sana kwa maana kwamba aliamini hiyo ndiyo safari yake ya kufanikisha kuondoka tena nchini kuelekea msumbiji au Malawi, “punguza haraka Idd, tupige zetu mtungi hapa wale watakuja wenyewe, hakuna aja ya kuwafuata” alisema Talib ungesema alikuwa na fedha ya kunywea hiyo pombe yenyewe, “poa, lakini inabidi tuwe makini sana, maana tukifanikiwa tutawin maisha” alisema Idd, na hapo ni kama alikuwa amemkumbusha jambo Talib, “hivi kwenda south ni shilingi ngapi?” aliuliza Talib kwa shauku.
Na hapo Idd akaanza kumpanga Talib, kuhusu maisha ya raha na anasa ya huko msumbiji na south afrika, lengo likiwa ni kumshawishi Talib waondoke wote, akiamini kiasi kikubwa cha fedha kati ya zile watakazo ziiba kwa Mahamud wataondoka nazo wao kuelekea South, “kama vipi tukishaiba fedha tuondoke zetu kwenda huko” alisema Talib ambae ni kweli alisha shawishika na kubadili mawazo kutoka lile la kwenda dar na kuamua kwenda south, “we unadhani kwanini mimi nimekubali kushirikiana na wewe kwasababu nataka nitimke zangu kwenda huko” alisema Idd, na hapo wakakubaliana hivyo na sasa waliendelea kunywa pombe wakisubiri muda.********
Higgno alizidi kushangazwa na jambo lile, ukweli alimfikiria Soraya, endapo atasikia kuwa amekabidhiwa mchumba mwingine atakuwaje, na atajisikiaje, Higgno alitamani kusimama na kupingana na baba yake, aliesema kuwa anawaogopa wanawake, lakini akawahiwa na mschana alievalia niqab,watu wote wakatulia kusikia Soraya atasema nini, “asalam alaykum” alisalimia Soraya akiwabado amejivika niqab usoni mwake, salamu ile ili wafanya watu wazidi kutulia huku Higgno akijaribu kuilinganisha sauti ile kama kuna sehemu aliwahi kuisikia maana alikuwa anaifananisha, “waalaykum salaam” watu wote wakaitikia, “napenda kuwaeleza kuwa anachosema Higgno ni kitu cha kweli kabisa, yeye sio mchumba wa mtoto wa Mahamud, ila ni mchumba wa Soraya” alisema Soraya mwenyewe na hapo watu wakazidi kuduwaa kwa mshangao, maana walikuwa wanajuwa kuwa mtoto wa mahamud ni yeye na Soraya ni yeye, na hata walipo mtazama Higgno walimuona akitabasamu na kuitikia kwa kichwa, Mahamud mwenyewe akashikwa na mshangao, huku mke wake ambae alishahisi Soraya anataka kuongea nini alionekana kutaka kumzuia asiongee alichotaka kuongea, lakini haikusaidia maana Soraya hakumtazama mama yake, “najuwa wengi hamjanielewa naomba niwafafanulie, huyu kijana munae muona leo ni mchumba wa Soraya, na hakumfuata Soraya kwa kuwa ni mtoto wa Mahamud, nadhani mpaka sasa hajafahamu kama mchumba wake ni binti wa mahamud, na ndie ambae Mahamud” safari hii Higgno alishtuka kidogo, maana maneno yale yalionyesha wazi kuwa Soraya ndie mtoto wa Mahamud, “Higgno hajafahamu kama alialikwa hapa nyumbani kwasababu niliwaalika wazazi wake nikawaeleza kuwa waje nae, nao pia hawajuwi kuwa rafiki wa kijana wao ni mtoto wa mahamud, hivyo naomba watu tuelewe, toka mwaka tisini na nane nilipokutana na Higgno na kila mmoja kuanza kumpenda mwenzake, Higgno hakujuwa kama mimi ni mtoto wa mahamud na hakunipendea kile walicho nacho wazazi wangu” alisema Soraya, huku akiwashangaza watu, hasa Higgno ambae alikuwa anamtazama Soraya kwa umakini kabisa, “na Soraya ambae Higgno anamtaja kuwa mchumba wake ndie mimi” alisema Soraya huku anavua niqab yake usoni na kuacha uso wazi, kila mmoja aliweza kuliona tabasamu pana lililotawaliwa na aibu.
Naam ghafla Higgno akajikuta amesha simama bila kuambiwa huku ameyaoa macho kwa mshangao, akamtazama Soraya kisha akamtazama mzee Mahamud, “sikujuwa kama Soraya ni binti yako” alisema Higgno kwa sauti ya upole iliyo jawa wasi wasi……… ITAENDELEA
Ndyo umeanza na marudio
 
Back
Top Bottom