Nyavu lazima zichanike alishapewa maujanja na baba yake mdogoHiggno leo asipochana nyavu,ntajua anaumwa
🤣Higgno leo akishindwa,bora twalib amuue tu
Jamaa alosema ANAO mchekiMimi nataka mzizi anao tafunaga baba mabudi kabla ya kuanza shoo😅😅
mimi nataka ile dawa tamu. ningefyeka mtaa mzima mana ni wa roho htari.Jamaa alosema ANAO mcheki
Kama nakuona😁😄mimi nataka ile dawa tamu. ningefyeka mtaa mzima mana ni wa roho htari.
Ntamcheki niupate nimeuelewa sanaJamaa alosema ANAO mcheki
atazichana chwaaaaaaNyavu lazima zichanike alishapewa maujanja na baba yake mdogo
Hawezi yule,mi ananiudhi sana,zile ngoma kina twalib ndio wanajua kucheza nazoatazichana chwaaaaaa
Higno leo nyavu anazichana na Soraya atachanganyikiwa mazimaaaaHawezi yule,mi ananiudhi sana,zile ngoma kina twalib ndio wanajua kucheza nazo
Hawezi ,nipo hapa nqsubiriHigno leo nyavu anazichana na Soraya atachanganyikiwa mazimaaaa
😹😹😹 Ni yale matunda wanaokula tembo yanaitwa Amarula..!!mimi nataka ile dawa tamu. ningefyeka mtaa mzima mana ni wa roho htari.
Hii chai niliiona kitambo toka 2020, story za watoto mi nishavuka huko…!!Lamomy
Fasihi haina wakati maalumHii chai niliiona kitambo toka 2020, story za watoto mi nishavuka huko…!!